snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Kwanza hiyo miaka kumi ishirini bado ni mumeo? YAni hujadai talaka tu? Kama ana watoto basi watoto wake shurti wamuudumie baba yao. Lol. Mimi undugu uliisha.
kwanza kwa muda huo watakuwa walishakuwa wakubwa na waelewa,umeshawahi kuiona movie inaitwa ''its complicated''?