Binti mkubwa wa Dr Dre analala nje kwenye gari wakati baba yake ni billionaire

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,717
29,074
Mzuka wanajamvi.

Binti mkubwa wa Dr Dre Latanya Young 40 ni homeless analala nje kwenye Gari la kukodi ambalo pia analitumia kwa shughuli za food delivery.

20240213_203137.jpg


Dr Dre jina halisi Andre Romelle Young 59 rapper maarufu kutoka Marekani ambaye ana utajiri wa dollars za kimarekani billion moja hajawahi kuonana na kukutana uso kwa uso na binti yake huyo kwa muda wa miaka 20. Binti yake anasema hata namba yake ya simu haijui.


1707851215665.png

Single mother huyo mwenye watoto wanne Tatiyana 18, Rhiana 15, D'Andre 10 (jina la babu yake) na Jason 5 ni binti ya ex wa Dre Lisa Johnson ambaye aliachana na Dre Latanya akiwa na miaka mitano.

Tatiana anasema kwa kulia huwezi amini Dr Dre ni baba yangu na billionaire lakini naishi maisha magumu na ya kuunga unga na kulala nje.

Anasema anafanya kazi kwenye warehouse nakulipwa USD 15 kwa saa na pia kazi za food delivery uber eats na doordash.

LaTayna, mom of Tatiyana, 16, Rhiana, 13, D'Andre, eight, who is named after his grandfather, and Jason III, three, said: 'I've been working in a warehouse and doing Uber Eats and DoorDash.

Watoto wake wanaishi na marafiki haishi na yeye kwenye Gari.

'I'm taking odd jobs just to make it now - I got paid $15 an hour as an assembler at the warehouse.

'I'm trying to keep my head above water. I've been in debt for a while.'

20240213_203211.jpg

Dr Dre hataki kabisa kuongea wala kumsikia binti yake huyo mkubwa eti kwasababu alimuongelea vibaya kwenye vyombo vya habari. Hata wajukuu zake hao wanne wameshangaa kwanini Babu yao hatakataa na hawajawahi kuonana naye.

Dr Dre alimlipa fidia Talaka mke wake mwengine 100 m usd Nicole young. Pia Dr Dre alitoa dollars million 7 cash ili atumbuize kwenye superbowl 2022.

Licha ya binti yake kuishi nje Dr dre anachangia sana mamilion ya dollars kwenye charities na mifuko mengine.
 
Mastaa wengine wanaowakataa ndugu zao ni Marah Carey ambaye ana utajiri wa usd million 500 hataki kumsaidia na kukutana na dada yake pekee. Mariah Carey ana donate nakuchangia mamillion ya pesa kwenye charities za kutunza mbwa.

Pia Madonna hadi kifo kilipomchukua kaka yake hajawahi kumsaidia nakumuacha alale nje homeless licha ya utajiri wa madonna sasa hivi kuelekea dolls billion 1.
 
Kuna vingi nyuma ya pazia ukitaka kupatana na mtu always online au kwenye vyombo vya habari sio sehemu sahihi, mimi ukikosana na mimi nitafute uongee na mimi ukimuingiza mtu wa tatu tu hata kama ni mzazi wangu siwezi kuelewana na wewe hata
 
Maisha ya hao watu hasa yues huwa yanachangamoto sana ni mwendo wa kukataana hata movie nyingi huwa zinaonesha baba wakiwabembeleza watoto waweze kuongea nao so labda back in the days mtoto aliwahi kumwambia baba "I don't wanna see you again"
Kobe Bryant wazazi wake walimtenga kwasababu hawakutaka aoe mlatino. Hadi Kobe anakufa hawajawahi kupatana na wazazi wake.

Cha kushangaza huyuhuyu mlatino waliyemkataa Kobe asimuoe alimvumilia Kobe kwenye ondoa hadi kwenye mauti licha ya Kobe kucheat mara kwa mara. Angekuwa na uwezo wa kuomba talaka na kugawana Mali pasu kwa pasu.
 
Mwanaume hawezi kataa damu yake hivi hivi.

Kama huyo binti alimuongelea vibaya baba yake, kwa nini sasa hivi anataka huruma mtandaoni?

Akomae na msimamo wake asitafute attention za kutia tia huruma.

Pablo Escobar aliwahi kusema kwamba,
" Only those who went hungry with me shall seat on my table"

Sasa huyo binti kama alimuongelea vibaya baba yake abaki na msimamo wake otherwise anyenyekee na kuomba msamaha sio kutafuta huruma za mitandaoni.
 
Baba hapaswi kulalamimiwa, aliyemzalisha watoto wanne abebe jukumu lake.Mtu mzima huyo leo mnataka baba alaumiwe, mwaxhe alambe lami, sikio halizidi kichwa.Na Bado atauza hadi mbususu alee watoto wake akishindwa ampeleke au awapeleke mahakamani baba wa watoto.Tunaelekea msibani Monduli, tukutane pale kwenye kiosk cha mjuba tushtue
 
Binti Aende kwa uncle wake snoop D.O Motherf**ker double G
Wakadiscuss hilo suala huku wanaskiliza ile nyimbo ya Still
It's still Dre Day nigga🎶 AK nigga🎶
Though I've grown a lot🎶
can't keep it home a lot🎶
'Cause when I frequent the spots that I'm known to rock🎶
You hear the bass from the truck when I'm on the block🎶
 
Red flags kila mahali.
40years single mama aliutumia vibaya ujana wake, ukijumlisha na watoto wa 4 na usikute wana baba tofauti.
Mpaka baba ana mkataa mtoto wake tena wa kike, kuna mengi nyuma ya pazia sio rahisi hivyo.
 
Back
Top Bottom