Nini kimempata Dr. Mwigulu Nchemba?

Nini kimempata Dr. Mwigulu Nchemba?

Weka picha
Hii hapaaaa
IMG-20181104-WA0030.jpeg
 
Siku zote malipo ni hapa hapa dunian, alivomdhalilisha mtoto wa watu kuwa kajiteka, ni swala la mda tuu
Kuna watu akili zenu zilishaganda, sasa kale ndio katukio kazito ka kumsafirisha mtu?

Natamani nikutukane
 
maiti zilizookotwa kwenye viroba coco na Mto ruvu " damu iliyo mwagika ya akwilina jumlisha na machozi yaliyo mwagika ya lisu .. vina muandama "... atamaliza madhabahu yote lakini hilo jinamizi halitomuacha salama

nadhani sasa yupo kwenye dimbwi la majuto na ndio ameanza kutambua kwamba kuna maisha ya kawaida tofauti na uongozi " vyeo na madaraka
Nyinyi si ndio mnasema dhambi zote husameheka?

Leo jinamizi litamuandamaje bila kikomo?

Ujinga ni kudhani kutenguliwa kwa Mwigulu anarudi kuwa sawa na wewe
 
Anajua alicho kifanya dhamila inamsuta.kuna wakati duniani unaweza watendea wengine ndivyo sivyo lakini kama binadamu mwenye utashi hisia za ndani hukujia uwapo ndotoni unaweza jikuta unatoa machozi.tendeni wema ndugu zangu ss ni wafu watarajiwa.
 
Hata hapa tanzania tunao manabii halisi,kwenda nigeria ni kupoteza muda.
 
Nyinyi si ndio mnasema dhambi zote husameheka?

Leo jinamizi litamuandamaje bila kikomo?

Ujinga ni kudhani kutenguliwa kwa Mwigulu anarudi kuwa sawa na wewe
wapi umeshaiona nukuu yangu ikisema kuwa dhambi zote husameheka ", kama ipo ilete hapa ... mkuu au umelewa nini mchana huu wajua kali ?
 
Nyie toeni hukumu Kama na nyie hamjatolewa hukumu??! .. inaelekea wengine mnaenjoy Kuwaona wengine wakipata madhila,....
 
KARMA is so Lvy n kind.nothing goes for nothing!.. Malipo mengne ni ya 4G tuvumiliane tu huend hicho kikombe kikampungukia
 
aliyotenda kipindi akiwa Top Gun bado yanampa maruweruwe.!

nimeimis ile skafu yake
 
Kila mtu ana matatizo yake, hata jiwe pia anashida zake.
Asante kwa taarifa kuwa ulimwona
 
Njaa mbaya! Kutwa kuchwa huku Tz Alikuwa habanduki Kwa wachungaji! Aliemroga kamwambia joshua ndo nabii! Kaumia!
Habarini wanajamvi

Jana nikiwa nimekaa naangalia chanel yangu pendwa ya Emanuel Tv inayomilikiwa na mtumishi wa mungu Tb Joshua, nilipata mshtuko kidogo kumuona waziri wa zamani wa Mambo ya ndani Dr MWIGULU NCHEMBA akiwa ndani ya kanisa na akionekana mtu mwenye shida kubwa akiwa anasubili huduma ya mtumishi wa mungu.

Nilijiuliza maswali mengi lakini moja ni nikajiuliza huyu mtu nini kimempata hadi ameenda kwa Tb Joshua? tumezoea kuona watu wanaoenda kule ni watu wenye matatizo mazito.

Je, huyu mwenzetu nini kimempata?
 
Back
Top Bottom