Kwani ukipanda 2x2 unapata shida gani?au ni ubinafsi tu unakusumbua?Kuna 2 by 1 Tahmeed ya Nairobi tu Dar hio Ni zaidi ya Daraja la juu, Uhangaike na marcopolo ya nini 2 by 2 seat
wewe....!!laana ya marehemu kamwe haiwezi kumuacha mtu salama...
alichomfanyia kaka yake marehemu mzee mremi wa kibaha mungu anajua ...na ndio hicho kinachommaliza mali ya dhuruma hiyo hadi kaka yake amefariki analalamikia hyo dhuruma aliyofanyiwa
aliyestahili kuwa mwenye mali amefariki na hyo kampuni nayo lazma ifariki imfate marehem mzee mremi
Acha uwongo wewe hakuna yutong ya mil170Acha unaa wewe,Bombadia kila siku zina ahirisha safari.
Tatizo ni Huyu Mchaga YUDA MREMI hataki kuachana na SCANIA ambayo ni ghali.
Scania Saab Milioni 700
Youtong Mil 170
Saa linganisha hapo
Tahmeed, Marangu coach, Skyline, Kilimanjaro Ngorika saivi kuna abood nae ana vitu balaaaaaKaskazini huwa naenda sana..na gari linaloweza kushindana na hizo nilizotaja ni Dar lux, labda na Ratco tho siionagu ikianzia Dar..mengine yalobaki ni makopo..plus inferior services..
Tahmeed gari nzuri za kubahatisha mkuu...unaweza kubahatika kupanda gari mpya..au ukapanda mkokoteni.. But angalia Shabiby na kimbinyiko yeye huwa anabadili gari kila wakati huwezi panda mkokoteni.Tahmeed, Marangu coach, Skyline, Kilimanjaro Ngorika saivi kuna abood nae ana vitu balaaaaa
Aisee hebu funguka vizuri ilikuwaje?laana ya marehemu kamwe haiwezi kumuacha mtu salama...
alichomfanyia kaka yake marehemu mzee mremi wa kibaha mungu anajua ...na ndio hicho kinachommaliza mali ya dhuruma hiyo hadi kaka yake amefariki analalamikia hyo dhuruma aliyofanyiwa
aliyestahili kuwa mwenye mali amefariki na hyo kampuni nayo lazma ifariki imfate marehem mzee mremi
Tofauti kabisaDar express ndiyo Dar lux.
Tatizi basi za mzungu bei, ushuru mkubwa. Yutong f12 plus ni tsh 350 milioni pamoja na ushuru,. Scania marcopolo kuanzia $350000 before tax kama zile za dar express ndiyo maana matajiri wote wanakimbilia basi za mchina.Bahati mbaya sikuwahi ipanda ile Benz.
Ila napenda mtu au mfanyabiashara ambaye yupo Unique kwenye huduma zake.
Inakuwa rahisi kutengeneza loyal customers kwa haraka zaidi.
Sipendi hiyo michina ila kuna wakati najikuta sina jinsi inabidi niipande.
Unajua gharama ya lile ninja la Dar exp ni sawa na hizo kimbinyiko,au shabiby Everton ngapi,Kaskazini huwa naenda sana..na gari linaloweza kushindana na hizo nilizotaja ni Dar lux, labda na Ratco tho siionagu ikianzia Dar..mengine yalobaki ni makopo..plus inferior services..
Wayapole tu si ya babayao,haina haja ya kusubiri brand inakufa !!! wanaangalia tu!!! ushindani ni mwingi hivi sasa wakishapotea kabisa hawarudi tena hawa,mzee nae akubali kuachia damu mpya yy washindani wake walikuwa wenye mabasi ya sabena huko,akubali kukaa pembeniKuna za kunyapia nilizipata kutoka ndani kabisa ya family kuwa baada ya Mke wa Bosi Mzee Mremi kufariki,haukupita muda Mzee Mremi akavuta jiko jipya mtoto mbichi hapo ndipo sokomoko la kushuka kwa ubora wa Dar Express lilipoanzia. Watoto wake wanafight sana kuongea na Mzee ili yeye apumzike na wao washike usukani wa kusimamia biashara Mzee anagoma kutokana na ushauri wa mke mpya sababu anajua yeye ndio mnufaika wa moja kwa moja. kwa hiyo watoto wanasubiri Mzee ashindwe kabisa halafu wao ndio waanze upya sababu wana kila resources ya kuifanya kampuni iwe kwenye ubora.
2 kwa 1 iyo ukiingia ww na ac na kila huduma naachaje kupanda mali km iyo p360TAHMEED ana mashine hii, SCANIA na ukiiona tu unasikia ASHKI.
View attachment 707442
Happy nationShabiby
Kimbinyiko
ABC
Japo wana mabasi ya kichina ila wapo vizuri sana kuliko mabasi yote ya kaskazini.
Naongea hivi kwasababu nimepanda mabasi haya na yale ya kaskazini.
Hakuna ratico ya dar arusha umebugi na nikujuze 2 unaijuaKaskazini huwa naenda sana..na gari linaloweza kushindana na hizo nilizotaja ni Dar lux, labda na Ratco tho siionagu ikianzia Dar..mengine yalobaki ni makopo..plus inferior services..
Kuna mmoja anasema kaskazini hakuna gari za maanABasi la RATCO .
![]()