Wewe utaita ubishi, mimi nasema ni mtu anaependa kuelewa vitu kwa undani.We Bu'yaka vipi, mbona mbishi sana?
Sawa, je sasa umeelewa?Wewe utaita ubishi, mimi nasema ni mtu anaependa kuelewa vitu kwa undani.
Wengi mmeelewana maana ya msemo huo "ashakum si matusi."
Mimi nilitaka kuelewa "ashakum" ni nini.
ahaaa, na mimi nimekuelewa kwa nini umeelewa somo kwa haraka baada ya kupewa mfano unaoeleweka na mwalimu Mnyamahodzo
Kuna uungwana katika matusi?haina maana ya kuomba msamaha bali huwa na maana ya kutaka kuzungumza nebno zito la matusi katika hali ya kiungwana
Ashakum ni uume
Walimu wana Kazi kwelikweli.Bado sijamuelewa.
Kama si matusi, samahani ya nini?
Kama wewe unaechanganya herufi kubwa na ndogo, mwalimu alikushindwa kabisa.Walimu wana Kazi kwelikweli.
Kama wewe unaechanganya herufi kubwa na ndogo, mwalimu alikushindwa kabisa.
Kama kwenye hiyo mikazo ndimo unamomaanisha nimechanganya,Walimu wana Kazi kwelikweli.
Herufi kubwa hazitumiki katikati ya sentensi isipokuwa kwa majina ya watu.Hukwenda shule?Kama kwenye hiyo mikazo ndimo unamomaanisha nimechanganya,
Unayo matatizo makubwa sana na wakuweza kukuelewesha kwa umbumbu huo sijui ni Mwalimu wa wapi.
Ulishindwa kuwaelewa walimu wako,Herufi kubwa hazitumiki katikati ya sentensi isipokuwa kwa majina ya watu.Hukwenda shule?
Usikubali kukaririshwa, "ashakum si matusi." Ashakum ni nini, hujui!
Walimu wana Kazi kwelikweli.
Kama wewe unaechanganya herufi kubwa na ndogo, mwalimu alikushindwa kabisa.
Ashakum ni uume