Mkuu umeongea kiimani sana na wengi wanaamini usemayo.Kama binadamu yeyote, Mwigulu hajakamilika bado,hivyo basi anahitaji msaada utokao kwa Mungu. Mungu hutumia njia hii ya maombi kutujibu mahitaji yetu. Tazama,kila mtu ana haja yake ndani ya moyo wake. Ikiwa ni hivyo,kwamba maombi ni njia ya mahitaji yetu,basi tusipoomba hatuwezi kupokea.
Labda tuangalie mfano mdogo wa kawaida kabisa;
Chukulia una watoto watatu nyumbani mwako,alafu mtoto wako mmoja akawa na uhitaji wa kununuliwa daftari la mazoezi la hesabati. Kisha;mtoto huyo akawa kimya akisubiri umnunulie pasipo yeye kukuomba anachokihitaji kutoka kwako. Swali,je utamnunulia hilo daftari pasipo kukuomba? Utajuaje kama daftari lake limeisha na anahitaji daftari jingine? Ukweli ni kwamba,hutaweza kumnunulia kwa sababu hajakuomba,na inawezekana usijue kama limeisha.
Isaya 1:18
Mimi huyu bwana namkumbuka siku ile ya kuvamiwa wale askari walinzi wa benk crdb, pale Dar .Habarini wanajamvi
Jana nikiwa nimekaa naangalia chanel yangu pendwa ya Emanuel Tv inayomilikiwa na mtumishi wa mungu Tb Joshua, nilipata mshtuko kidogo kumuona waziri wa zamani wa Mambo ya ndani Dr MWIGULU NCHEMBA akiwa ndani ya kanisa na akionekana mtu mwenye shida kubwa akiwa anasubili huduma ya mtumishi wa mungu.
Nilijiuliza maswali mengi lakini moja ni nikajiuliza huyu mtu nini kimempata hadi ameenda kwa Tb Joshua? tumezoea kuona watu wanaoenda kule ni watu wenye matatizo mazito.
Je, huyu mwenzetu nini kimempata?
True,pia ukisoma mambo ya malimwengu universe, roho yeyote ya asio hatia ikidhulumiwa nafsi haitoondoka duniani ni hadi ilipe kisasi kwa chain nzima na vizazi vyao kisha ndo uondoka duniani, Maana ililazimishwa.Hii lzm ilipe kisasi hata uwe gwiji wa ndumba lzm utavuna ulichopanda ni laws of nature. Katika vyote vyoote ogopa kumwaga damu ni laana utaishi kwa tabu na kutangatanga.maiti zilizookotwa kwenye viroba coco na Mto ruvu " damu iliyo mwagika ya akwilina jumlisha na machozi yaliyo mwagika ya lisu .. vina muandama "... atamaliza madhabahu yote lakini hilo jinamizi halitomuacha salama
nadhani sasa yupo kwenye dimbwi la majuto na ndio ameanza kutambua kwamba kuna maisha ya kawaida tofauti na uongozi " vyeo na madaraka
Yeye ni Binadamu kama binadamu wengine. Yawezekana ana mahitaji ya kiroho/kiimani kama wengine. Hivyo kwenda huko ni mahamuzi yako, hivyo tusimsema vibaya.
Watu husema setani akizeeke anabadilika na kuwa malaika
Hadi ufike huko yaani umeshindwa kujiombea una dhambi kubwa kubwa,Maana kuchoma gharama kuifata toba nayo ni shughuli. Siku zote huwa tunawaambia daladala si zenu nyie ni abiria mkifika kituoni mtashuka tu msiwele kwa kuweka vishoka,kupigiwa salute na kufunguliwa MILANGO ya GARI upunguza uwezo wa kufikiri kwa mwafrica.
Wakisha kosa vyeo na mamlaka ndio wanakimbilia huko.. ...
Mwafrica hata akishika vipi dini mambo ya asili haachi,mkorogo mix kote upo kwa Mungu kwa shetaniNa bado akitoka hapo anaenda kwa mganga wa kienyeji
Alishindwa kumjulia hali ndugu yake sababu ya vyeo vya kupita, historia itamsumbua sana,Anajiongopea ... damu za watu wengi sana na roho zao zina mlilia ... bado mke wa azory gwanda " ndugu wa ben saa 8 mioyo yao inafukuta kwa uchungu wakupotezwa kwa vipenzi vyao .. so sidhani kama hiyo karma itamuacha kiurahisi namna hiyo
Kwani kule bar,Mwishoe mtahoji kwanini watu wanaenda chooni!! Yaani kumuona Emanuel Tv basi unahisi anashida? Kweli watanzania tunashida.
Afadhar ameonekana huko kuliko angeonekana kwa sangoma.....matatizo kila MTU anayo mtaalam......ila wengine ni vile hatujui tukimbilie wap kwnye msaada
Hata hapa tanzania tunao manabii halisi,kwenda nigeria ni kupoteza muda.
Kama akirudi na akawa mtu mpya basi kuna umuhimu wa sisi wengine kwenda iliili tukirudi tuwe watu wa zamani " wabaya" ili tutende sawa sawa na alivyokuwa yeye halafu avumilie.Acha aende huenda akirudi atakuwa mtu mpya.
Hata Mimi nimependa hii kauliNimependa hii Daladala si zenu nyie ni abiria mkifika kituoni mtashuka tu
ameenda kutubu maana roho yake itakua imeanza kumuhukumu kwa ushenz alioufanya kwa raia wema, pole sana mwigulu Mungu akurehem
Kuna watu wanajua kucheza na karma mkuuTrue,pia ukisoma mambo ya malimwengu universe, roho yeyote ya asio hatia ikidhulumiwa nafsi haitoondoka duniani ni hadi ilipe kisasi kwa chain nzima na vizazi vyao kisha ndo uondoka duniani, Maana ililazimishwa.Hii lzm ilipe kisasi hata uwe gwiji wa ndumba lzm utavuna ulichopanda ni laws of nature. Katika vyote vyoote ogopa kumwaga damu ni laana utaishi kwa tabu na kutangatanga.
...karma is bitch man..you get served what you deserveKARMA