Subiri maporisi waje, lakini nina wasiwasi hata wao walilikuta na walio wengi wanaliendeleza tu,,,,,Ukienda police unapewa RB JAPO sijuagi kirefu chake
Ukienda police unapewa RB JAPO sijuagi kirefu chake
Throw Back ThursdayNa Kirefu cha TBT
Through back timeNa Kirefu cha TBT
Hakika mkuu...............kumbe unaelewa vitu japokuwa wanasema huna vyeti.........Report Book.
Umetisha Mkuu!Hakika mkuu...............kumbe unaelewa vitu japokuwa wanasema huna vyeti.........
Kwa kuongezea tu mkuu, hiyo taarifa sio lazima iwe ya tukio LA jinai hata ukipotelewa vitu muhimu km IDs, documents,leseni, hata akipotea mtu, mf mtoto mke mume yoyote yule yani, ukiripoti utapewa RB lazima. ThanksRB kipolisi maana yake ni REPORT BOOK.
Hiyo ina maanisha kuwa kuna mtu amekuja Polisi kutoa taarifa ya tukio la jinai, na polisi wamepokea taarifa hiyo na kuiandika kwenye kitabu chao basi. Hakuna kitu kingine na hakuna chochote cha maana.
Ni sawa na kuingia ofisini na kutia saini kwenye kitabu cha mahudhurio.
hahahaaaaaa umetishaaThrow Back Thursday
Hahahaaaa mkuu umenikumbusha mbal sana yaan Udsm pale ukila RB yaan ina maana umeishiwa sana coz RB inatafsiri ya chakula chenye low quality. Dah mpaka leo napapenda sana udsm.Rice beans UDSM PALE TUMEKULA SANA BOOM LIKIKATA
ha ha ha ha ha,huyo polisi wa mwendokasi,atakuwa hata hajui kuwa POLISI pia ina kirefu ambacho ni Pale Ovu Linapotokea Inabidi Sheria Ifuatwe...kuna jamaa yangu ni polisi nimemwuliza hapa hata yeye hajui, yani kachukulia mazoea kwamba ni kibali cha kumkamata mtu.
Ila kitefu chake hajui..
hahahaha
Subiri maporisi waje, lakini nina wasiwasi hata wao walilikuta na walio wengi wanaliendeleza tu,,,,,