Nini kimeikumba Dar Express?

Nini kimeikumba Dar Express?

Tahmeed gari nzuri za kubahatisha mkuu...unaweza kubahatika kupanda gari mpya..au ukapanda mkokoteni.. But angalia Shabiby na kimbinyiko yeye huwa anabadili gari kila wakati huwezi panda mkokoteni.
Kamanumeshapanda hayo magari ya Dodoma unaweza fananisha vzur na hayo magari uliyomention hapa
Ukiishi dodoma lazima uwe kama nduu gay.
 
Dar express ni brand kubwa sana kwenye tasnia ya usafirishaji Tanzania.

Ime-set standards nyingi kwenye usafirishaji hasa kwa kanda ya kaskazini ambao zimeigwa na mabasi mengine kwenda mikoa mingine.

Sasa hivi wana magari yamechakaa mno, hakuna maintainance. Pale highway pamechoka sana.

Nimekuwa naitumia hii kampuni kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Naamini kuna wadau ambao ni loyal customers wa hii kampuni bado wanaendelea kuitumia.

Najiuliza nini kimeikumba hii kampuni? Mfikishieni ujumbe mwenye kampuni, afanye juu chini hii kampuni isife kabisa.

Naamini kuna siku Dar express itarudi kwenye ubora tuliouzoea.
Itakua Ngorika ameloga sana ili atawale Ruti ya Kaskazini
 
Siku nyingi siko kinondoni, kuna kaka take anakaaga pale nyuma ya Livingstone msukule wake waswahili wanaita hajuza kama yupo inawezekana amemkosea masharti
 
laana ya marehemu kamwe haiwezi kumuacha mtu salama...

alichomfanyia kaka yake marehemu mzee mremi wa kibaha mungu anajua ...na ndio hicho kinachommaliza mali ya dhuruma hiyo hadi kaka yake amefariki analalamikia hyo dhuruma aliyofanyiwa

aliyestahili kuwa mwenye mali amefariki na hyo kampuni nayo lazma ifariki imfate marehem mzee mremi
Usipoeleza vizuri tutaamini kuwa hii na habari ya kubumbwa mtaani.
 
nimeishi kinondoni livingstone kwa miaka mitattu sasa...huwa namuona mara nyingi sana huu mzee...na binti fulan hiv mdogo nikijua ni mtoto wake kumbe ni mkewe....ni mzee fulan hiv outdated sana...hata nyumba anayo ishi haiendani na utajir wake...na mwaka jana mwez wa saba nyumba yake ilitaka kuungua majiran ikabid tushirikiane kutoa vitu ndan ya nyumba..yaan nilistaajabu kiasi...jina alilonalo na namna anavoishi..anyway ametusaidia wengi kwa huduma ya usafiri na tunamshukuru sana....
 
Nakushkuru sana mkuu kwa ufafanuz wako!

ngoja nikupe kwa kifupi tuu...

marehemu mzee mremi aliyekuwa anaishi kibaha ambaye ni kaka wa tumbo moja na huyo mremi mmiliki wa dar express

alikuwa mtu mkubwa serikalini kipindi cha awamu ya kwanza hadi mwanzo wa awamu ya tatu...

kwa kipindi kile kama unavyojua ukiwa karibu na baba wa taifa mwenyew tu utaona aibu kujilimbikizia mali... sasa yy akawa akipiga hela za serikali anampa mdogo wake aanzishie biashara ili yy asistukiwe kuwa ni fisadi ndio mdogo wake akaanzisha hyo dar express

sasa msala umekuja kaka mtu (mzee mremi wa kibaha) alivyostaafu anamwambia mdogo ake zile mali zangu vipi? jibu la mdogo mtu likawa mali zipi? una mali hapa wewe? kesi ilikuwa kubwa hadi wazee wa ukoo wakaitwa vituko ni pale mdogo mtu aliposema basi nakupa mabasi mawili kaka mtu alihuzunika sana akaamua kususa

maisha yake yake hayakuwa mabaya alikuwa na uwezo tu ila sio tajiri kihivyo ila licha ya kususa maisha yake yote amekuwa na mgogoro na mdogo wake kuhusu hayo magari hadi mauti yalipomkuta mwaka juzi

kitu kizur ni kwamba alisomesha watoto wake na wote wapo vizuri

ila huyo mzee mremi wa dar express siyo mtu kamtenda kaka yake wa damu kabisa

Mlamba Chumvi Cham Bee ras jeff kapita
 
Hyooo kilimanjaro hata ile luxuly bado ni mbovu 2 hakuna kilimanjaro iliyovizur sema wana huduma nzuri sana ndo kinachowaweka mjin
Hata ile ya Dar express ilochoka ipo vizuri kuliko hizo za wachina.

Ukiipanda unahisi upo kwenye bus. Hizo yutong zina seat kama DCM za gongo la mboto.
 
Huyu mzee anakosea,biashara imebadilika sikuiz,wateja wanataka vitu vizuri vinavyoonekana.Ukilet gari ya 700,000,000 lakini sio luxury kwa ndani lakini ni imara sana mteja anakuona punga tu.Huyu mzee ananunua magari anayoyapenda yeye na sio wanayopenda wateja.Mimi mteja gari inayodumu ya nini?kwani napanda kila siku hilo?
 
ngoja nikupe kwa kifupi tuu...

marehemu mzee mremi aliyekuwa anaishi kibaha ambaye ni kaka wa tumbo moja na huyo mremi mmiliki wa dar express

alikuwa mtu mkubwa serikalini kipindi cha awamu ya kwanza hadi mwanzo wa awamu ya tatu...

kwa kipindi kile kama unavyojua ukiwa karibu na baba wa taifa mwenyew tu utaona aibu kujilimbikizia mali... sasa yy akawa akipiga hela za serikali anampa mdogo wake aanzishie biashara ili yy asistukiwe kuwa ni fisadi ndio mdogo wake akaanzisha hyo dar express

sasa msala umekuja kaka mtu (mzee mremi wa kibaha) alivyostaafu anamwambia mdogo ake zile mali zangu vipi? jibu la mdogo mtu likawa mali zipi? una mali hapa wewe? kesi ilikuwa kubwa hadi wazee wa ukoo wakaitwa vituko ni pale mdogo mtu aliposema basi nakupa mabasi mawili kaka mtu alihuzunika sana akaamua kususa

maisha yake yake hayakuwa mabaya alikuwa na uwezo tu ila sio tajiri kihivyo ila licha ya kususa maisha yake yote amekuwa na mgogoro na mdogo wake kuhusu hayo magari hadi mauti yalipomkuta mwaka juzi

kitu kizur ni kwamba alisomesha watoto wake na wote wapo vizuri

ila huyo mzee mremi wa dar express siyo mtu kamtenda kaka yake wa damu kabisa

Mlamba Chumvi Cham Bee ras jeff kapita
Kitu kama hukijui ni bora tu ukae kimya kuliko kueneza uongo...
 
Kila zama na wakati wake........

1. Scandinavia
2. Kiswele
3. Comfort
4. Taffifu
5. Hood (anamalizikia kukata roho)
6. Air msae

Na sasa hivi ni zamu ya DAR EXPRESS mabibi na mabwana tusimameni na kuwatakia safari njema huko kwenye mapumziko, wacha wawapishe vijana kwenye game.
mkuu umesahau sumri
 
Mzee ni mbishi sana huyu hataki ushauri kabisa.
Pia baada ya kufariki mke wake biashara imeyumba sana.
Mke mdogo aliyemuoa baada ya mkewe kufariki nae kamfanya mzee ni 'chuma ulete'.
Kwa ufupi dar exp. iko ICU
jamani,mkewe alifariki lini?
huyo mke mdgo n wawapi?
 
TANZANIA-BUSES-SKINS-FOR-MARCOPOLO-G7-V1.0-BUS-MOD.jpeg
basi zuri sana
 
Back
Top Bottom