nini kinakukera jf?

nini kinakukera jf?

yaani mie nakerwa na kero!!!
Nadhani byshernger, leo tumelala pamoja.

Nna kero sana.
Namba moja wanaitwa 'virgins in a maternity ward'
 
yaani mie nakerwa na kero!!!
Nadhani byshernger, leo tumelala pamoja.

Nna kero sana.
Namba moja wanaitwa 'virgins in a maternity ward'

Mamaaaaa leo umelala na bishanga!!! Bishanga ya kweli hayo? Virgins kwenye maternity ward hao wanapasuka misamba
 
Me nakerwa na baadhi ya thread hasa zile za kubeza baadhi ya dini.
 
@byshernger
nitakublock mpaka basi
wee unaprint pm zangu afu unabandika ofisini kweli, ebo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom