Nini maana ya kumpa mtoto jina Junior?

dah, nipe clue linaanza na herufi gani, lakini by jioni nishapata jibu.
ha haaa, yaani nikitaja hapa tu by jioni kila mtu anayenifahamu na yupo JF ataandika jina langu hapa. maana yapo tofauti na wakisoma mabandiko yangu sijifichi kabisaaaaaa. wewe baki na maana zake tu inatosha
 
Kuna txt moja ya kichekesho inamuhusu mtoto Junior na Mgeni
Mgeni ameenda kwao huyo mtoto akawa anamvuta vuta nywele….. Etc
Msaada kwa mwenye nayo aiweke hapa
Siku hizi umezuka mtindo wa baadhi ya watu kuwaita watoto wao Junior. Kwa ninavyoelewa mimi junior ni mamlaka ambayo iko chini ya mamlaka nyingine juu yake (senior). Sasa ni nini mantiki ya kuwapa watoto jina hilo? Au wanamaanisha sawa na kulivyokuwa George Bush baba akiwa raisi, then mwanawe alipokuwa raisi ikabidi watu wawe wananrefer kama Bush junior?
Sasa mimi huku unakuta naitwa Maiko Masamaki, mwanangu namuita Junior!, junior what? Kama yeye ni junior kwangu, mimi si junior kwa baba yangu pia? Au ukoo unaanzia kwangu? Hivi G. Bush "Junior" angekuwa na mtoto nae akaitwa G. Bush, alafu akaja kuwa raisi ataitwaje, Junior square au?
Alafu ni kwa nini mara nyingi ni watoto wa kiume tu wanaitwa Junior?!!! Wa kike hawawezi kuwa junior kwa mama zao?
 
Hao 'majuniaz' wakikua na kuhave kids hao kids watakuwa double juniaz au?

I think fathers are just trying to live their lives over thru a kid...give a kid his own name...my mawazo tu
Hao wajukuu wenye jina hilo hilo wanaitwa "The Third". Jina linafuatiwa na III.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom