Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Arusha ndio sana kwa wana apolo.
Na linatumika kama jina kamili.
Ni kutokana na kutoelewa na elimu ndogo.
ati nini?
kwa hiyo wote
tulioita watoto junior
tuna elimu ndogo?huo ni uamuzi
wa mtu,siwezi kuita mtt jina la babu yake
eti hamisi,awe na tabia kama za hamisi?akhaaa!!
na junior ina maana nzuri tu wewe ndio hukuelewa!!
kila kitu kimeongelewa hapo juu,pleeeees!!!