Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,458
- 8,796
Dhambi ya kushadidia uovu haijawahi kumuacha mtu salama."Nondo alijiteka akapiga na pafume kabisa"
Dhambi ya kushadidia uovu haijawahi kumuacha mtu salama."Nondo alijiteka akapiga na pafume kabisa"
Mkuu ungepiga hata kapicha ili tuone alivokua.Habarini wanajamvi
Jana nikiwa nimekaa naangalia chanel yangu pendwa ya Emanuel Tv inayomilikiwa na mtumishi wa mungu Tb Joshua, nilipata mshtuko kidogo kumuona waziri wa zamani wa Mambo ya ndani Dr MWIGULU NCHEMBA akiwa ndani ya kanisa na akionekana mtu mwenye shida kubwa akiwa anasubili huduma ya mtumishi wa mungu.
Nilijiuliza maswali mengi lakini moja ni nikajiuliza huyu mtu nini kimempata hadi ameenda kwa Tb Joshua? tumezoea kuona watu wanaoenda kule ni watu wenye matatizo mazito.
Je, huyu mwenzetu nini kimempata?
Na tunazidi kumwombea mabaya maana nae amefanya mabaya mengi...karma is bitch man..you get served what you deserve
Unazungumzia malipo?hapa hapa duniani .
Duh! Maumivu ya kichwa huanza taratiibu, Kariibu Huyu mchawi Tb Joshua ataabudiwa.Dr MWIGULU NCHEMBA akiwa ndani ya kanisa na akionekana mtu mwenye shida kubwa akiwa anasubili huduma ya mtumishi wa mungu.
Nilijiuliza maswali mengi lakini moja ni nikajiuliza huyu mtu nini kimempata hadi ameenda kwa Tb Joshua? tumezoea kuona watu wanaoenda kule ni watu wenye matatizo mazito.
Je, huyu mwenzetu nini kimempata?
Kama binadamu yeyote, Mwigulu hajakamilika bado,hivyo basi anahitaji msaada utokao kwa Mungu. Mungu hutumia njia hii ya maombi kutujibu mahitaji yetu. Tazama,kila mtu ana haja yake ndani ya moyo wake. Ikiwa ni hivyo,kwamba maombi ni njia ya mahitaji yetu,basi tusipoomba hatuwezi kupokea.
Labda tuangalie mfano mdogo wa kawaida kabisa;
Chukulia una watoto watatu nyumbani mwako,alafu mtoto wako mmoja akawa na uhitaji wa kununuliwa daftari la mazoezi la hesabati. Kisha;mtoto huyo akawa kimya akisubiri umnunulie pasipo yeye kukuomba anachokihitaji kutoka kwako. Swali,je utamnunulia hilo daftari pasipo kukuomba? Utajuaje kama daftari lake limeisha na anahitaji daftari jingine? Ukweli ni kwamba,hutaweza kumnunulia kwa sababu hajakuomba,na inawezekana usijue kama limeisha.
Isaya 1:18
Acha urongo biblia inasema nalikujua tangu ukiwa tumboni mwa mama yako.hata uombe vipi kama Mungu hajapanga haitokuwa
Kwahiyo tusioweza kwenda kwa td Joshua Yesu hatumpati au?Yesu ni kwakila mtu wakila hari na alika
Ni joke lakini ni swali la maana sana.kwahiyo yesu yupo nigeria
Kuratibu kifo cha Sengodo Mvungi.maiti zilizookotwa kwenye viroba coco na Mto ruvu " damu iliyo mwagika ya akwilina jumlisha na machozi yaliyo mwagika ya lisu .. vina muandama "... atamaliza madhabahu yote lakini hilo jinamizi halitomuacha salama
nadhani sasa yupo kwenye dimbwi la majuto na ndio ameanza kutambua kwamba kuna maisha ya kawaida tofauti na uongozi " vyeo na madaraka
Una uhakika kuwa waliotabiriwa hawakushinda kweli?TB.Joshua huyuhuyu wa kuwatabiria Wanasiasa maarufu 4 kutoka Tanzania kuwa watakuwa marais 2015?
Tena kila mtu alimtabiria kwa wakati wake.
Mmoja kati yao akapata.
Mungu hafanyi bahati nasibu, hana mikunjo.
Yule ni msanii tu ila watu wanamkubali mpaka hawaambiwi kitu.
Una uhakika kuwa waliotabiriwa hawakushinda kweli?
Kuna tofauti kati ya kushinda na kupewa mamlaka ya kuongoza.
Hahahahaaa sasa kienda huko atasafishika na dhambi hizo mkuu?maiti zilizookotwa kwenye viroba coco na Mto ruvu " damu iliyo mwagika ya akwilina jumlisha na machozi yaliyo mwagika ya lisu .. vina muandama "... atamaliza madhabahu yote lakini hilo jinamizi halitomuacha salama
nadhani sasa yupo kwenye dimbwi la majuto na ndio ameanza kutambua kwamba kuna maisha ya kawaida tofauti na uongozi " vyeo na madaraka
Kama hivyo ndivyo, basi watu tusingekuwa tunaenda kufanya maombi kanisani/masjid ili tukae tu ndani na tuombe tukiwa chumbani...Hivi wewe? Angeomba chumbani kwake mungu hamsikilizi???? Kwa TB Joshua Kuna zaidi ya Hilo la maombi.
Kuna imaani za kishirikina..

Kama hivyo ndivyo, basi watu tusingekuwa tunaenda kufanya maombi kanisani/masjid ili tukae tu ndani na tuombe tukiwa chumbani...![]()
Abdul mondoHabarini wanajamvi