Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,707
- 145,418
Kwa hiyo 2025 Mbowe hayupo mtafanikisha uchaguzi usifanyike au mtafanya nini sasa?Hayo ya 2019 yalikuwa maigizo ya Mbowe hamna la maana ! Hamna historia yeyote ya kujifunza hapo!
Kwa hiyo 2025 Mbowe hayupo mtafanikisha uchaguzi usifanyike au mtafanya nini sasa?Hayo ya 2019 yalikuwa maigizo ya Mbowe hamna la maana ! Hamna historia yeyote ya kujifunza hapo!
Kwa nini mna deal na individuals hawa ambao wameshaamua kuto support NRNE badala ya ku focus kujenga ushawishi kwingine ambako mnaweza kupata support?Mkuu!
Ww umeamua kumtetea sio mbaya! Hajashikiwa bango Fatma tu nilisema kwenye post zangu za juu kwamba
"She is not the pillar of society, she’s just one among many this year pushing citizens to participate in an election that is neither free nor fair.
The list of such individuals is long"
Anajichekesha tu lkn dawa imemuingia vzuri aache usanii!
Mimi sitashiriki. Je, wewe ungekuwa hapa Tanzania, ungeshiriki?Kwa hiyo 2025 Mbowe hayupo mtafanikisha uchaguzi usifanyike au mtafanya nini sasa?
Mimi sitashiriki. Je, wewe ungekuwa hapa Tanzania, ungeshiriki?
Natumaini utarudi mara tu tutakapofanikiwa kuondoa huu "ujinga" na kuweka mifumo huru na ya haki itakayowezesha taifa kupata viongozi wa kweli kupitia chaguzi halali. Kama utakuwa Bado haiSijauliza kama wewe utashiriki, nimeuliza mtafanikisha kusimamisha uchaguzi?
Mimi nilipiga kura kwa miguu yangu kuondoka kwenye ujinga wote wa Tanzania tangu enzi za urais wa Mkapa.
Kwa mwendo wenu huu mkishafikia huko, kwa standards ninazotaka mimi, nitakuwa nishakufa miaka mingi tu.Natumaini utarudi mara tu tutakapofanikiwa kuondoa huu "ujinga" na kuweka mifumo huru na ya haki itakayowezesha taifa kupata viongozi wa kweli kupitia chaguzi halali. Kama utakuwa Bado hai
Karibu tena Bongo
Ni wapi umelazimishwa ukubaliane na upinzani? Je, kuna mtu aliyekushikia bunduki ili ukubaliane nao?Ndio maana upinzani hauna nguvu, sababu mitanzania mingi ni mipumbavu...
Mnalazimisha kila mtu akubaliane na mnavotaka
Vipi ile kampeni ya ku unfollow wasanii wakubwa imefikia wapi?
Lissu mbona hatumsikii mkimtetea sasa naona kimya juzi alikuwa mahakamani kinyonge mpaka mkazusha kawekewa sumu ....Mmemsahau?
Kwanini msiwe na ushirikiano na vyama vingine ? kwanini vyama vingine havitaki kuungana na CHADEMA kama kile kipindi cha UKAWA?
Makelele mengi mitandaoni lakini huku ground mbona kimyaaaa.....
BasiKwa mwendo wenu huu mkishafikia huko, kwa standards ninazotaka mimi, nitakuwa nishakufa miaka mingi tu.
You too.Basi
Rest in Peace!
Kwanini watu wanaotokea kutofaautiana mnawashambulia personally badala ya kutengua hoja zake ? Shangazi kaamua hayo ndio mawazo yake hivyo inakuwaje mnamnanga personally badala ya kujibu hoja zake ?Ni wapi umelazimishwa ukubaliane na upinzani? Je, kuna mtu aliyekushikia bunduki ili ukubaliane nao?
😂 Uchaguzi ambao ni tume ya Rais nae akiwemo kwenye ushindaniIt's not numbers za wapiga kura. Ni numbers za members of public ambao wako tayari kususia uchaguzi. Even within Chadema, people are not happy with kususia uchaguzi. And you can just see that from public mood. Chadema wameshakosea mahesabu, asiyafutwe mchawi
Uchaguzi ambao ni tume yaraisUnahakikishaje kuwa Fatma hakuishauri ACT isisusie chaguzi na mambo ya uongozi wa jamii kama alivyosema?
Sawa,Uchaguzi ambao ni tume yarais
Fatma ni mwanasiasa?Nyerere alisema wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya
Dini,asili kwa kuzaliwa na jinsi yake lazima wawe bega kwa bega kudemka na "mbarikiwa kutoka kwa Mwamposa"!
NB:Uzee upo puani na haoni mbele atashika jani au shela.
Acha zako kwani kashikiwa panga kwamba akienda kupiga kura atakatwa akashiriki ni haki yake na sie wengine tutabaki home bila kushiriki ni haki yetu pia kulingana na mtazamo wetuSawa,
Lakini hata wanaotaka mabadiliko kuna wanaotaka by evolution na kuna wanaotaka by revolution.
Kwa nini baadhi ya watu wanataka kulazimisha kila mtu akubaliane nao?
Mtu kama anataka kushiriki uchaguzi hiyo si haki yake pia, kwa nini mnataka kumlazimisha asishiriki?
Hiyo ni demokrasia gani ya kulazimishana mambo?
Sasa kama haki yake mnapiga kelele za nini hapa?Acha zako kwani kashikiwa panga kwamba akienda kupiga kura atakatwa akashiriki ni haki yake na sie wengine tutabaki home bila kushiriki ni haki yetu pia kulingana na mtazamo wetu
Kwani na Wewe kelele unapiga za nini na ligi zizoisha wakati unajua ni haki yake kulingana na mtazamo na akili yakeSasa kama haki yake mnapiga kelele za nini hapa?
Jifunze kuwa na Mawazo mbadalaKwani Wewe kelele unapiga za nini na ligi zizoisha wakati unajua ni haki yake kulingana na mtazamo na akili yake