Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Upatikanaji au kusex bila tabu ndio kunafanya watu wasioe/kuolewa laiti kama ingekuwa kuna kizuizi kuwa no marriege no sex wote tungeoa kinachofanya tusahau kufuga ng'ombe ni kwakuwa bila hata kufuga maziwa tunakunywa.
Among of the good reason.

Mkuu hiki ndicho kizuizi chako pia?
 
Nadhani hili swali lingetamka kabisa ni kuanzia umri gani ndio walengwa? kwani wenye miaka kumi na nane mpaka ishirini na tano hawatokuwa na sababu nzito saaaana kulinganisha na wenye thelathini mpaka arobaini.
 
Nahisi ubavu wangu utakua ulipikiwa supu maana hata siuoni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…