Mpe ushauri huyu kijana ili aufanyie kazi

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Mwaka 2020 June alifunga ndoa ya kidini katika kanisa la kisabato na binti wa umri wa miaka 20 yeye akiwa na 26.Mwaka mmoja baadae huyo mwanamke akapata ujauzito.

Akiwa kwenye ujauzito wa miezi 5 alianza mgogoro, akidai mume wake hafai ni mshamba,hajui mapenzi, hajui kumhandle na visababu vingiiiii. Best man alipojaribu kuingilia na kutoa ushauri mwanamke alimpa mabango ya kutosha

Mgogoro ukazidi kuwa mkubwa akadai talaka ila mume wake akakataa talaka ila mamlaka ikalazimisha talaka ikatoka

Huyo mwanamke akaenda kukaa mkoa jirani kwa ndugu zake na akajifungulia huko

Juzi huyu huyu mwanamke anampigia best man wa mwanaume eti anaomba awaunganishe na aliyekuwa mme wake warudiane wajenge ndoa yao na kumtunza mtoto

Best man akawa anamuuliza"Siamini kama ni wewe unasema hayo maneno au ni mzimu "Mwanamke akajibu ni mimi shem nimejirekebisha kwa Sasa"
Akamuuliza tena na ile talaka je ? Akajibu" Lile ni karatasi "

Kijana alikuwa ameanza mahusiano mapya ndo miezi miwili, ila anasema anampenda aliyekuwa mke wake na hapa anawaza afanyeje,?

Mpeni ushauri
 
Imeisha hiyo. Warudi pamoja waendeleze walipoishia
 
Kwa kuwa bado anampenda, na vile anamtoto wake basi kwa maslahi ya upendo wake na malezi bora ya mtoto basi Mi nashauri ana warudiane. Ila lazima arudi kanisani Tena kufunga ndoa... 😁
 
Kijana alikuwa ameanza mahusiano mapya ndo miezi miwili, ila anasema anampenda aliyekuwa mke wake na hapa anawaza afanyeje,?
Sasa hapa kuna maumivu kwa huyo mwanamke mpya wa miezi miwili halafu kuna furaha kwa huyo mwanamke mwenye mtoto.

Kama mtu aliamua kwenda nje bora kumuacha aende tuu kuliko kusababisha maumivu kwa mwingine
 
Mwaka 2020 June alifunga ndoa ya kidini katika kanisa la kisabato na binti wa umri wa miaka 20 yeye akiwa na 26.Mwaka mmoja baadae huyo mwanamke akapata ujauzito.

Akiwa kwenye ujauzito wa miezi 5 alianza mgogoro, akidai mume wake hafai ni mshamba,hajui mapenzi, hajui kumhandle na visababu vingiiiii. Best man alipojaribu kuingilia na kutoa ushauri mwanamke alimpa mabango ya kutosha

Mgogoro ukazidi kuwa mkubwa akadai talaka ila mume wake akakataa talaka ila mamlaka ikalazimisha talaka ikatoka

Huyo mwanamke akaenda kukaa mkoa jirani kwa ndugu zake na akajifungulia huko

Juzi huyu huyu mwanamke anampigia best man wa mwanaume eti anaomba awaunganishe na aliyekuwa mme wake warudiane wajenge ndoa yao na kumtunza mtoto

Best man akawa anamuuliza"Siamini kama ni wewe unasema hayo maneno au ni mzimu "Mwanamke akajibu ni mimi shem nimejirekebisha kwa Sasa"
Akamuuliza tena na ile talaka je ? Akajibu" Lile ni karatasi "

Kijana alikuwa ameanza mahusiano mapya ndo miezi miwili, ila anasema anampenda aliyekuwa mke wake na hapa anawaza afanyeje,?

Mpeni ushauri
2024
 
Wakue wote ni watoto wanaonekana....
 
Walee mtoto asijaribu kumrudia huyo mwanamke…huyo kasha achwa na bwana ake sasa anataka kurudi
 
Dogo hapigi rungu ipasavyo, piga rungu demu wa Kisabato anene kwa lugha, goli la pili anaongea Kiarabu kama mungu wa FaizaFoxy, goli la tatu piga mbunye hadi aimbe nyimbo zote za Roma Katoliki na atokewe na Bikira Maria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom