Nini kirefu cha RB inayotolewa na Polisi

Naomba kuuliza

Hivi RB inayotolewa na polisi kirefu chake ni nini?
Na inatakiwa iwe na nini na nini?

Pia Shahidi anatakiwa kuitwa Kituo cha polisi au mahakamani?
 
Report Book ndo kirefu. Huwa inakuwa na tukio, Mahali husika. Huwa ni kwajili ya matumizi ya kipolisi.

Kuna uzi humu umeelezea vyema kabisa.
 
Report Book ndo kirefu. Huwa inakuwa na tukio, Mahali husika. Huwa ni kwajili ya matumizi ya kipolisi.

Kuna uzi humu umeelezea vyema kabisa.

Kwa hiyo mtu akipewa RB na polisi maana yake kapewa Report book (kitabu cha taarifa)??!!
 
... kwenye ile kesi maarufu zaidi nchini ya ugaidi wa Mbowe na wenzake misamiati yote ya kipolisi iliwasilishwa, kusikilizwa, na kufafanuliwa mahakama kuu mbele ya majaji watatu tofauti. Tatizo hamfuatilii mambo ya muhimu kama haya.
 
Kwa hiyo mtu akipewa RB na polisi maana yake kapewa Report book (kitabu cha taarifa)??!!
Zile ni namba za kumbukumbu kutoka kwenye report book.(RB)

Ambapo kuna maelezo ya kesi husika na mpelelezi wa kesi hyo.
 
Naomba kuuliza

Hivi RB inayotolewa na polisi kirefu chake ni nini?
Na inatakiwa iwe na nini na nini?

Pia Shahidi anatakiwa kuitwa Kituo cha polisi au mahakamani?
Na ukishapatiwa RB ni nani anatakiwa kumtafuta mhalifu wako???? ni polisi au mlalamikaji maana imekua nongwa unaambiwa mtafute mhalifu wako binafsi
 
Back
Top Bottom