Nini kimeikumba Dar Express?

Nini kimeikumba Dar Express?

Bombadier zimeharibu soko lake

Acha unaa wewe,Bombadia kila siku zina ahirisha safari.

Tatizo ni Huyu Mchaga YUDA MREMI hataki kuachana na SCANIA ambayo ni ghali.

Scania Saab Milioni 700

Youtong Mil 170


Saa linganisha hapo
 
mzee mremi mbishi... wenzake wanacheza na wachina... yeye kaamua kufa na scania zake..

bei ya scania moja unanua mchina mbili au tatu... so lazima wakimbize tu... abood alileta ubishi ila kasanda nae kaamia mchina

akikomaa na scania na hasipobadilika... lazima afunge biashara
hizomchina mara zimeungua mara zimekata kona zenyewe kuvamia gari zingine endelee ni kufa kupenda rahisi rahisi.big up mremi
 
Taja Kampuni nyingine tena hiyo kanda ya kati tuone,Ulishasafiri huko kaskazini lakini au upo hapo kibaigwa unatusumbua
Kaskazini huwa naenda sana..na gari linaloweza kushindana na hizo nilizotaja ni Dar lux, labda na Ratco tho siionagu ikianzia Dar..mengine yalobaki ni makopo..plus inferior services..
 
Choka mbaya, nimepanda juzi juzi mpaka nikajuta, kwanza nusu ya seat ziko tupu, ya wawili anakaa mmoja, gari bovu sirudii tena
 
Pia siku hizi watu wengi wanatumia usafiri binafsi na wengine kuchanga na kukodi magari kama Coaster na Noah na mengineyo kipindi cha misiba hivyo biashara ya mabasi kidogo imeyumba. Maneno hayo niliyasikia toka kwa mmiliki wa Princess Muro
 
laana ya marehemu kamwe haiwezi kumuacha mtu salama...

alichomfanyia kaka yake marehemu mzee mremi wa kibaha mungu anajua ...na ndio hicho kinachommaliza mali ya dhuruma hiyo hadi kaka yake amefariki analalamikia hyo dhuruma aliyofanyiwa

aliyestahili kuwa mwenye mali amefariki na hyo kampuni nayo lazma ifariki imfate marehem mzee mremi
alimfanya nn ndugu hebu tujuze tupate kufahamu maana biashara hasa hzi za magari zinasir nyingi sana
 
Acha uzwazwa wewe na utambue njia ya kaskazini kuna magari mazuri na yenye huduma bora kushinda hiyo kanda ya kati ...

Kilimanjaro Exp
Tahmeed
Lim Safaris
Raqeeb
Na mengine mengi ..
TAHMEED ana mashine hii, SCANIA na ukiiona tu unasikia ASHKI.
20180308_090139.png
 
alimfanya nn ndugu hebu tujuze tupate kufahamu maana biashara hasa hzi za magari zinasir nyingi sana


nilishaeleza kwa kifupi nimekutag sehem nilipoelezea...

watu wengi kibaha wanaijua hii story maana ndio huyo marehemu kaka yake alisetle baada ya kustaafu
 
kahamishia route ya kigogo fresh to vikumburu via msanga road...
maisha yanaendelea.....na uzaramuni...
 
Mzee ni mbishi sana huyu hataki ushauri kabisa.
Pia baada ya kufariki mke wake biashara imeyumba sana.
Mke mdogo aliyemuoa baada ya mkewe kufariki nae kamfanya mzee ni 'chuma ulete'.
Kwa ufupi dar exp. iko ICU
 
Kila zama na wakati wake........

1. Scandinavia
2. Kiswele
3. Comfort
4. Taffifu
5. Hood (anamalizikia kukata roho)
6. Air msae

Na sasa hivi ni zamu ya DAR EXPRESS mabibi na mabwana tusimameni na kuwatakia safari njema huko kwenye mapumziko, wacha wawapishe vijana kwenye game.
 
Back
Top Bottom