Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,160
Hata sijui nakerwa na nini?ngoja kwanza
samaki mkuuubwa huyo dia sijui kama nitamaliza,i hope sijakukera.
Hata sijui nakerwa na nini?ngoja kwanza
Hahaha! Sharobizo??? Watakuwa ndio hao hao!
Hivi Kabakabana bado uko Rocky City au ushaondoka?samaki mkuuubwa huyo dia sijui kama nitamaliza,i hope sijakukera.
Hivi Kabakabana bado uko Rocky City au ushaondoka?
Khaaa, majina yote yake?
Wewe uko kama mimi, nikishaona mtu kakomenti ki form two B wala siumizi macho yangu kusoma mara mbili mbili, wanakera bana!..Yah ni hao tu....hawajui humu majukwaani kuna Great Thinkers hawana muda wa kuanza kutafakari maneno ambayo unaweza kufikia mwisho hujajua maana yake teh
bado nipo ndugu yangu
Khe he heeh! Yote yake!
Sikubali, nipunguzie na mimi machache manake husni ni my pacha.
Rudi uje umdhamini kakako jamani, mie sina kitambulisho bana.
wamekudharau? Pole sana..
Marhaba mtoto mzuri, mrembo, miss, model wa jf.
Mh... Makubwa!
Siwafagiliagi kabisa kipipi!
Hujambo?
bora umejilipua,mPM basi BAK ana hamu ya kutaka kujua nani ali block incoming PMsHeshima yako bishanga,
Naomba nisamehe bure,
Niliblock but sikukukusudia ww atii,ila sasa sijui namna ya kublock mtu mmoja ndio maana nikablock kwa watu wote!!
Lakin si uniandikie hayo maneno kwenye sms jaman lol!
Mie bado sijakutana na kero yoyote na sitaku kukaribiana na kero yoyote maana nafarijika sana kuwa humu ndani hahah!
Marhaba mtoto mzuri, mrembo, miss, model wa jf.