King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Ulinikumbusha mmama mmoja ofcn alifiwa na mume. Msibani mabinti wake 2, like 25 yrs olds wanalia. Mama mmoja ofcn ambae ni mtani wake akawashushua, mnamlilia baba yenu mnamjua! Kaondoka you were not in nursery school! Huu mwaka aliokuja kufia hapa ndo mnajifanya mnamjuaaa! Ndo tukapewa stori! Jamaa lilipata hela likaacha mke kwenye pagale 20 yrs ago. Limekula hela, limestaafu, limeliwa na hawara na kupewa bonus ya hiv. Kuuguzwa limenyanyaswa, likamtumia ujumbe mkewe wa ndoa. Kwenda hali aliyomkuta nayo, mama wa watu ni dr. Akamchukua akamleta home. Kaugua hapo in a year akafa. Hamna hata kikao cha msiba manake alikuja na kengele zake na vishati viwili bila viatu!
Ila dawa ya kulipa ubaya maybe ni kumsaidia tu (in a matter where he is dying). Otherwise akiinuka atakutenda tena. Ntamuuliza dr atakufa huyu ama? Lol
#evil mood#
Ila dawa ya kulipa ubaya maybe ni kumsaidia tu (in a matter where he is dying). Otherwise akiinuka atakutenda tena. Ntamuuliza dr atakufa huyu ama? Lol
#evil mood#
So sad. Ndio maana nasema hao dawa yao ni kuwatimua wauguzwe na ndugu zao.
Kama mama yake yuko hai akamuuguze...si alijifanya mjanja. Je angemkuta mkewe kaolewa?
Mkiama muwege na plan B. Na plan B yenyewe isiwe wife ulomtelekeza.