Nini kinakurudisha kwa mkeo?

Nini kinakurudisha kwa mkeo?

hata mie natamani wajibu, lakini na uhakika hawana jibu la mantiki.

Hivi unadhani wanaweza kwenda angukia nyumba ndogo? Hata kama nyumba ndogo hazijawafukuza, hivi kuna mwanamme anakubali msiba wake ufanyike kwa nyumba ndogo?

Wewe hawakuudhi, mie wananiudhi hadi nataka kupasuka ila basi tu.

Kama wanawake wana huruma si aende kumwangukia aloponda nae maisha??? Au yeye si mwanamke?

Ndio maana tunapenda wanaume wafunguke...wanaona ugumu gani kuwaangukia hao nyumba ndogo zao? Ni kipi kinachowafanya wapate ujasiri wa kurudi kwa wake zao macho makavu after so many years?
 


"Beautiful Surprise"
For the first time in my life
I just might be tongue tied
For me to wake up with you kissing me
Saying you've been missing me
What a beautiful surprise

Cause I wasn't expecting you till late tonight
No, and I didn't hear you come inside
But there's nothing in this world that I want more
Than to have my baby back in my arms

All I can say is
Uh, ah so happy that I could cry
What a beautiful surprise
Uh, ah my man is back on my side
What a beautiful surprise

I ain't that easy to shock
But it looks like you hit the spot
For me to wake up with you holding me
And telling me you're loving me
You've got my heart on love

Yeah
Cause I wasn't expecting you till late tonight
No, and I didn't hear you come inside
But there's nothing in this world that I want more
Than to have my baby back in my arms

All I can say is
Uh, ah so happy that I could cry
What a beautiful surprise
Uh, ah my man is back on my side
What a beautiful surprise

I was needing you so bad
You know, it feels like I'm dreaming
My mind explodes
For you to be the first thing that I see when I open my eyes
Such a beautiful, beautiful surprise

Uh, ah so happy that I could cry
What a beautiful surprise
Uh, ah my man is back on my side
What a beautiful surprise

Uh, ah so happy that I could cry
What a beautiful surprise
Uh, ah my man is back on my side
What a beautiful surprise

A beautiful surprise, yeah...
 
Last edited by a moderator:
loh....
Nimeamini ndoa ngumu..... Na inahitaji haswa mkono wa Mungu.... Na nashukuru Kongosho umenifungua macho haswa....


Ila nashangaa Asprin ruttashobolwa Bishanga nitonye Judgement Erickb52 Dark City Mbu Mtambuzi na wengineo siwaoni hapa, waje kutueleza kinachowafanya kukimbia familia zao ni nini? Kwa nini wabadilika vichwa vyao vina nini humo ndani.......
Labeka BADILI TABIA, nimekuitika kwa kuwa kuna mtu kanambia unaniita....

Maadam kwa kuwa mie sina mpango wa kumkimbia mke wangu mpendwa, ee Mungu nisaidie:
Na kwakuwa sina sababu yoyote ya kumkimbia mke na familia yangu, ee Mungu nisikilize:
Na kwakuwa sina nia wala uwezo wa kumkimbia mke wangu, ee Mungu nihurumie,
Mimi ODM nasikitika kukufahamisha kuwa siwezi kuchangia lolote kwenye huu uzi kwa kuwa sina mpango wa kuwashauri wanaume mabaradhuli wenye tabia mbaya kama soli ya kiatu cha Mugabe.

Baada ya kusema hayo, naomba uzifikishe salamu zangu za upendo toka moyoni kwa wake zangu Yummy na cacico. Ukimuona Kongosho naomba umwambie ntamuoa tena na tena na tena mpaka atakaponiambia yatosha.

Narudi mapangoni Chechnya.

Ntawamisi sana.
 
Last edited by a moderator:
Ndio wapi huko?


Umefumaniwa wapi tena hadi kuhamia Chechnia?

Nitakufundisha mbinu bora za matumizi ya gesti bubu kwa usalama wako

Inaitwa 'kitanda Security'

Labeka BADILI TABIA, nimekuitika kwa kuwa kuna mtu kanambia unaniita....

Maadam kwa kuwa mie sina mpango wa kumkimbia mke wangu mpendwa, ee Mungu nisaidie:
Na kwakuwa sina sababu yoyote ya kumkimbia mke na familia yangu, ee Mungu nisikilize:
Na kwakuwa sina nia wala uwezo wa kumkimbia mke wangu, ee Mungu nihurumie,
Mimi ODM nasikitika kukufahamisha kuwa siwezi kuchangia lolote kwenye huu uzi kwa kuwa sina mpango wa kuwashauri wanaume mabaradhuli wenye tabia mbaya kama soli ya kiatu cha Mugabe.

Baada ya kusema hayo, naomba uzifikishe salamu zangu za upendo toka moyoni kwa wake zangu Yummy na cacico. Ukimuona Kongosho naomba umwambie ntamuoa tena na tena na tena mpaka atakaponiambia yatosha.

Narudi mapangoni Chechnya.

Ntawamisi sana.
 
vikao vya familia!!!!!!!!!!!!!

kwa nini hawakukaa kumshurutisha mume amuache kimada wakati wa uzima wake?

na wanaume kwa nini hawajifunzi kuwa nyumba ndogo zipo kimaslahi pekee?

nikirudi kwenye mada, sababu nyingine hapa ni presha kutoka nje, kulazimisha wake wawapokee wanaume hawa...




Nakubaliana na wewe100%.. Imewai kumtokea babaangu mkubwa. Yeye alikua ni dereva wa magari makubwa akisafiri nchi kadhaa kupeleka mizigo,bahati nzuri mwanzoni mwa ndoa yeke alikua ni mtu mwenye malengo ya maisha akabahatika kujenga nyumba mbili nzuri,Moja alijenga katikati ya mji na nyingine pembeni kidogo. ya mjini ndio alikua anaishi na familia yake yenye watoto wadogo wawili ambapo mkubwa alikua ni miaka takribani mitano..sijui shetani gani alimpitia ndoa yake ikaanza kusumbua,familia yake ilikua mbeya alikua akitoka dar anapitiliza hadi zambia au Congo hivyohivyo akitoka Congo mpaka dar bila kuijulia hali familia yake..ikaja kungundulika baadae kuwa tayari anabi-mdogo zambia ambae anaishi nae kama mkewe. Mkewe baada kusikia hizo habari suku moja akamhoji. ikawa balaa,ulizuka ugomvi mkubwa sana... Siku moja mke hana hili wala lile alijikuta anaambiwa nyumba wanayoishi imeuzwa hivyo wahamie nyumba ya pembeni ya mji ambayo aliipangisha,na kumwambia kuwa hiyo ndio itakua nyumba yake hivyo wasijuane, mama mkubwa alijua utani, akashangaa miaka inakatika mmewe hakanyagi nyumbani,kuulizia jamaa zake wanasema yupo na anafanya safari zake kama kawaida ila mke wa Zambia ndio kama mkewe rasmi....amekuja kurudi mwaka jana huku akiwa amepooza upande mmoja wa mwili na kumpigia magoti mkewe kwamba anaomba msamaha maana huko Zambia bi-mdogo wametibuana, ni baada ya kuona jamaa anaumwa na hana uwezo tena wa kufanya majukumu kama awali akaamua kumtelekeza...baba mkubwa alirudi na kabegi tu kenye nguo chache huku hata hele ya kujiuguza hana....mke alijaribu kumkataa lakini vikao vya familia vilisaidia kumrudisha kwe mstari akakubali kumpokea kwa masharti kuwa atapewa chumba chake binafsi kama msaada huku familia ikichangishana kuhusu matibabu yake..mtoto aliemwacha na miaka mitano anarudi mwaka jana yupo kidato cha kwanza.!!
 
hahahah nyumba kubwa,
wakihama hawa hawana plan B, hunogewa na starehe tu.....
yakiwakuta ya kuwakuta wanarudi kwa wake zao kuwaongezea shida....

kuna mwanamke mmoja mumewe akirudi nyumbani tu ujue anaumwa....
akishapona anatimka nyumba ndogo.....
mke anakaa nyumba ya kupanga ila nyumba ndogo inakaa kwenye nyumba aliyojenga na mkewe

suprisingly akirudi anauguzwa, akipona anatimka, hata mke roho haimshtuki na wala hamfukuzi... na anajua atarudi akiumwa, hata akifululiza miaka mitatu nyumba ndogo atarudi aumwapo.... mie nimeshindwa kushangaa na ndoa hii...

tena heri huyo anahama kwa vipindi...kuliko wale wanapiga miaka 10, 20



So sad. Ndio maana nasema hao dawa yao ni kuwatimua wauguzwe na ndugu zao.

Kama mama yake yuko hai akamuuguze...si alijifanya mjanja. Je angemkuta mkewe kaolewa?


Mkiama muwege na plan B. Na plan B yenyewe isiwe wife ulomtelekeza.
 
Last edited by a moderator:
Paloma,
inasikitisha sana.....

Unamsamehe mtu, anakuja kukuambukiza maradhi!!!!!!!
Hapa unakua umeokoa nini? Ndoa? Na watoto kuwaachaje?

Hii inadhihirisha ubinafsi wa wanaume, hivi mwanaume ameathirika, anarudi kwa mkewe na anafurahia tendo la ndoa na kumuangamiza mkewe, ni mzima kweli upstairs?

BADILI TABIA hawa hawakurudiana kiasi cha kuendeleza unyumba!
Yule mama mmoja alipata taarifa kuwa mzee yupo taabani. kwenda kumuona ndio ikabidi amhamishie hospitali ambapo after some time alifariki. Kwa hiyo huyu mama alimsindikiza hadi mauti wakati nyumba ndogo alimuacha akiwa hana kitu -NIL!

Huyu aliyepigiwa simu yeye aliambiwa tu mumeo kalazwa wodi flani kauguze! Akaenda siku ya kwanza kumuona, siku ya pili anaambiwa kavuta kamba! akamuandalia makazi yake ya milele (mazishi)

swali, why hao nyumba ndogo hawako committed kama kweli wanataka mume? why dont they escort those guys to their death days?!?! Why hawa wamama ndio wabebe mizigo ya kuwasindikiza mautini? NI upendo, huruma au nikitu gani hii?
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahaaa

umenivunja mbavu.....

urudi mapema my hubby na rudi na mfuko wa hela.....
Kongosho keshakujibu...

loh...




Labeka BADILI TABIA, nimekuitika kwa kuwa kuna mtu kanambia unaniita....

Maadam kwa kuwa mie sina mpango wa kumkimbia mke wangu mpendwa, ee Mungu nisaidie:
Na kwakuwa sina sababu yoyote ya kumkimbia mke na familia yangu, ee Mungu nisikilize:
Na kwakuwa sina nia wala uwezo wa kumkimbia mke wangu, ee Mungu nihurumie,
Mimi ODM nasikitika kukufahamisha kuwa siwezi kuchangia lolote kwenye huu uzi kwa kuwa sina mpango wa kuwashauri wanaume mabaradhuli wenye tabia mbaya kama soli ya kiatu cha Mugabe.

Baada ya kusema hayo, naomba uzifikishe salamu zangu za upendo toka moyoni kwa wake zangu Yummy na cacico. Ukimuona Kongosho naomba umwambie ntamuoa tena na tena na tena mpaka atakaponiambia yatosha.

Narudi mapangoni Chechnya.

Ntawamisi sana.
 
Last edited by a moderator:
BAK
haya maneno haya...................



All I can say is
Uh, ah so happy that I could cry
What a beautiful surprise
Uh, ah my man is back on my side
What a beautiful surprise


yamenifanya nigune tu.....

 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
@paloma,

nyumba ndogo siku zote hawana mapenzi....

wanapenda pesa.... na pesa/starehe ndo kichocheo chao..... huwa nawaita "majini wala fedha" fedha zikiisha biashara imekwisha...

hawana muda kipindi cha kuporomoka iwe kiafya au kiuchumi..... ila wanaume wanavyobembelezwa kiwiziwizi wanajiona wanapeeendwa mke anakuwa kapitwa na wakati.....

tena mbaya zaidi wanaume ukistruggle nae wakati hana kitu, mkipata wengi wao wanarun away mpaka wakatawanye hukoooooooo arudi mweupeeeeeeeee.............

kwa mke kama walivyosema wachangiaji waliopita, nadhani ndo kumstiri mumeo, na kiukweli mume akiumwa hata baadhi ya ndugu hukimbia, na for the sake ya watoto pia....

na hapa nimegundua kwa ajili ya watoto wanawake wanajitoa kupita kawaida, wanafanya mambo ambayo huwezi kudhani kuwa watafanya....... wanavumilia haswa...

inashangaza kwa kweli..





BADILI TABIA hawa hawakurudiana kiasi cha kuendeleza unyumba!
Yule mama mmoja alipata taarifa kuwa mzee yupo taabani. kwenda kumuona ndio ikabidi amhamishie hospitali ambapo after some time alifariki. Kwa hiyo huyu mama alimsindikiza hadi mauti wakati nyumba ndogo alimuacha akiwa hana kitu -NIL!

Huyu aliyepigiwa simu yeye aliambiwa tu mumeo kalazwa wodi flani kauguze! Akaenda siku ya kwanza kumuona, siku ya pili anaambiwa kavuta kamba! akamuandalia makazi yake ya milele (mazishi)

swali, why hao nyumba ndogo hawako committed kama kweli wanataka mume? why dont they escort those guys to their death days?!?! Why hawa wamama ndio wabebe mizigo ya kuwasindikiza mautini? NI upendo, huruma au nikitu gani hii?
 
mhhh BADILI TABIA umesema vema mwayego!!!

so kuna wanawake wenye huruma ya ajabu....
kuna wanawake wenye waso huruma katika kuzishughulikia pesa za waume wa watu.........
ay seee
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe100%.. Imewai kumtokea babaangu mkubwa. Yeye alikua ni dereva wa magari makubwa akisafiri nchi kadhaa kupeleka mizigo,bahati nzuri mwanzoni mwa ndoa yeke alikua ni mtu mwenye malengo ya maisha akabahatika kujenga nyumba mbili nzuri,Moja alijenga katikati ya mji na nyingine pembeni kidogo. ya mjini ndio alikua anaishi na familia yake yenye watoto wadogo wawili ambapo mkubwa alikua ni miaka takribani mitano..sijui shetani gani alimpitia ndoa yake ikaanza kusumbua,familia yake ilikua mbeya alikua akitoka dar anapitiliza hadi zambia au Congo hivyohivyo akitoka Congo mpaka dar bila kuijulia hali familia yake..ikaja kungundulika baadae kuwa tayari anabi-mdogo zambia ambae anaishi nae kama mkewe. Mkewe baada kusikia hizo habari suku moja akamhoji. ikawa balaa,ulizuka ugomvi mkubwa sana... Siku moja mke hana hili wala lile alijikuta anaambiwa nyumba wanayoishi imeuzwa hivyo wahamie nyumba ya pembeni ya mji ambayo aliipangisha,na kumwambia kuwa hiyo ndio itakua nyumba yake hivyo wasijuane, mama mkubwa alijua utani, akashangaa miaka inakatika mmewe hakanyagi nyumbani,kuulizia jamaa zake wanasema yupo na anafanya safari zake kama kawaida ila mke wa Zambia ndio kama mkewe rasmi....amekuja kurudi mwaka jana huku akiwa amepooza upande mmoja wa mwili na kumpigia magoti mkewe kwamba anaomba msamaha maana huko Zambia bi-mdogo wametibuana, ni baada ya kuona jamaa anaumwa na hana uwezo tena wa kufanya majukumu kama awali akaamua kumtelekeza...baba mkubwa alirudi na kabegi tu kenye nguo chache huku hata hele ya kujiuguza hana....mke alijaribu kumkataa lakini vikao vya familia vilisaidia kumrudisha kwe mstari akakubali kumpokea kwa masharti kuwa atapewa chumba chake binafsi kama msaada huku familia ikichangishana kuhusu matibabu yake..mtoto aliemwacha na miaka mitano anarudi mwaka jana yupo kidato cha kwanza.!!

So sad, angekuwa ni mwanamke amefanya hivyo halafu akarudi kwa mume pasingetosha na kusingekuwa na hivyo vikao this is very unfair.lol!
 
kwa kweli mi naomba mungu anisaidie hata km nimezaa nae watoto kunirudia anahali mbaya baada ya nyumba ndogo kumtosa kiukweli ctampokea,cwez kwakweli.....nashangaa wanawake cjui huwa inakuwaje mpaka wanawapokea
 
habari zenu wapendwa,

binafsi hili ni swala ambalo nimeliona likitokea ila sijalipatia jibu. Sijui kama lilishajadiliwa humu au la na kamchina kangu hakawezi kusearch.....

Ni hivi inakuwaje kwa wanandoa, hususan mwanaume anatelekeza familia yake miaka kadhaa, hata kumi..... Ila akishafika uzee/utu uzima anarudi kwa mkewe?

Na inaiuwaje mke, mume anaporudi miaka kumi-ishirini baadae unampokea? Na mnaendeleza gurudumu?

Saa nyingine mume akiumwa hoi hoi hurudi kwa mkewe na mke huyu humuuguza mkewe?

Wanaume nini kinawaondosha kwa wake zenu? Na ninu kinawarudisha?

Wanawake mnawaza nini mnapowapokea tena waume zenu? Nini kinawasukuma kuwapokea?

Je hili lina madhara gani kwa watoto? Haiwaadhiri? Huwajenga au huwabomoa?

Natarajia majibu toka kwenu........

Mkwe mwenzangu mie pia huwa najiuliza swali hilo hilo lakini sina majibu. Nina muomba Mungu siku Asprin akiamua kuniacha mazima wallaih asirejee kamweeee maana sijui nitamfanza kitu gani ingawa nimeshaimbiwa sana kuwa wanawake huwa tuna roho ya huruma hivyo huwa tunasemehe yaliyopita na kuangalia mzigo uliopo(wa kumuuguza mgonjwa).

Kinachonishangaza hawa viumbe huwa wanakua wameshaoa na kuacha lakini je ni kwanini huwa wanarudi kwa yule wa kwanza na si wa pili au wa tatu????!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu, mkishaoana, mkafunga walau ndoa, kuna upendo fulani hivi huwa ni special kuliko kuwa na demu au hawara, upendo huo hauondoki moyoni maisha yooote hadi kufa, hata ukiona mmepeana talaka, moyoni bado mnapendana hata kama hutosema kwa mtu na kawivu bado kapo tu hata ukienda kuoa au kuolewa kwa mwingine upya, asikudanganye mtu, mkeo wa ndoa au mmeo wa ndoa utaendelea kumpenda maisha yako yote na you will continue to feel as one body maisha yoooote. ndo maana mkifika uzeeni hata kama mlitelekezana, manaamua kusameheana na upendo uleee unarudi. pia hata kama mmeachana, makabila mengi mmoja wapo akiugua sana, the other party huwa anaenda kuitwa aje auguze, mkishafunga ndoa upendo huwa hauondoki. ndo maana unaweza kutoka nje ya ndoa, ukamkuta pengine mwanamke mwenye k makini kuliko ya wife na anayejua kitandani kuliko, lakini hata kama waifu wako ana mapungufu kiasi gani, utarudi tu kwa mkeo. kuna kipindi niliia sana, kwasababu nilishawahi kutoka nje ya ndoa hapo zamani hadi nikachoka, mahawara walinila sana hela pamoja na kwamba walionyesha kunipenda na niliwazalisha watoto kadhaa, cha ajabu nilipokuwa napata tatizo, only my wife alikuwa anaonyesha kujali kutoka moyoni...ndo maana namheshimu sana mke wangu, nampenda na sitamwacha...nampenda mno yaani, nampenda...nimetoka naye mbali, amenisaidia ktk mengi, hapa nilipo mafanikio makubwa niliyoyapata mke wangu amechangia asilimia kubwa saaana hata kama kipato changu mimi kiko juu mno kuliko chake, hakika mwanamme peke yake bila mke ni kuwa na pengo kubwa mno.
 
Kuna rafiki wa mume wangu alitelekeza familia...mi wala sikuwa na habari; na inawezekana mume wangu kama rafiki yake alikuwa anajua ila alijua akimwambia NK basi kutazuka mjadala nyumbani ambao ungemfanya na yeye ajihisi ni mtuhumiwa.Lol.

Unadhani nini kilichokuja kuvujisha siri. Asife??? Mimi nilikuwa safarini nkasikia kafa...hakuna anayetoa maelezo yalonyooka kafa na nini. Kafa nasikia wameenda kuaga kwa Kairuki...maana wameshindwa hata wapeleke maiti nyumba ipi??? Nyumba ndogo ni kind of informal...nyumba kubwa nadhani ndugu wamena ugwadu kupeleka maiti. Wakamuagia hospital na kupelekwa kijijini kuzikwa.

Sijuhi kilichofuata...maana nasikitika yule mbaba nakumbuka last time alinambia NK najenga bangaluu la pili...sa sijuhi mali kamwachia nani? Yani sijuhi ndio alishaandikisha jina la kimada au alikuwa na akili ya kujua kuwa anapotea.

Hivi vitu ni kama laana...sijawahi kuoana mwanaume alotelekeza familia aki win...wanaishia kuangukia pua.

Hapo ukute nyumba kubwa itaambiwa imeroga.

hata mie natamani wajibu, lakini na uhakika hawana jibu la mantiki.

Hivi unadhani wanaweza kwenda angukia nyumba ndogo? Hata kama nyumba ndogo hazijawafukuza, hivi kuna mwanamme anakubali msiba wake ufanyike kwa nyumba ndogo?

Wewe hawakuudhi, mie wananiudhi hadi nataka kupasuka ila basi tu.
 
Mambo ya kuroga yapo.

Mama yangu aliwahi kutusimulia kisa cha ndugu yake aliyekuwa na wake wawili.

Mke mdogo akaenda kwa mganga ili apendwe zaidi.

Kumbe mganga ana beef la muda na mume wa hao wake wawili.

Akampa dawa ya kumuua mumewe akimwambia ni dawa ya mapenzi.

Hakuna alojua kilichomuua yule baba ...nasikia alikula msosi uloweka hiyo midawa akaanza kulalamika tumbo tumbo na wewe. mpaka kafa.

Kilichomuumbua mke mdogo ni mizimu ya yule mwanaume ilimfanya awe kichaa akawa anaongea hovyo...na amekuwa kichaa for so long sijuhi kama bado yupo.

Watu wa kagera wanajua jinsi gani mzimu wa mtu alokufa unavyoweza kumtesa mtu. Ndio ilomtokea huyu mama.

Wanawake ni hatare hasa ukiwachanganya kimapenzi na ukute akili zao za kuazima (Hawajenda shule).
Hii statement hii
Utakuwa umeisema tu kama mfano
Lakini mie nimeona kwa macho yangu
Ni story ndefu lakini ndio huwa hivyo
 
Back
Top Bottom