nini kinakukera jf?

nini kinakukera jf?

jf ina raha zake (ndo mana tunaendelea kuwemo) lakini pia karaha zipo.Mdau hebu taja yanayokukera humu.
Binafsi nakerwa na yafuatayo:
1.Utakatifu: Kuna watu humu wanajitia wao ni watakatifu kuliko ma Sheikh wakuu na Maaskofu.Kwanini utake watu waishi kwa standards zako? live and let live bana.Yaliyobaki we niache na Mola wangu.
2.Ujuaji: Mtu anajikunja anarusha ka thread kake (tena maskini kalipia alfu internet cafe),we una comment '****' haki kweli? si umpotezee tu kuliko kumshushua?
3.Font: jamani font nyingine tunatumia zinaumiza macho hata kama umeandika mi pweint.
4.Hatimkato: Sa ingine mtu anaandika mambo ya msingi lakini lo lugha za sms...m2 huyu 2ro bcoz nampenda ur...jamani ndo nini sasa?
5.PM: Kuna watu humu (wanajifahamu) wame block kupokea PM,juu ya nini? saa ingine tuna maneno matamu na ya siri ya kukuPM,wewe flan wewe (name withheld) umeblock PM,unblock please nikunong'oneze kitu.

.........na wewe nini kinakukera.....?????
Heshima yako bishanga,
Naomba nisamehe bure,
Niliblock but sikukukusudia ww atii,ila sasa sijui namna ya kublock mtu mmoja ndio maana nikablock kwa watu wote!!
Lakin si uniandikie hayo maneno kwenye sms jaman lol!

Mie bado sijakutana na kero yoyote na sitaku kukaribiana na kero yoyote maana nafarijika sana kuwa humu ndani hahah!
 
3.Font: jamani font nyingine tunatumia zinaumiza macho hata kama umeandika mi pweint.
4.Hatimkato: Sa ingine mtu anaandika mambo ya msingi lakini lo lugha za sms...m2 huyu 2ro bcoz nampenda ur...jamani ndo nini sasa?
Bishanga kwa kweli kwa haya mawili hata mimi yananikera sana tena zaidi yako....Mtu anaandika vifupi hadi huelewi kabisa na bora pangekuwa na Dictionary ya hivyo vifupisho ingekuwa poa ila hakuna so inakuwa keroooooooooooo
 
wala isikusumbue,ngoja niende kwa babu mlingotini.
btw kwenye mmu kuna mdau kafungua thread anauliza wanawake kwa nini mnacheat.
Wahi asee manake nakaribia kukata roho vile nammiss sweetheart,

afu mie nishachoshwa na masred ya kucheat, kila kukicha cheat, cheat cheat!.... Siendi huko!
 
Bishanga kwa kweli kwa haya mawili hata mimi yananikera sana tena zaidi yako....Mtu anaandika vifupi hadi huelewi kabisa na bora pangekuwa na Dictionary ya hivyo vifupisho ingekuwa poa ila hakuna so inakuwa keroooooooooooo
Bora tuko wengi, sijui huwa wanadhani na jf ni kwenye simu ndio mana wanabania maneno? Eti co= sio,
2ishie = tuishie,
7bu= sababu, n.k, n.k khaaa, alifundisha mwalimu gani hiyo makitu!
 
5.PM: Kuna watu humu (wanajifahamu) wame block kupokea PM,juu ya nini? saa ingine tuna maneno matamu na ya siri ya kukuPM,wewe flan wewe (name withheld) umeblock PM,unblock please nikunong'oneze kitu..........na wewe nini kinakukera.....?????
Hizo nne za mwanzo zinanikera sana, lakini hii ya 5 wala hainikeri kwani bado haijawahi kunifika na ikitokea ni ujumbe kuwa "hataki nimsumbue".
6. UDINI - Huu unanikera sana. Ijapokuwa lipo jukwaa la dini, lakini utakuta watu wanapeleka udini kwenye majukwaa ya SIASA, ELIMU, SHERIA, PICHA, DOKTA, MMU hadi CHIT CHAT....aghrrrrrrr! Inahusu nini?
 
Bora tuko wengi, sijui huwa wanadhani na jf ni kwenye simu ndio mana wanabania maneno? Eti co= sio,
2ishie = tuishie,
7bu= sababu, n.k, n.k khaaa, alifundisha mwalimu gani hiyo makitu!

Hiyo ya ya 7bu sikuijua ilikuwa inanisumbua sana
 
Bora tuko wengi, sijui huwa wanadhani na jf ni kwenye simu ndio mana wanabania maneno? Eti co= sio,
2ishie = tuishie,
7bu= sababu, n.k, n.k khaaa, alifundisha mwalimu gani hiyo makitu!

Hahahahaaaaaaa wanaboa sanaaaaa sijui ndo akina Sharobizo
 
Bora tuko wengi, sijui huwa wanadhani na jf ni kwenye simu ndio mana wanabania maneno? Eti co= sio,
2ishie = tuishie,
7bu= sababu, n.k, n.k khaaa, alifundisha mwalimu gani hiyo makitu!

Naunga mkono hoja, hivi vifupisho huwa vinanikera sana.....na bahati mbaya naona vinazidi kuongezeka!!
 
New members wanapenda kutumia pm kuliko members wa siku nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom