Nini kimeikumba Dar Express?

Nini kimeikumba Dar Express?

laana ya marehemu kamwe haiwezi kumuacha mtu salama...

alichomfanyia kaka yake marehemu mzee mremi wa kibaha mungu anajua ...na ndio hicho kinachommaliza mali ya dhuruma hiyo hadi kaka yake amefariki analalamikia hyo dhuruma aliyofanyiwa

aliyestahili kuwa mwenye mali amefariki na hyo kampuni nayo lazma ifariki imfate marehem mzee mremi
Duuh! Haya mapya sasa
 
kumbee na hayo yapo! mkuu kama vp kajipange uje utiririke vizuri! sie tunapandaga tu hayo magari hatuji lolote!

ngoja nikupe kwa kifupi tuu...

marehemu mzee mremi aliyekuwa anaishi kibaha ambaye ni kaka wa tumbo moja na huyo mremi mmiliki wa dar express

alikuwa mtu mkubwa serikalini kipindi cha awamu ya kwanza hadi mwanzo wa awamu ya tatu...

kwa kipindi kile kama unavyojua ukiwa karibu na baba wa taifa mwenyew tu utaona aibu kujilimbikizia mali... sasa yy akawa akipiga hela za serikali anampa mdogo wake aanzishie biashara ili yy asistukiwe kuwa ni fisadi ndio mdogo wake akaanzisha hyo dar express

sasa msala umekuja kaka mtu (mzee mremi wa kibaha) alivyostaafu anamwambia mdogo ake zile mali zangu vipi? jibu la mdogo mtu likawa mali zipi? una mali hapa wewe? kesi ilikuwa kubwa hadi wazee wa ukoo wakaitwa vituko ni pale mdogo mtu aliposema basi nakupa mabasi mawili kaka mtu alihuzunika sana akaamua kususa

maisha yake yake hayakuwa mabaya alikuwa na uwezo tu ila sio tajiri kihivyo ila licha ya kususa maisha yake yote amekuwa na mgogoro na mdogo wake kuhusu hayo magari hadi mauti yalipomkuta mwaka juzi

kitu kizur ni kwamba alisomesha watoto wake na wote wapo vizuri

ila huyo mzee mremi wa dar express siyo mtu kamtenda kaka yake wa damu kabisa

Mlamba Chumvi Cham Bee ras jeff kapita
 
Dar express ni brand kubwa sana kwenye tasnia ya usafirishaji Tanzania.

Ime-set standards nyingi kwenye usafirishaji hasa kwa kanda ya kaskazini ambao zimeigwa na mabasi mengine kwenda mikoa mingine.

Sasa hivi wana magari yamechakaa mno, hakuna maintainance. Pale highway pamechoka sana.

Nimekuwa naitumia hii kampuni kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Naamini kuna wadau ambao ni loyal customers wa hii kampuni bado wanaendelea kuitumia.

Najiuliza nini kimeikumba hii kampuni? Mfikishieni ujumbe mwenye kampuni, afanye juu chini hii kampuni isife kabisa.

Naamini kuna siku Dar express itarudi kwenye ubora tuliouzoea.

Wamiliki wake ambao ni baadhi ya viongozi wa CCM wametumbuliwa.
 
Hizo ndo gari nnazopanda nikitoka arusha.

Zile gari nzuri sana. Zikiwa na utunzaji mzuri zinaweza kukaa sokoni hata miaka 10 ijayo.
Sawa lakini ujue kuwa kwa soko la sasa wasafiri wanaangalia sana namba. Mara nyingi wanauliza namba D series linajaa kwa sasa kuliko C na B. A peleka ambako hakuna lami. Kwa maana hiyo ni heri kuwa na basi linalochakaa mapema mradi tu liwe na series za wakati huo. Kwa sasa heri kununua za kichina kuliko scania.
 
Kila mtu anakuja na theory yake.
 
Sidhani shida ni mchina.

Hata Kilimanjaro ana scania ila zinatunzwa vizuri kuliko za Dar express.
Hata KLM anaanza kuchoka, basi zake zimekuwa below average kwa muda sasa, hawa jamaa wawili wasipoangalia watapotezwa, japo bado wana loyal customers wengi.
 
Zama hizi ukijifanya mbishi eti hutaki kwenda na hali halisi inavyotaka lazima wende na maji.
Kuna kampuni nyingine kubwa na ya muda mrefu ya HOOD hii nayo magari yake tia maji tia maji sana , hii nayo inakoelekea sio kuzuri kabisa
Hood imeshajifia kama haijafa basi inabangaiza mnooo
 
Nenda TBB fb ndoo Utajua Jinsi dar express anavyokimbiza
 
ngoja nikupe kwa kifupi tuu...

marehemu mzee mremi aliyekuwa anaishi kibaha ambaye ni kaka wa tumbo moja na huyo mremi mmiliki wa dar express

alikuwa mtu mkubwa serikalini kipindi cha awamu ya kwanza hadi mwanzo wa awamu ya tatu...

kwa kipindi kile kama unavyojua ukiwa karibu na baba wa taifa mwenyew tu utaona aibu kujilimbikizia mali... sasa yy akawa akipiga hela za serikali anampa mdogo wake aanzishie biashara ili yy asistukiwe kuwa ni fisadi ndio mdogo wake akaanzisha hyo dar express

sasa msala umekuja kaka mtu (mzee mremi wa kibaha) alivyostaafu anamwambia mdogo ake zile mali zangu vipi? jibu la mdogo mtu likawa mali zipi? una mali hapa wewe? kesi ilikuwa kubwa hadi wazee wa ukoo wakaitwa vituko ni pale mdogo mtu aliposema basi nakupa mabasi mawili kaka mtu alihuzunika sana akaamua kususa

maisha yake yake hayakuwa mabaya alikuwa na uwezo tu ila sio tajiri kihivyo ila licha ya kususa maisha yake yote amekuwa na mgogoro na mdogo wake kuhusu hayo magari hadi mauti yalipomkuta mwaka juzi

kitu kizur ni kwamba alisomesha watoto wake na wote wapo vizuri

ila huyo mzee mremi wa dar express siyo mtu kamtenda kaka yake wa damu kabisa
hii story n kweli
mm natokea kijiji kimoja na huyu dar express
watoto wa
mremi wamesoma sana
 
Dar express ni brand kubwa sana kwenye tasnia ya usafirishaji Tanzania.

Ime-set standards nyingi kwenye usafirishaji hasa kwa kanda ya kaskazini ambao zimeigwa na mabasi mengine kwenda mikoa mingine.

Sasa hivi wana magari yamechakaa mno, hakuna maintainance. Pale highway pamechoka sana.

Nimekuwa naitumia hii kampuni kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Naamini kuna wadau ambao ni loyal customers wa hii kampuni bado wanaendelea kuitumia.

Najiuliza nini kimeikumba hii kampuni? Mfikishieni ujumbe mwenye kampuni, afanye juu chini hii kampuni isife kabisa.

Naamini kuna siku Dar express itarudi kwenye ubora tuliouzoea.
Mkuu kwa taarifa yako dar es express korogwe hotel imeuzwa kwa Liverpool owner wa Liverpool motel mombo
 
Back
Top Bottom