Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Miss cocastic nimekumbuka kitu kingine, hata waganga wa kienyeji kwenye hili la umeme wengi wananasa sana.
 
Aiseee, mimi ningekuwa ni Dr, kabla ya kuingia kwenye uhusiano (mapenzi) nakupima kwanza afya, kisha mambo mengine yaendelee
 
Aiseee, mimi ningekuwa ni Dr, kabla ya kuingia kwenye uhusiano (mapenzi) nakupima kwanza afya, kisha mambo mengine yaendelee
 
Kijana unatikisa meza yenye vinywaji vya gharama sana...

Anyway, bwana profesa pamoja na kubadilisha damu mara kwa mara lakini hakuweza kukikwepa kifo...(tuishie hapo)
Kuna jamaa kwa sasa ameshakuwa Mzee, ni mfanyabiashara wa hotel za kitalii, miaka hiyo tulikuwa tukielezwa kuwa huwa anaenda Uingereza kubadilisha damu, kipindi hicho alikuwa na umri kama 45 na sasa huenda ana ana zaidi ya 70, na nasikia angalia hai
 
miaka hiyo tulikuwa tukielezwa kuwa huwa anaenda Uingereza kubadilisha damu, kipindi hicho alikuwa na umri kama 45 na sasa huenda ana ana zaidi ya 70, na nasikia angalia hai

Kabla ya ujio wa mbaazi, watu wenye mpunga walikuwa wakifanya hayo matibabu ya kutoa damu yenye shida (kansa, ngwengwe n.k) na kuweka nyingine...

Hata yule "mzee mchonga" alikuwa anafanya hivyo, safari ilipowadia Israel akamtwaa huko huko kwenye mimashine akiwa "Ukerewe"...
 
umeipanga vzr mno, na uzi ufungwe
 
Aiseee, mimi ningekuwa ni Dr, kabla ya kuingia kwenye uhusiano (mapenzi) nakupima kwanza afya, kisha mambo mengine yaendelee
Kwa Sasa unaweza kipindi hicho cha miaka ya themanini Ukimwi haukuwa rasmi kama Leo. Kupima na kuvaa condom ilikuwa kama haipo enzi hizo.
 
Mi nilisikia alikuwa anazalisha mama mjamzito bahati mbaya aliumia na sindano, inasemekana tule mgonjwa alikuwa ameathirika ndo ikapelekea na yeye kupata ugonjwa, kuhusu mkewe inawezekana alipoona amefanya mistake hakumgusa alimuacha alee watoto wasife wote
 
We jamaa unauhakika na unachokisema??
 
Sidhani kama Prof Kairuki alikufa kwa Ukimwi, kwa ninavyofahamu ilikuwa kansa ndio ilimtafuna. Watu wengi walidhani ni Ukimwi kutokana na alivyokonda ila kansa nayo inakondesha. Kipindi hicho hakuna anayejua kuhusu Kansa, watu walijua ukikonda sana ni Ukimwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…