bullet
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 1,047
- 545
Una uhakika mkubwa na usemalo?
Inawezekana sijaelewa swali lako mkubwa. I meant kwa wenzetu hakuna mtu anaitwa Junior bali "kielezi" hicho kinatumika na jina jingine kuonyesha kwamba kuna mtu mwingine (esp mkubwa) aliyetangulia kupewa jina hilo katika familia au ukoo huo kama nilivyoonesha kwa ukoo wa akina Bush. Ila si vibaya ukanipa elimu zaidi maana maisha ni kujifunza mkuu!