Mwanaume usimuonee huruma mwanamke aliyeachwa/kutelekezwa na mume wake wa ndoa

PharaohMtakatifu

JF-Expert Member
Jul 3, 2023
659
1,074
Uzima na Afya Tele ziwe kwako wewe mwana JF.

Katika kukua kwangu Hadi najitambua na kupata akiri na hatimae NaMi kuwa na familia ya Watoto kazaa na michepuko pamoja na watoto wa Nje pia. Mimi kama mwanaume nimejionea mengi kiasi japo sija ya maliza.

Utafiti nilio fanya Kwa muda mrefu sana na nilkuwa najiuliza mno kwanini baadhi ya wanaume hutelekeza familia zao pamoja na watoto na kuamua kwenda kuoa au kuishi na mwanamke mwingine?

Huku akiiacha familia yake inateseka bila kuhudumia chochote hata kama uwezo anao?

Kwanini anaacha Watoto wake waliozaa na mke wake wa Ndoa na kwenda kulea Watoto wa kufikia na anawalea na kuwasomesha?

Haya ndio maswali niliyokuwa najiuliza mno. Nifatilia Kwa muda sana Moja ya sababu kuu niliyogundua ni UNGOVI WA NDANI YA FAMILIA.

Mama anapongombana baba Watoto wanapandikiziwa chuki Kwa baba Yao. Hii inawafanya Watoto kuwa na chuki na kutokumtii baba Yao na baba anakuwa Hana sauti Kwa Watoto.

Mfano ukiacha maagizo Kwa Watoto Unakuta hayajatekelezwa ukisema uwaadhibu mama anaingilia kati.

Hali hii mwanaume hujiona Hana thamani,sauti na mamlaka yoyote kwenye familia hiyo.

Endapo atapa sehemu anayopewa thamani yake kama mwanaume kuanzia Kwa mama Hadi Kwa Watoto baasi hujiona hapo alipo Kwa Sasa ni mahali sahihi.

Nature ya wanaume tumeumbwa kutawala hivo ukipata sehemu sahihi ukaona huo utawala wako basi moyo Huwa na amani sana.

Sababu nyingine ni uchawi (Imani) wanaume wengi hasa usukumani hukimbia miji yao na kwenda kuishi mbali baada ya kungudua mke wake ni mchawi.

Sababu nyingine isiyo na mantiki kivile ni kudai kuwa mwanaume anapoanza mahusiano na mwanamke mwingine hasa aliyefiwa na Mme nk basi huchukua nafasi hiyo kumloga (limbwata) Ili asahau kabisa familia yake.hii ipo pwani Kwa sana.

Kwanini nimesema mwanaume hutakiwi kumuonea huruma mwanamke aliyeachwa na mme wake wa Ndoa! Kwa sababu unakuwa huijui Kwa undani kuwa kwann mwanaume mwenzangu kamuacha Tena na watoto wake kabisa? Unapaswa ujiliuze sana maana usitegemee wewe utaheshimiwa na huyo mwanamke Ambae alishindwa kumheshimu Mme wake wa Ndoa na aliye zaa nae.

Ukienda kichwa kichwa tegemea maumivu. Kwa maana mwanamke na nmna hii usitegemee akabadirika kwako au wale Watoto wakabadirika sahau.

Wanawake wote walio achwa hawezi kamwe kukwambia kuwa kosa lilikuwa la kwake mara zote lawama Huwa anapewa mwanaume.

Unapaswa kujua sisi wanaume hata uwe Malaya au mhuni kiasi Gani huwezi sahau kwako. Mwanaume mlevi atalewa atajikojolea lakini atarudi kwakwe!

Mwanaume maskini hata familia yake ilale njaa Bado hataikimbia Kwa kisingizio Cha njaa! Sana sana ataenda mahali kutafta vibarua au kazi yoyote.

Ni ngumu sana mwanaume kuiacha familia yake Kwa sababu zisizo na mantiki! Ukiona hivyo mwongope sana mwanamke wa namna hiyo.

Vile wanaume Huwa hatusemi kamwe matatizo ya wke zetu ndio maana ni ngumu sana watu kujua matatizo ya mke wako na watoto yaliyo kupelekea wewe kuuacha huo mji na kwenda kuanza upya.

Sababu ni nyingi sana Kwa uchache tu ni hizo. Niwakaribishe Sasa nanyi Wana jamvi .
Wewe ni sababu Gani ambayo inaweza kukufanya ukafungasha vilago vyako na kwenda kuanza ukurasa mpya?

Karibuni sana.

NB:Nawakumbusha tu mvua ndo hizi wadogo, kaka na baba zangu tuzitumie kupanda miti ya matunda Kwa faida nyingi za kiafya.

Ahsanteen sana.

Screenshot_20231211-055001_1.jpg
 
Mwanaume anaikimbia familia yake pale heshima yake inaposekena.
Mwanamke ndie mvunja ndoa maandiko hayakusema mme,why mme hata awe mbwa,takataka atamalizia ushenzi wake nje lkn mke mwema ndoa yake huwa haivunjiki.
Shida ni mke kuacha KAZI yake ya ukondakta kugombea usukani na dereva lazima dereva atoke nduki.
 
Silaha kubwa ya mke ni watoto,watoto uelewa wakishaoa so usitelekeze wanao kwa upumbavu wa mkeo.
Timiza wajibu wako wajenge kiuchumi,kuwanyima watoto haki Yao Kisha mke aliyempa shetani mamlaka ya kumuongoza ni ushetani zaidi.
Mwanaume ni sawa na bulldozer kazi Yako ni kuwahudumia familia Yako bila kutegemea malipo huku ukijiandaa maisha Yako wakikukumbuka uzeeni sawa wasipokumbuka sawa.
 
Uzima na Afya Tele ziwe kwako wewe mwana JF.

Katika kukua kwangu Hadi najitambua na kupata akiri na hatimae NaMi kuwa na familia ya Watoto kazaa na michepuko pamoja na watoto wa Nje pia. Mimi kama mwanaume nimejionea mengi kiasi japo sija ya maliza.

Utafiti nilio fanya Kwa muda mrefu sana na nilkuwa najiuliza mno kwanini baadhi ya wanaume hutelekeza familia zao pamoja na watoto na kuamua kwenda kuoa au kuishi na mwanamke mwingine?

Huku akiiacha familia yake inateseka bila kuhudumia chochote hata kama uwezo anao?

Kwanini anaacha Watoto wake waliozaa na mke wake wa Ndoa na kwenda kulea Watoto wa kufikia na anawalea na kuwasomesha?

Haya ndio maswali niliyokuwa najiuliza mno. Nifatilia Kwa muda sana Moja ya sababu kuu niliyogundua ni UNGOVI WA NDANI YA FAMILIA.

Mama anapongombana baba Watoto wanapandikiziwa chuki Kwa baba Yao. Hii inawafanya Watoto kuwa na chuki na kutokumtii baba Yao na baba anakuwa Hana sauti Kwa Watoto.

Mfano ukiacha maagizo Kwa Watoto Unakuta hayajatekelezwa ukisema uwaadhibu mama anaingilia kati.

Hali hii mwanaume hujiona Hana thamani,sauti na mamlaka yoyote kwenye familia hiyo.

Endapo atapa sehemu anayopewa thamani yake kama mwanaume kuanzia Kwa mama Hadi Kwa Watoto baasi hujiona hapo alipo Kwa Sasa ni mahali sahihi.

Nature ya wanaume tumeumbwa kutawala hivo ukipata sehemu sahihi ukaona huo utawala wako basi moyo Huwa na amani sana.

Sababu nyingine ni uchawi (Imani) wanaume wengi hasa usukumani hukimbia miji yao na kwenda kuishi mbali baada ya kungudua mke wake ni mchawi.

Sababu nyingine isiyo na mantiki kivile ni kudai kuwa mwanaume anapoanza mahusiano na mwanamke mwingine hasa aliyefiwa na Mme nk basi huchukua nafasi hiyo kumloga (limbwata) Ili asahau kabisa familia yake.hii ipo pwani Kwa sana.

Kwanini nimesema mwanaume hutakiwi kumuonea huruma mwanamke aliyeachwa na mme wake wa Ndoa! Kwa sababu unakuwa huijui Kwa undani kuwa kwann mwanaume mwenzangu kamuacha Tena na watoto wake kabisa? Unapaswa ujiliuze sana maana usitegemee wewe utaheshimiwa na huyo mwanamke Ambae alishindwa kumheshimu Mme wake wa Ndoa na aliye zaa nae.

Ukienda kichwa kichwa tegemea maumivu. Kwa maana mwanamke na nmna hii usitegemee akabadirika kwako au wale Watoto wakabadirika sahau.

Wanawake wote walio achwa hawezi kamwe kukwambia kuwa kosa lilikuwa la kwake mara zote lawama Huwa anapewa mwanaume.

Unapaswa kujua sisi wanaume hata uwe Malaya au mhuni kiasi Gani huwezi sahau kwako. Mwanaume mlevi atalewa atajikojolea lakini atarudi kwakwe!

Mwanaume maskini hata familia yake ilale njaa Bado hataikimbia Kwa kisingizio Cha njaa! Sana sana ataenda mahali kutafta vibarua au kazi yoyote.

Ni ngumu sana mwanaume kuiacha familia yake Kwa sababu zisizo na mantiki! Ukiona hivyo mwongope sana mwanamke wa namna hiyo.

Vile wanaume Huwa hatusemi kamwe matatizo ya wke zetu ndio maana ni ngumu sana watu kujua matatizo ya mke wako na watoto yaliyo kupelekea wewe kuuacha huo mji na kwenda kuanza upya.

Sababu ni nyingi sana Kwa uchache tu ni hizo. Niwakaribishe Sasa nanyi Wana jamvi .
Wewe ni sababu Gani ambayo inaweza kukufanya ukafungasha vilago vyako na kwenda kuanza ukurasa mpya?

Karibuni sana.

NB:Nawakumbusha tu mvua ndo hizi wadogo, kaka na baba zangu tuzitumie kupanda miti ya matunda Kwa faida nyingi za kiafya.

Ahsanteen sana.

View attachment 2839144
Umeeleweka vema mkuu
 
Back
Top Bottom