nini kinakukera jf?

Tangazo maalum:
Kwa wote mliochangia mada hii ahsanteni,
kwa wote mlioichakachua sampi senu wenyewe,
kwa wote mlio fall in luv na bishanga,i am available!
Good nite n sweet dreams.
Ps: atakayemwona Lizzy amwambie bishanga anasema ...'sawa bana'
 
Back
Top Bottom