Nini maana ya Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania au CHADEMA wana hatimiliki

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Nakumbuka CUF iliwai kuwa cha kikuu cha upinzani na mara tu kilipopoteza wingi wa uwakilishi bungeni hawakujiita tena chama kikuu cha upinzani walikoma. Napata tabu kukielewa chama hiki cha Democrasia na Maendeleo Chadema kina baka hadi ukuu wakati kina mbunge 1 wa kuchaguliwa. Nini tafsiri maana CUF pia kinambunge 1 wa kuchaguliwa nao ni chama kikuu cha upinzani.

Inamaana ni kweli watu wanavyosema chama hiki kinapenda kitonga kilakitu, ni kweli?

Kwani Chadema walipataje kuwa chama kikuu cha upinzani maana hata NCCR MAGEUZI pia kiliwai kuwa chama kikuu cha upinzani lakini leo sio hawa Chadema vipi.

Mimi mtoto wa mchungaji sielewi, kwanini wasijiite chama cha mitusi ambavyo hivyo ndiyo kweli asili yao kuliko kubaka vyeo si vyao sasa hii si kujidhalilisha tu. Yaani mke mmeshaachana na taraka na kunamtu kamuona wewe bado unasema mkeo, kunatatizo.

Nakaribisha mitusi sasa.
 
Chadema ni chama mbadala Chadema ni Tasisi Chadema ni Mfumo Chadema ni Alakati Chadema ni Nguvu ya Umma; Chadema ni Tamaduni za Wanamageuzi,
 
Nakumbuka CUF iliwai kuwa cha kikuu cha upinzani na mara tu kilipopoteza wingi wa uwakilishi bungeni hawakujiita tena chama kikuu cha upinzani walikoma. Napata tabu kukielewa chama hiki cha Democrasia na Maendeleo Chadema kina baka hadi ukuu wakati kina mbunge 1 wa kuchaguliwa. Nini tafsiri maana CUF pia kinambunge 1 wa kuchaguliwa nao ni chama kikuu cha upinzani.
Inamaana ni kweli watu wanavyosema chama hiki kinapenda kitonga kilakitu, ni kweli?

Kwani Chadema walipataje kuwa chama kikuu cha upinzani maana hata NCCR MAGEUZI pia kiliwai kuwa chama kikuu cha upinzani lakini leo sio hawa Chadema vipi.
Mimi mtoto wa mchungaji sielewi, kwanini wasijiite chama cha mitusi ambavyo hivyo ndiyo kweli asili yao kuliko kubaka vyeo si vyao sasa hii si kujidhalilisha tu. Yaani mke mmeshaachana na taraka na kunamtu kamuona wewe bado unasema mkeo, kunatatizo.

Nakaribisha mitusi sasa.
Kweli wewe unahitaji kutukanwa.

Hata baba yako Maghufuli amekufa akiifahamu Cdm kwamba bila police Ccm kingekuwa chama kikuu cha upinzani
 
Nakumbuka CUF iliwai kuwa cha kikuu cha upinzani na mara tu kilipopoteza wingi wa uwakilishi bungeni hawakujiita tena chama kikuu cha upinzani walikoma. Napata tabu kukielewa chama hiki cha Democrasia na Maendeleo Chadema kina baka hadi ukuu wakati kina mbunge 1 wa kuchaguliwa. Nini tafsiri maana CUF pia kinambunge 1 wa kuchaguliwa nao ni chama kikuu cha upinzani.
Inamaana ni kweli watu wanavyosema chama hiki kinapenda kitonga kilakitu, ni kweli?

Kwani Chadema walipataje kuwa chama kikuu cha upinzani maana hata NCCR MAGEUZI pia kiliwai kuwa chama kikuu cha upinzani lakini leo sio hawa Chadema vipi.
Mimi mtoto wa mchungaji sielewi, kwanini wasijiite chama cha mitusi ambavyo hivyo ndiyo kweli asili yao kuliko kubaka vyeo si vyao sasa hii si kujidhalilisha tu. Yaani mke mmeshaachana na taraka na kunamtu kamuona wewe bado unasema mkeo, kunatatizo.

Nakaribisha mitusi sasa.
Au ni chama cha pili kilichopata kura nyingi katika nafasi ya Urais.
 
Mtoto wa Mchungaji jikite kanisani, siasa sio uwanja wako, utachanganyikiwa tu.
 
Kama una mke,watoto na wazazi wenu, tumia muda wako kuwahangaikia hao.
 
Bado hatujakipata chama kitakacho wapendwa watanzania kikipatikana naamini itakuwa mwanzo wa kufaidi matunda ya Uhuru walioupigania mababu zetu.
 
Nakumbuka CUF iliwai kuwa cha kikuu cha upinzani na mara tu kilipopoteza wingi wa uwakilishi bungeni hawakujiita tena chama kikuu cha upinzani walikoma. Napata tabu kukielewa chama hiki cha Democrasia na Maendeleo Chadema kina baka hadi ukuu wakati kina mbunge 1 wa kuchaguliwa. Nini tafsiri maana CUF pia kinambunge 1 wa kuchaguliwa nao ni chama kikuu cha upinzani.

Inamaana ni kweli watu wanavyosema chama hiki kinapenda kitonga kilakitu, ni kweli?

Kwani Chadema walipataje kuwa chama kikuu cha upinzani maana hata NCCR MAGEUZI pia kiliwai kuwa chama kikuu cha upinzani lakini leo sio hawa Chadema vipi.

Mimi mtoto wa mchungaji sielewi, kwanini wasijiite chama cha mitusi ambavyo hivyo ndiyo kweli asili yao kuliko kubaka vyeo si vyao sasa hii si kujidhalilisha tu. Yaani mke mmeshaachana na taraka na kunamtu kamuona wewe bado unasema mkeo, kunatatizo.

Nakaribisha mitusi sasa.
Kwani pale mchungaji wanapo pungua kondoo wake kwa kuibwa atabadili jina kutoka mfugaji mkubwa na kujiita mfugaji mdogo.Kamsaidie mchungaji kuchunga kondoo acha porojo.
 
Ni uungwaji mkono na kuwa na wafuasi wengi wanaokisapoti.
NB. Hata kama ccm watapoteza uchaguzi mkuu hawawezi kuwa chama kikuu cha upinzani maana hawana uungwaji mkono na wananchi wengi.
duh wewe ni mtu mzima ovyooooo
 
Kwani pale mchungaji wanapo pungua kondoo wake kwa kuibwa atabadili jina kutoka mfugaji mkubwa na kujiita mfugaji mdogo.Kamsaidie mchungaji kuchunga kondoo acha porojo.
si porojo amekuchoma sindano ya ukweli na ikaingi, dadeki, uwongo wenu umefika mwisho
 
Back
Top Bottom