Nini kimemkuta Idris Sultan?

Gavana joh walishaachana kitambo, baada ya hapo dimpoz akachukuliwa na GSM.
Huna hata unalolijua, GSM ni rafiki wa karibu na JOH, na dimpoz pale Yanga yuko kwa shemeji ake, Joh hajawahi achana na Dimpoz.

GSM anadate na msanii wa movie, Sallah yuko na P, muhandisi yuko na A.

Em tulia upewe files.
 
GSM kamuacha now yupo na abduly mtoto wa kizmkaz
Nyie watu ni waongo, GSM hajawahi date na Dimpoz, hata ile ya kuibia, hadi wee shost hujui hili? Kwamba Dimpoz kuwq kwa GSM ni kwa minajiri ipii?

Unakwamaa wapii best??

Afu Abdul gani? Huyu wa kumpita shwaa traffic man? Aaaah hapanaaa
 
Juzi niliona yupo mgahawani na kijana mmoja wa zahanati ya kijiji, halafu akaandika dinner date
Niliona redflag

Kwahiyo huko mjini wasanii rundo ni upinde? Nimechoka kusikia hadi marioo
Mario sijawai sikia ila huyo mtunzi wanao mjua wanasema yupo hivyo toka mda sasa wanasema zaman alilegea zaidi

Nyie watu ni waongo, GSM hajawahi date na Dimpoz, hata ile ya kuibia, hadi wee shost hujui hili? Kwamba Dimpoz kuwq kwa GSM ni kwa minajiri ipii?

Unakwamaa wapii best??

Afu Abdul gani? Huyu wa kumpita shwaa traffic man? Aaaah hapanaaa
Kuna blog mmoja huwa wana weka na ushahidi kabisa now wameifungia
 
Juzi niliona yupo mgahawani na kijana mmoja wa zahanati ya kijiji, halafu akaandika dinner date
Niliona redflag

Kwahiyo huko mjini wasanii rundo ni upinde? Nimechoka kusikia hadi marioo
Nawanda? Maana huyu Dully ndo anamkubalii hatariii, ila alimkatalia, au ni kuwa kamkubalii now??

Wooooooiiiiii!
 
Nyie watu ni waongo, GSM hajawahi date na Dimpoz, hata ile ya kuibia, hadi wee shost hujui hili? Kwamba Dimpoz kuwq kwa GSM ni kwa minajiri ipii?

Unakwamaa wapii best??

Afu Abdul gani? Huyu wa kumpita shwaa traffic man? Aaaah hapanaaa
Kwahiyo mwachiluwi shost kumbe 😅😅😅
 
Aisee wana maisha ya ajabu sana
 
Blog gani hiyo? Ambayo siijui? Kuhusu Abdul ndo kwanza nasikia hapa. Km nae yuko ktk industry,
Ila Dimpoz na Joh, hawajawahi kuachana.
Bunge la east pale mpe picha tu ya mtu mambo yako yote una yakuta pale telegram ndio wana kuwa huru zaidi ushahidi juu siasa michezo kila sehemu wana gusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…