Habarini wanajamvi
Jana nikiwa nimekaa naangalia chanel yangu pendwa ya Emanuel Tv inayomilikiwa na mtumishi wa mungu Tb Joshua,nilipata mshtuko kidogo kumuona waziri wa zamani wa Mambo ya ndani Dr MWIGULU NCHEMBA akiwa ndani ya kanisa naakionekana mtu mwenye shida kubwa akiwa anasubili huduma ya mtumishi wa mungu.
Nilijiuliza maswali mengi lakini moja ni nikajiuliza huyu mtu nini kimempata hadi ameenda kwa Tb Joshua?tumezoea kuona watu wanaoenda kule niwatu wenye matatizo mazito.
Je huyu mwenzetu nini kimempata?