Nini kimeikumba Dar Express?

Nini kimeikumba Dar Express?

Mchina kuwa ni shida inakuja kwenye mtaji alionao,kwa mfano kama alikuwa anauwezo wa kununua scania 4 ambayo kila scania moja ni sawa na mchina tatu basi alikuwa anauwezo wakuagiza mchina 12 mpya na zingeingia kuvitamin biashara yake. Ni kweli dar express naona kama inapumulia mashine.,nakumbuka siku moja natoka nairobi nimeipanda marcopolo zile model mpya kilichonisikitisha zaidi kwenye mabasi yale wameweka chaja (usb ports) za kubumba mtaaini hii yote nikukuta soko limebadrika na na uwezo huna wakubadilika.
Hizo ndo gari nnazopanda nikitoka arusha.

Zile gari nzuri sana. Zikiwa na utunzaji mzuri zinaweza kukaa sokoni hata miaka 10 ijayo.
 
mzee mremi mbishi... wenzake wanacheza na wachina... yeye kaamua kufa na scania zake..

bei ya scania moja unanua mchina mbili au tatu... so lazima wakimbize tu... abood alileta ubishi ila kasanda nae kaamia mchina

akikomaa na scania na hasipobadilika... lazima afunge biashara
Zama hizi ukijifanya mbishi eti hutaki kwenda na hali halisi inavyotaka lazima wende na maji.
Kuna kampuni nyingine kubwa na ya muda mrefu ya HOOD hii nayo magari yake tia maji tia maji sana , hii nayo inakoelekea sio kuzuri kabisa
 
Zama hizi ukijifanya mbishi eti hutaki kwenda na hali halisi inavyotaka lazima wende na maji.
Kuna kampuni nyingine kubwa na ya muda mrefu ya HOOD hii nayo magari yake tia maji tia maji sana , hii nayo inakoelekea sio kuzuri kabisa
Umesema ukweli kabisa.
 
laana ya marehemu kamwe haiwezi kumuacha mtu salama...

alichomfanyia kaka yake marehemu mzee mremi wa kibaha mungu anajua ...na ndio hicho kinachommaliza mali ya dhuruma hiyo hadi kaka yake amefariki analalamikia hyo dhuruma aliyofanyiwa

aliyestahili kuwa mwenye mali amefariki na hyo kampuni nayo lazma ifariki imfate marehem mzee mremi


kumbee na hayo yapo! mkuu kama vp kajipange uje utiririke vizuri! sie tunapandaga tu hayo magari hatuji lolote!
 
Mm naona amekosa management nzuri ata utunzaji wa magari umekuwa ovyo gari zimewai kuchoka sana mfano mtu saivi hawez kwenda panda marcopolo andare au ile crystal yake kwa bei juu akaacha mchina ambae anakula may be kiyoyozi comfortable seat ..chrging systems na mengineyo ..ila ajitazame upya km kwel anania achague kuwa mbunifu either kumwaga michina aua kurudi km alivyokuwa awali bila hvyo sidhan ...maana juzi nilikuwa pale shekilango daah gari inakuwa na abiria wachache sana
....Juzi nilienda msibani Moshi nikapanda BM VIP sh 35000 aisee very classic....kiyoyozi, charger, movies, music etc
 
Mzee kaoa kabinti kabichii baada ya mkewe wa awali kufariki. Kama ujuavyo tubinti twa insta havinaga time na investment wao kazi moja tu
Nami nilisikia hivyo. Kwamba baada ya mke wake kufariki na ambae alikuwa sehemu ya management, basi mambo yakaanza kwenda sio. Haka ka bi mpya kapo kapo tu, hakajali biashara. Mimi nime shift to Kilimanjaro bus kwa sasa.
 
Yaani mkuu , unamaanisha kila kitu kimechoka sana
 
Si unajia train inakuja hadi mwanza phace one morogor na phace 2 kabla ya 2020 dodoma na runamaliza kabisa mwanza
 
Back
Top Bottom