Nini kinamsukuma Baba kumlala Binti yake?

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
654
183
Leo katika Jambo Tanzania kuna habari ya kusikitisha kuhusu binti (15) anayesoma darasa la tano huko Lindi.

Binti huyo alikuwa ni mtoro na mvivu, walimu walipofuatilia wakabaini kumbe huwa baba yake huwa anamlala. Cha kushangaza ni kuwa binti huyo anaishi peke yake na mzazi huyo wa kiume baada ya kutengana na mkewe. Na tabia hii ni ya muda mrefu na pia baba huyo alitishia kumuua kama angelisema kuhusu vitendo anavyovifanya.

Jamani tusiwe tunaangalia mambo makubwa tuu na kusahau mambo ya kijamii yanayotuzunguka.

Nawasilisha

Source: TBC1 Jambo Tanzania
 
Kinachomsukuma ni imani ndogo katika dini yake na kufata msemo wa kula kuku na mayai yake!!
 
Leo katika Jambo Tanzania kuna habari ya kusikitisha kuhusu binti (15) anayesoma darasa la tano huko Lindi.

Binti huyo alikuwa ni mtoro na mvivu, walimu walipofuatilia wakabaini kumbe huwa baba yake huwa anamlala. Cha kushangaza ni kuwa binti huyo anaishi peke yake na mzazi huyo wa kiume baada ya kutengana na mkewe. Na tabia hii ni ya muda mrefu na pia baba huyo alitishia kumuua kama angelisema kuhusu vitendo anavyovifanya.

Jamani tusiwe tunaangalia mambo makubwa tuu na kusahau mambo ya kijamii yanayotuzunguka.

Nawasilisha

Source: TBC1 Jambo Tanzania

mimi nafikiri kinachomsukuma ni imani yake ,inayoamini kwenye kutenda uovu kuliko uadilifu na wema...hapa namaanisha individual belief and si vinginevyo people should not get me wrong.
 
this is religious issue,I would reccomend this Baba apewe kwanza mafundisho dini ili akiwa jela aendelee kutubu.
 
mimi nahisi ya fuatayo:

1. Huyo baba ana matatizo ya akili akapimwe

2. Ana pepo la ngono

3. Shetani kamuingia sana

4. Kasha badilika kuwa jini

5. Si mtu wa kawaida ni shetani

6. Hana tofauti na mnyama

7. Amechanganyikiwa baada ya kuachana na mkewe

8. Apelekwe jela


anapaswa aitwe firauni mkubwa

inasikitisha sana sana sana
 
huyo baba atakuwa ana laana tena ya kutokea kuzimu kabisa mhhhh, kama yupo mwngne huko aache mara 1 coz huo moto wake......me ctak ushahid kabisa
Enyi watu tumrudie Mungu jamen mhhhhh
 
Nafikiri hili jambo si la kuhukumu kwa jazba: ni tatizo kubwa ambalo linahitaji uchunguzi wa kina,
Kwanza: anapaswa kufanyiwa uchunguzi zaidi pengine anaweza akawa na matatizo ya kisaikolojia baada ya kutengana na mkewe au kuwepo kwa matatizo mengine zaidi ya hilo la kutengana!
Pili: pengine anaamini katika mambo ya kiovu ndo maana anafanya hivo
tatu: pengine baada ya kutengana bado anahitaji mwenza lakini DOMO ZITO, amezowea vya kukaba- hili nalo ni la kisaikolojia pia!
NB: hilo tatizo alilianza kabla au baada ya kutengana na Mwenza wake?
ni baada ya kudadavua chanzo kilichopelekea huyo baba kufanya hivo ndivo tunaweza kuamua kumtuma JELA ili iwe fundisho!
CHANGAMOTO: akipelekwa jela nani atabeba majukumu ya malezi na matunzo ya mtoto huyo? Maanake watanzania tumekuwa Hodari sana kupeleka watu Jela uku tukisababisha matatizo mengine makubwa ndani ya jamii kwa sababu hakuna ambaye yuko tayari kuchukua na kubeba majukumu yaliyokuwa yanabebwa na mjelajela!:A S 13: I stand to be corrected!
 
kuna watu wadini humu sijui wanafaidika nini wakishaandika ushuzi wao:A S 112:
 
swala sio udini bali ni upungufu wa akili wa mtuhumiwa.

absolutely, si dini bali ni animal instict aliyonayo huyu kiumbe. Kuna watu wengi tu wanaweza wakafanya vitu vya ajabu kabisa kama wanadhani hawata kamatwa. Huwa najiuliza pia ni kitu gani kinachomfanya mtu mzima kubaka watoto au walemavu? Je ni akili zao zinakuwa kama za beberu ambaye zikipanda yeye ni kwa yeyote tu atakayempata kwa urahisi? Au ni nini?
Tena saa nyingine unasikia a teenage boy kamlawiti mdogo wake wa miaka mitano..... just bizzare stories.
Kubaka si kwema but kwa nini watu wazidi kukufuru na kubaka watoto wao au wadogo zao?
 
Back
Top Bottom