nini kinakukera jf?

nini kinakukera jf?

Ningekuwa nazijua hati mkato ningekukomesha leo hadi upate miscarriage ya mimba ya nitonye. Hivi mke mwenza Cookie anajua yanayoendelea?
Hehehe, hujaona kwa hasira kamlamba nitonye life ban? Achana na hasira za cookie! Nilimkanya nitonye hakusikia lol..
 
Nimekerwa wameweka tangazo la NDOVU..halafu hawajaweka hata tangazo la nyama choma
 
Nimekerwa wameweka tangazo la NDOVU..halafu hawajaweka hata tangazo la nyama choma
Nyama ndio inamaliziwa kuchomwa afu itawekwa!

Swahiba hujambo wewe? Wapotea sana siku hizi, karibu sana jf!
 
Hehehe! Haya mapenzi ya ghafla yameanza lini swahiba?? Ooh maskini shemeji yangu uporoto!

Katavi, Katavi, wee Katavi unaitwa huku chit chat na Husninyo! Anakuja swahiba.

uporoto wiki ya pili hajarudi nyumbani. Bora nijidondoshe kwa katavi swahiba
 
uporoto wiki ya pili hajarudi nyumbani. Bora nijidondoshe kwa katavi swahiba
Hivi kumbe toka unipigie kuwa ameondoka bila kuaga hajarudi mpaka leo???

Jidondoshe tu swahiba, tena nakuunga mikono na miguu, ukikwama kudondoka nijulishe nije nikusukumize kabisa mpaka umwangukie shemeji Katavi...
 
dah! Swahiba hakunaga kama wewe. Ndio maana nisipokuona siku nzima nakonda.
 
heeee! Nilikuwa nishasahau kama leo nakula gud tym na katavi. Katavi baby, come closer.
katavi,watch out meeen,yu gonna be killed by Husn's husband,hajakwambia ana mme? Anaitwa ........f
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom