Nini kilikusaidia kupata kazi?

Nini kilikusaidia kupata kazi?

Ni kumwomba mungu sana kwa kuwa sasaivi kuna Secretariat ya ajira ktk utumishi Wa umma hata juzi mh mkuchika amesema wale waliozoea kuingia kazini NA vimemo muda huo hamna tena lazima upitie process through mtandao sio bahasha kama zamani unajisajili portal.ajira.go.tz- unakuwa NA profile yako huko

Mwanasiasa akikuambia nje kuna giza toka nje kahakikishe
 
Nimejitolea Halmashauri kwa mwaka sasa na miezi 2 ila sioni ata dalili Za kupewa mkataba ,posho Za sikukuu si haba napata ila siwezi kusurvive kwa posho

Vipi mnanishaurije niendelee tu au nitafute ustaarabu mwingine
Unashindwa kusurvive maana yake hata basic needs unashindwa kupata kutokana na posho lao, kaza kijana hapa bongo hata kwa buku 2 kwa siku masela wanasurvive kitaa, ukishindwa kupata hata hela ya kula na naul bac jua hapakufai hapo usipoteze muda.
 
Moja kwa moja kwenye mada...

Vijana wengi wanamaliza vyuo kila mwaka ilihali wengine bado tuko mtaani hatujui hatima ya maisha yetu.Mimi binafsi nimehitimu miaka kadhaa imepita nilipomaliza chuo nilikuwa na haraka sana ya kutafuta kazi miaka inasonga ni kama zile nguvu zimeisha nahisi uchungu kusikia mtu anaongelea mambo yanahusu kazi ilihali wengine tunahangaika sana..

Kwa kweli nimeitwa interview kadhaa lakini naona kama danganya toto tu walio na iyo kazi wapo tayari wengine tunapoteza tu muda..nimefikiria kila mtu anayeweza kunipa connection lakini nako hakuna matumaini.

Sasa wandugu wewe uliwezaje kupata kazi tupeane mbinu jamani stress zinazidi
TWO PROFFESIONALS: DEGREE YA COMPUTER SCIENCE, DIPLOMA YA EDUCATION.
Niliajiriwa kama mwalimu wa Diploma sasa hivi nipo halmashauri kama mtaalamu wa IT nakula mema ya nchi.
Mzee ajira sasa hivi ni survival for the fittest jiongeze lazima uwe wa tofauti na uwe na vitu vya ziada na uwe na akili ya kuona mbali. Nilipoenda kusoma Ualimu Diploma pale Korogwe ttc nilionekana Mwehu.
 
Hivi hayo magrupu yapo?
Humu hamna wenye group la watsap la kazi?
Tatizo mkiwa kwenye hayo magroup ya kazi MNA relax....MTU anajiunga alafu anasikizia watu watume matangazo ya kazi yeye awe msomaji tu.

Kumbe ili group liwe active kila member anatakiwa awe anapost nafas za kazi.

Sasa wenye kasumba ya kusubiri wenzao wapost ndo huwa hawapat kazi ..lakini wanaozunguka online na kuleta opportunities kwenye group wanapata sababu wanakua wana explore nafasi nyingi online na wanakua na ka utamaduni ka kuperuzi daily..

Sio Sawa na mkaa bure kwenye group ambae anasubiri wenzake wapost.
 
Nashkur Mungu sekretariet wameniona huko kwenye kanzidata.....na sijawah na sina connection wala nn..

ila wandugu kufikia point ukapata kazi sio mchezo ....kikubwa amini Mungu yupo ipo siku itakua siku yako...amini hivyo.

🙏🙏🙏
 
Hongera.....

Karibu kwenye Utumishi wa Umma.

#YNWA
 
TWO PROFFESIONALS: DEGREE YA COMPUTER SCIENCE, DIPLOMA YA EDUCATION.
Niliajiriwa kama mwalimu wa Diploma sasa hivi nipo halmashauri kama mtaalamu wa IT nakula mema ya nchi.
Mzee ajira sasa hivi ni survival for the fittest jiongeze lazima uwe wa tofauti na uwe na vitu vya ziada na uwe na akili ya kuona mbali. Nilipoenda kusoma Ualimu Diploma pale Korogwe ttc nilionekana Mwehu.
Wewe IT kuajiriwa halmashauri ni kula mema ya nchi?

1. Kamati za madiwani zikushukie
2. CMT ikukomalie
3. Defaulters wa mapato wakutoe jasho kwa DED
4. Payer ID zaidi ya moja zikuzalishie hoja.
5. MUSE ikuchanganye.

Hivi kabisa halmashauri Kuna bata?

#YNWA
 
Nashkur Mungu sekretariet wameniona huko kwenye kanzidata.....na sijawah na sina connection wala nn..

ila wandugu kufikia point ukapata kazi sio mchezo ....kikubwa amini Mungu yupo ipo siku itakua siku yako...amini hivyo.

[emoji120][emoji120][emoji120]
Kupata kazi kaka, ukifanya masihara hata ndugu zako watajinyonga hasa huku uzaramoni
 
Katika maisha yangu hadi sasa nilichojifunza ni kuwekeza kwa watu, kujenga urafiki na kufahamiana na watu wengi kadri unavyoweza.

Katika hili nikiri kuwa mm ndilo limenisaidia sana tena sana.

Mimi nimefanikiwa katika scenarios zifuatazo;

1. Kuna rafiki yangu anafahamiana na watu wengi sanaaa, alinishtua siku moja kuna kazi imetangazwa Bank moja lkn ni Tangazo la ndani, akampigia simu mama mmoja akamwambia nina rafiki yangu amemaliza chuo (akakitaja) anaweza kufanya ile interview?
Maza akamwambia aje kesho mchana kuna interview.

Nikaenda mzee nikapewa PC hapo imetegeshwa timer, nikaelekezwa cha kufanya, pale lilikuwa swali linakuja unalijibu ukichelewa kujibu linapotea, ukiwahi kujibu una-opt nxt question hivyohivyo linafuata lingine.... so nikavuka pale... ikaja oral kesho yake nikatusua after 2 weeks nikaanza kazi.

Ikapita kama 2 years akaja rafik wa yule jamaa aliyeniungia job Bank, akaomba mkopo nikamuhudumia vzr akapata mkopo katika kipindi kifupi, akawa mshkaji wangu. Siku moja tukiwa tunapiga story akaniuliza wewe hutaki kazi serialini, nikamuuliza kwa nafasi ipi akanieleza....akaniuliza qualification nikamwambia..... basi ikapita kama miezi miwili hapo tayar nilikuwa nimefungua stationery akaja stationery akaniamba nimtengenezee (customization) tangazo la.nafasi ya kazi ili alipeleke gazetini...nikafanya hvyo baadae akaniambia kama unaweza omba hy nafasi moja wapo lkn tu kama upo interested na kazi serikalini.

Nikaomba baada ya miezi mingi kupita nikaitwa interview, nakumbuka tulikuwa watu kama 90 na walikuwa wanataka nafasi moja kwa position yangu. Nikapiga fresh interview baada ya muda wakaita nika report, basi nika resign Bank nikaanza kazi pale....

Wakati fulani nikawa nataka kuhama ofc hiyo nihamie nyingine, kule nilikoomba nihamie wakampigia simu yy kwa sbb ndo alikuwa HR jamaa akani-recommend vzr na hatimaye nikahamia sehemu nyingine nzr zaidi na sensitive sana!!!

2. Kupitia network ambayo ninayo nimeweza kusaidia pia ndg zangu... nakumbuka kuna mdogo wangu alipata kazi mkoa fulani kwa sbb tu niliweza kuongea na washikaji na washikaji wakawa na access ya kufanikisha ajira ile ya dogo.

Kifupi mimi naamini hata matajiri ili wafanikiwe wanahitaji kwa mtaji wa watu, then mtaji wa pesa unafuata... and this is a practical katika maisha kwa ujumla wake.
 
Mkuu, wewe ni introvert au extrovert??

Asee mm ni introvert kwa 80%+ napata shda sana kufahamiana na watu wapya na kutengeneza connection mpya. Yaan kila ikija ajira/mchongo wa pesa unaohitaji mtu fulan aku recommend najikuta nakosa huyo mtu bcoz skutengeneza connection mapema.
 
Moja kwa moja kwenye mada...

Vijana wengi wanamaliza vyuo kila mwaka ilihali wengine bado tuko mtaani hatujui hatima ya maisha yetu.Mimi binafsi nimehitimu miaka kadhaa imepita nilipomaliza chuo nilikuwa na haraka sana ya kutafuta kazi miaka inasonga ni kama zile nguvu zimeisha nahisi uchungu kusikia mtu anaongelea mambo yanahusu kazi ilihali wengine tunahangaika sana..

Kwa kweli nimeitwa interview kadhaa lakini naona kama danganya toto tu walio na iyo kazi wapo tayari wengine tunapoteza tu muda..nimefikiria kila mtu anayeweza kunipa connection lakini nako hakuna matumaini.

Sasa wandugu wewe uliwezaje kupata kazi tupeane mbinu jamani stress zinazidi
Connection ya muhaya mwenzangu

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Shda kwny kujuana na watu hapo. Inahtaji uwe mtu flan talkative,, mcheshi, chawa n.k sasa sio wote tuna uwezo wa kuwa chawa.
Hahahahah hapo kwenye uchawa pia pamenikwamisha sana...pamenichelewesha sana yani😅 kuchangamka naweza ila sio kwa kuanza kujibebisha kwa wahuni kufatana fatana kila mahali!
 
Hahahahah hapo kwenye uchawa pia pamenikwamisha sana...pamenichelewesha sana yani[emoji28] kuchangamka naweza ila sio kwa kuanza kujibebisha kwa wahuni kufatana fatana kila mahali!
Yaan hii ktu ngumu we acha tu mazee!!
 
Back
Top Bottom