Nini kinasababisha utembee na house girl/boy?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Je, hujashuhudia mwanaume/mke anaacha mke/mme mzuri nyumbani na kwenda kutembea na mwanamke/mme ambaye ni garbage?
Je, uzuri wa mwanamke/mme ni sura au elimu yake au kiwango cha hisia na muda anaokupa mwanaume/mme katika ndoa?
Naamini jibu unalijua......!

Hii ni changamoto sana kwa ndoa nyingi sana!
Toa sababu ikiwezekana na suluhisho huenda ukanusuru ndoa moja au zaidi kwa mchango wako...!!

AMEN..............!!
 
Kuto timiza majukumu yao hasa wanawake.

Pia ni umalaya wetu sisi wenye uume ndio chanzo pia.

Suluhu ni kila mtu kutima wajibu wake na sisi kupunguza umalaya.
Pia wanawake waache kuleta ma house girl wanavutia!
 
Mie housegirl ndo alinifundisha kubanjuana enzi nikiwa bado mdogo. Alinitoa ubikira kudadadeki..... Alinitegaje sasa? Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA wasisome hii sredi tafazali.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Kuto timiza majukumu yao hasa wanawake.

Pia ni umalaya wetu sisi wenye uume ndio chanzo pia.

Suluhu ni kila mtu kutima wajibu wake na sisi kupunguza umalaya.
Pia wanawake waache kuleta ma house girl wanavutia!

Unajua mkuu housegirls wengi wanatolewa bush, Wengi wanakuwa hawavutii na uzuri/mvuto wao hauonekani
Sasa akifika mjini, anakula vizuri nazoea mazingira anaanza kunawili, halafu baada ya kupata tupesa anajinunulia nguo n.k Hapo mzee mtoto anaanza kuvutia, Kila kukicha vijanadume haviishi getini!!!

Vishawishi vinaanza mpaka unaingizwa King!!
Bora utoke kazini upitie bar unywe ukirudi weshalala, Hii mambo ya kuwahi home noma mkuu
 
Huo ni ufuska tu wa mtu unaweza kua
na hgirl mbaya mke anakuridhisha lkn bado jamaa likawa linapiga hgirl
 
Pia usisaha wanaume wengi wanapenda vitoto vidogo vidogo ambavyo havijatumika saaana, si una jua tena flavour ina-matter katika mambo haya? Akivitokea vitoto vidogo mtaani vinamtolea nje au anaogopa kuumbuka wakati hsgrl hawezi kumkatalia. So anaamua kujipigia pasi za visigino na mabao kiulaini. Hapa sijui suluhisho ni nini.
 
AAiiiseeeeeeeeee kumbe! Sasa mtaani mbona vimejaa au wa mtaani unatakiwa kuwa na helmet?
 
AAiiiseeeeeeeeee kumbe! Sasa mtaani mbona vimejaa au wa mtaani unatakiwa kuwa na helmet?

Mapapalazi mtaani wanatisha. Haichukui raundi mzee mzima unaanza kuitwa na vijana "mzee wa watoto, mzee kijana...." afu hivyo vya mtaani risk ni kubwa coz vingi vipo kibiashara zaidi. Sasa taabu zote za nini wakati ndani unajing'wenyea tu tartiibu! Hadi wife aje astuke mtoto ulishampeleka shule as "gratuity" to her royalty. Au nasema uwongo mazee?
 
Je, hujashuhudia mwanaume/mke anaacha mke/mme mzuri nyumbani na kwenda kutembea na mwanamke/mme ambaye ni garbage?
Je, uzuri wa mwanamke/mme ni sura au elimu yake au kiwango cha hisia na muda anaokupa mwanaume/mme katika ndoa?
Naamini jibu unalijua......!

Hii ni changamoto sana kwa ndoa nyingi sana!
Toa sababu ikiwezekana na suluhisho huenda ukanusuru ndoa moja au zaidi kwa mchango wako...!!

AMEN..............!!
inasababishwa na mama mwenye nyumba mwenyewe kusahau majukumu yake na kumuachia house girl na v/s
 
eeeeh CUTE upo? Umenistua kidogo
Haya wamama kazi kwenu
niko kibweka ........ila hata nyie wababa hua mnajisahau sana mweh! sa ingine mpaka mtu unaanza kuwaza au mwenzangu ngiri imemkamata nini mbona hata hajishugulishi na wala nikimgusa hashtuki
 
Isije ikawa ni mahanjamu housegirl anayatoa kwa mzee! ...............

:biggrin1: afu mi housegal mingine ina sifa, anapika chakula kinakua kitamu yaani siku akiwa off mkeo akapika unaona kabisa tofauti mtu unabakia kumuulizia mkeo 'hivi ulisema housegal atarudi lini' ndio hapo wanapoanzaga kuibiwa, alafu sio mume tu unakuta mpaka na watoto washamzoea housegal so hapo mume watoto wanammaindi hsgirl hapo mke ujue ndo basi tena imekula kwenu
 
kwenye black ndio mana kwangu mm hakutakaa kuweko na house girl 4reva nitafanya peke yangu kila kitu....mweh!
 
unajua watu wengi wakioana kuna kipindi inafika wanakuwa wamezoeana mpaka wanajisahau. mf.utakuta mazungumzo mengi yana-base kwenye kukuza kipato mpaka wanasahau majukumu ya unyumba. mama akigusa utasikia leo nimechoka unajua ile tenda flan inanipa head ache, baba naye akigusa mama naye anasema kachoka. sasa nani atawasaidia kupunguza mihemko, mwisho wa siku wanaangukia kwenye mitego ya haus boy/girl kwan hao ndio wapo karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom