nini kinakukera jf?

nini kinakukera jf?

Ningekuwa nazijua hati mkato ningekukomesha leo hadi upate miscarriage ya mimba ya nitonye. Hivi mke mwenza Cookie anajua yanayoendelea?
Bishanga kweli umeshindwa kumwekea ndugu yako wa damu nitonye mdhamana kwa PAW?.. Siamini!


Nakerwa na namba 4 mnoo!
 
Katavi siku hizi una swagger za kiwaziri mkuu. Taratibu usiimbishe sana my son kawekeza hapo. Ntakutumia radi za buku hata uliposimama pasionekane!
Marhaba mtoto mzuri, mrembo, miss, model wa jf.
 
yaani mie nakerwa na kero!!!
Nadhani byshernger, leo tumelala pamoja.

Nna kero sana.
Namba moja wanaitwa 'virgins in a maternity ward'
unadhani? wakati ndo reality,vipi mamii tena?
 
Mamaaaaa leo umelala na bishanga!!! Bishanga ya kweli hayo? Virgins kwenye maternity ward hao wanapasuka misamba
vipi mkuu? alokwambia kongosho ni mdada nani?
 
mi nakerwa na ujuaji, kuna watu wanajifanya wajuaji kutwa kushushua wenzao. pili ushobokeaji, watu humu wananikera kushobokea baadhi ya watu hata kama kaandika ujinga basi unamsifia tu sijui ili iweje
 
Kwani bishanga ameshastaafu kazi corrona funeral home? Si anaendesha ile benzi ndefu inapambwaga maua ya zambarau! Unaniingiza mjini eeh!
usihofu mkwe, katavi hana gari. Si unajua siku hizi hapendwi mtu linapendwa gari.
 
Kwani bishanga ameshastaafu kazi corrona funeral home? Si anaendesha ile benzi ndefu inapambwaga maua ya zambarau! Unaniingiza mjini eeh!

hahahahaha! Ameshushwa cheo. Sahv kazi yake kuchimba makaburi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom