Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Alama hiyo pia inamaanisha harakati. So wanaharakati nao hutumia ishara hiyo. Sheikh Farid yeye ni mwanaharakati wa Kiislamu.
 
Wanatafuta kuungwa mkono na Cdm na vilevile kupora wanachama ila inahitaji kuwa makini maana wanatumia hila kuhujumu smz ili mwarabu arudi kama kweli wanapenda Peace & Victory kwann wachome makanisa? Cdm take care!
 
Hata 2pac wakati akipelekwa Mahakamani alionesha alama ya vidole hivyo na kuweka vidole hivyo sio ishara ya kua ni mfuasi wa chama fulani sawa
 
Wakitaka kujikomboa ni cdm tu maana hatuamini mazingira ya muungano na hati yake haijaomekana,la sivyo wataendelea kuchapwa tu
 
Alama hiyo pia inamaanisha harakati. So wanaharakati nao hutumia ishara hiyo. Sheikh Farid yeye ni mwanaharakati wa Kiislamu.

wanaharakati huwa hawauiwi, wanadai utawala bora, uwajibikaji. iweje yeye awe mchochezi na muuaji? sio mwanaharakati bali ni muuaji
 
Alama hiyo huashiria AMANI wadau, sio harakati wala ushindi.
 
Katika Kile kilichoonekana kuwa ni ukereketwa na Ufurukutwa wa Sheikh Farid wa Uamsho kwa Chadema kiasi cha kutumia na kuitangaza Nembo ya Chadema katika harakati zake za kuendesha maandamano na mauaji ya watu wasio na hatia na watumishi wa dola.

kitendo hicho kilichoibua maswali mengi ya wenye macho ya KUTAZAMA kwa kuwa kimebainisha mfanano uliokuwepo baina ya makundi haya mawili na mshabihiano wao halisi katika namna wanavyoendesha harakati zao,. ambapo wote wawili wanatumia maandamano kama silaha yao kuu ya kujiletea ushindi katika harakati zao,lakini pia wanajihusisha na matendo ya umwagaji damu na mauaji ya raia na watumishi wa dola., wote wawili wakipinga utawala na mamlaka.,wote wawili wakipinga na kupiga vita muungano na umoja watanzania.,wote wawili wakitumia dini kama njia ya kutimiza azma zao hizo.

Watu wamejawa na maswali ya utata kuwa je sheikh farid ni mwanachama wa chadema ama anawapakazia kwa kuwa wanafanana...? NA IPI FALSAFA NA UNDANI WA ALAMA YA VIDOLE VIWILI KAMA INAVYOTUMIKA NA VIONGOZI WA UAMSHO NA CHADEMA..?
 
attachment.php


Mzee unamaanisha hii..?
 
170px-Rihanna%2C_LOUD_Tour%2C_Minneapolis_6_crop.jpg

hiyo ni picha ya rihhanna akionyesha ishara unayodhani ni ya chadema peke yake, hebu jaribu ku-google ujue historia ya hiyo ishara kabla ya kuja na kubwatuka tu, hata kama umetumwa na hao wala rushwa wa CC-M! This is the home of great thinkers. uwezo wako ni mdogo ulifumbwa na itikati mbovu za chama chako! sura kama NAAPE N.
170px-Churchill_V_sign_HU_55521.jpg

On January 14, 1941, Victor de Laveleye, former Belgian Minister of Justice and director of the Belgian French-speaking broadcasts on the BBC (1940–1944), suggested in a broadcast that Belgians use a V for victoire (French: "victory") and vrijheid (Dutch: "freedom") as a rallying emblem during World War II. In the BBC broadcast, de Laveleye said that "the occupier, by seeing this sign, always the same, infinitely repeated, [would] understand that he is surrounded, encircled by an immense crowd of citizens eagerly awaiting his first moment of weakness, watching for his first failure." Indeed, within weeks chalked up Vs began appearing on walls throughout Belgium, the Netherlands, and northern France.
 
Nyani Ngabu na Scofied mtu mpuuzi anatakiwa apuuzwe sio ajibiwe kwani hapo nyote mtaonekana wapumbavu! Ukimjibu kwa imani yake hata yule ambae hakubaliani nae kwakuwa ni wamoja katika imani ataichukia ile dhihaka ya imani mfano neno "viislam" linawagusa waislam wote kwa ujumla wao! Lakini sio wote wanaokubaliana na hoja ya mleta mada.

Tujifunze kuwa wastaarabu halafu muone washenzi wachache watapata wapi fursa?
 
Ni ujinga kusema kuwa kila anayeweka ishara ya V ni mfuasi au mwanachama wa Chadema
 
Vijinga sana hivi vijitu

nyie ndo wajinga.
Kila kitu waislam, nani kakwambia mleta mada ni muislam?
Na hata kama, alichosema kina uhusiano gani na uislam?
Chuki zenu hazijifichi hata mfanyaje, nazo ndo zitakazo angamiza taifa letu.

Mnautusi na kuukejeli uislam na waislam halafu nyie ndo wakwanza kuwashutumu kuwa ni wadini na wanye chuki na wakristo.
 
Back
Top Bottom