Nini kilikusaidia kupata kazi?

Nini kilikusaidia kupata kazi?

Kujuana na watu..pia uchapakazi ukipewa kazi ndogo ifanye kwa umakini na usahihi wa hali ya juu na ifanye kwa wakati..ili ujenge uaminifu na kukubalika.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shda kwny kujuana na watu hapo. Inahtaji uwe mtu flan talkative,, mcheshi, chawa n.k sasa sio wote tuna uwezo wa kuwa chawa.
Mimi ni kinyume na vyote ulivyoeleza, Ila heshima, kumjulia hali mtu (kusalimu), pengine kulisaidia.
 
NDUGU ZANGU NATAFUTA KAZI NIMEGRADUATE MWAKA ULIOPITA 2021 KAMA CIVIL ENGINEER
INDUSTRIAL FIELD NILIZOFANYA
1.road construction and rehabilitation
2.design of multistorey building by using prota structure design
3. Practical soil test
4.Road construction and maintenance
5.road design by using geometric design manual
Namba zangu
0777614610 whatsapp and call
0629894286 call
MSAADA NDUGU ZANGU NAOMBA SANA KWENU NAWEZA FANYA KWA HARI YOYOTE ILE 🙏🙏
 
Jaribu kupeleka maombi Yapi Markez au kwa wale wachina wanaojenga SGR.
 
Nimemaliza degree ya IT , niliomba ajira kila pahala ila nimeambulia patupu,utumishi ya serikali huko ndio nyumban kwan ilikuwa kila siku lazima nipitie portal yao, ninaitwa sana mpk oral ila sikuwahi kubahatika kupata, inafika pahala wanaweza kuitwa hata watu 3 hapo wanatakiwa 2 ila amini ndugu yangu siwezi kuitwa, nimesali sana na kuomba ila wapi, pale home wakaona ni mzigo kukaa pale kwani nikirudi nasimangwa kwa maneno mfano mbona fulani kapata kazi, ww unafeli wapi nk. Nikaona Isiwe tabu nikahama pale home nakaa gheto kwa sasa, kiufupi sasa hivi nauza matunda katika genge na mshikaji wangu niliesoma nae primary, na jioni nafanya betting maisha yanaenda. Sitakaa niombe tena Ajira yaan, najua kuna siku nitatoboa.
Daah we unaendana na mimi yaani kwenye interview natoboa Ila hamna kitu

Sahivi nimekuwa saidia fundi tu
 
Nimemaliza degree ya IT , niliomba ajira kila pahala ila nimeambulia patupu,utumishi ya serikali huko ndio nyumban kwan ilikuwa kila siku lazima nipitie portal yao, ninaitwa sana mpk oral ila sikuwahi kubahatika kupata, inafika pahala wanaweza kuitwa hata watu 3 hapo wanatakiwa 2 ila amini ndugu yangu siwezi kuitwa, nimesali sana na kuomba ila wapi, pale home wakaona ni mzigo kukaa pale kwani nikirudi nasimangwa kwa maneno mfano mbona fulani kapata kazi, ww unafeli wapi nk. Nikaona Isiwe tabu nikahama pale home nakaa gheto kwa sasa, kiufupi sasa hivi nauza matunda katika genge na mshikaji wangu niliesoma nae primary, na jioni nafanya betting maisha yanaenda. Sitakaa niombe tena Ajira yaan, najua kuna siku nitatoboa.
usikate tamaa dogo
 
Back
Top Bottom