Nini kimeikumba Dar Express?

Nini kimeikumba Dar Express?

Hakuna ratico ya dar arusha umebugi na nikujuze 2 unaijua
Tahmmed
Masalu
Marangu coach
Extra luxuly
Kidia one
Machame
Happy nation

Achana na hvyo vyuma hzo zote ni pamba
Hakuna sehemu yeyote niliyoandika kwamba kuna Ratco ya Dar Arusha..kama ipo naomba unionyeshe..Kwenye list hapo Nmeshapanda KIDIA, MACHAME, TAHMEED na HAPPY NATION. Hakuna aliyeniconvice
 
Shabiby
Kimbinyiko
ABC

Japo wana mabasi ya kichina ila wapo vizuri sana kuliko mabasi yote ya kaskazini.

Naongea hivi kwasababu nimepanda mabasi haya na yale ya kaskazini.
Mkuu waambie wewe ..mana nikiwaambia mm wanabisha.
 
Acha uzwazwa wewe na utambue njia ya kaskazini kuna magari mazuri na yenye huduma bora kushinda hiyo kanda ya kati ...

Kilimanjaro Exp
Tahmeed
Lim Safaris
Raqeeb
Na mengine mengi ..
Kilimanjaro , Lim safari, nmeshayapanda.na si mara moja..ni ovyo kabisa..no value for money..Lim safari magari yao mengi yamechoka..inawezekana wanayo mapya but ni machache sana.
Jaribu kuja kanda ya kati hautajutia
 
Hakuna ratico ya dar arusha umebugi na nikujuze 2 unaijua
Tahmmed
Masalu
Marangu coach
Extra luxuly
Kidia one
Machame
Happy nation

Achana na hvyo vyuma hzo zote ni pamba
As long as they're Yutongs, Zongtongs.

Bado sana.
 
Kuteleze sii kuanguka ! Anajipanga vizuri, Mabasi ya kichina no miaka 2 barabarani na huwezi kufananisha na scania miaka 5 na kuendelea
 
Ratco umepanda wewe,Tahmeed na mengineyo
2x2 za scania za Kilimanjaro zipo spacious and comfy kuliko hiyo 2x1 ya Tahmeed.

Nimepanda zote na nimeexperience the difference.

Hapo kwa 2x1 unaona za maana kwasababu kuna wifi, screens ila hazijafikia ubora wa scania hata kwa nusu, hata mchina alotengeneza anajua hilo.
 
Basi la RATCO .
IMG-20140710-WA0000.jpg
Ratco nazikubali tatzo hakuna za Dar Arusha
 
Acha unaa wewe,Bombadia kila siku zina ahirisha safari.

Tatizo ni Huyu Mchaga YUDA MREMI hataki kuachana na SCANIA ambayo ni ghali.

Scania Saab Milioni 700

Youtong Mil 170


Saa linganisha hapo
hapo kweli kuacha youtong ni uchizi ..

.nahapo bado wachina hawajakukopesha ...maana naskiaga ukinunua mabus mawili wakopeshwa lingine ""
 
2x2 za scania za Kilimanjaro zipo spacious and comfy kuliko hiyo 2x1 ya Tahmeed.

Nimepanda zote na nimeexperience the difference.

Hapo kwa 2x1 unaona za maana kwasababu kuna wifi, screens ila hazijafikia ubora wa scania hata kwa nusu, hata mchina alotengeneza anajua hilo.
Hyooo kilimanjaro hata ile luxuly bado ni mbovu 2 hakuna kilimanjaro iliyovizur sema wana huduma nzuri sana ndo kinachowaweka mjin
 
Back
Top Bottom