Nini kinasababisha utembee na house girl/boy?

Kuto timiza majukumu yao hasa wanawake.

Pia ni umalaya wetu sisi wenye uume ndio chanzo pia.

Suluhu ni kila mtu kutima wajibu wake na sisi kupunguza umalaya.
Pia wanawake waache kuleta ma house girl wanavutia!



Sikualiani nawe hata kidogo. Nimeshuhudia mwanamke anatimiza wajibu wake Kama mke ipasavyo kabisaaaa lakini mwanamume ni kimeo.
Mi nashangaa sana wanaume wanapotupa lawama kwa wanawake eti hawatimizi wajibu wao wakati wao hawawajibiki vilevile. Sasa Huyo beki tatu ndo atakava ze gepu?
Mimi nafikiri ni hulka tu waliyojijengea wanaume kutoka nje ya ndoa hata Kama mwanamke ni expert wa wajibu wake.
 
:biggrin1: afu mi housegal mingine ina sifa, anapika chakula kinakua kitamu yaani siku akiwa off mkeo akapika unaona kabisa tofauti mtu unabakia kumuulizia mkeo 'hivi ulisema housegal atarudi lini' ndio hapo wanapoanzaga kuibiwa, alafu sio mume tu unakuta mpaka na watoto washamzoea housegal so hapo mume watoto wanammaindi hsgirl hapo mke ujue ndo basi tena imekula kwenu

Kwahiyo unatamani kulala na hausigeli kisa anapika chakula kitamu. Shabashhhh...
 
Mie housegirl ndo alinifundisha kubanjuana enzi nikiwa bado mdogo. Alinitoa ubikira kudadadeki..... Alinitegaje sasa? Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA wasisome hii sredi tafazali.

attachment.php

Alaaaaaaa kuuuumbeee
 
Last edited by a moderator:
mh kufanya mapenzi nje ya uhusiano halali kama wa mke na mume ni tabia chafu tu inayoambatana na mhusika kushindwa kuzuia tamaa yake ya mwili, ni ufuska tu hakuna cha huduma mbovu, kutotimiza majukumu wala nini? kwa mtu yeyote anayejitambua sawasawa na alie na utashi na anayejimudu ikiwemo kujizua tamaa zake hawezi kutembea na mfanyakazi wake wa ndani
 
Asprin ajibu hapa yeye kwa mwaka kesi za kukutwa anavunja amri na wajakazi ni zaidi ya nne. mchunga kondoo wa pale kwao ameomba uhamisho baada ya kuona mambo yanamshinda.
 
Hg wanajua mahaba na kumuenzi mume kama wao ndo wameolewa na ukiingia ndanimo ya penzi la hg hutoki n'gooooooo!!!hadi ufumaniwe kudadeki!!
 
Hg wanajua mahaba na kumuenzi mume kama wao ndo wameolewa na ukiingia ndanimo ya penzi la hg hutoki n'gooooooo!!!hadi ufumaniwe kudadeki!!

nimependa misimamo yako hupindishi. Ma house girl noma, ikikuta hiyo utafanya nini.
 
Ni katabia kalikojijenga hasa tukizungumzia wanaume kuchukulia kila mwanamke anaekuwa kwenye anga yako ni kwa matumizi ya URODA tu Na kitu kingine penzi la wizi huwa ni taamu saaana,kwahiyo hata kama usiku amepewa na mkewe tunda mpaka akasema imetosha, si ajabu usiku huo huo kumvizia mke kapitiwa na usingizi na kwenda kwenye chumba cha beki 3 na kuomba game upyaaaa!! CHA MUHIMU HAPA NI KUMWOGOPA MUNGU KWA KUHESHIMU NDOA ZETU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom