Nini kilikusaidia kupata kazi?

Nini kilikusaidia kupata kazi?

Nimemaliza degree ya IT , niliomba ajira kila pahala ila nimeambulia patupu,utumishi ya serikali huko ndio nyumban kwan ilikuwa kila siku lazima nipitie portal yao, ninaitwa sana mpk oral ila sikuwahi kubahatika kupata, inafika pahala wanaweza kuitwa hata watu 3 hapo wanatakiwa 2 ila amini ndugu yangu siwezi kuitwa, nimesali sana na kuomba ila wapi, pale home wakaona ni mzigo kukaa pale kwani nikirudi nasimangwa kwa maneno mfano mbona fulani kapata kazi, ww unafeli wapi nk. Nikaona Isiwe tabu nikahama pale home nakaa gheto kwa sasa, kiufupi sasa hivi nauza matunda katika genge na mshikaji wangu niliesoma nae primary, na jioni nafanya betting maisha yanaenda. Sitakaa niombe tena Ajira yaan, najua kuna siku nitatoboa.
Usikate tamaa mkuu kila kitu na wakati wake endelea kuomba ajira kuna jamaa alimaliza SUA food science toka 2016 mwaka huu ndo kaajiriwa TDB board ya maziwa Tanzania anakula pesa tu sasa hivi.
 
Naona fairy-tales za "Kupata kazi kimasihara" zimeshaanza...[emoji1739]
Na kweli watu wamepata kazi kimasihara...

Kuna waliozamia interview ambazo hawakuitwa

Kuna walioacha barua kwa secretary

Kuna waliotuma email kwa wakubwa

Kuna walioitwa tu!
 
Katika maisha yangu hadi sasa nilichojifunza ni kuwekeza kwa watu, kujenga urafiki na kufahamiana na watu wengi kadri unavyoweza.

Katika hili nikiri kuwa mm ndilo limenisaidia sana tena sana.

Mimi nimefanikiwa katika scenarios zifuatazo;

1. Kuna rafiki yangu anafahamiana na watu wengi sanaaa, alinishtua siku moja kuna kazi imetangazwa Bank moja lkn ni Tangazo la ndani, akampigia simu mama mmoja akamwambia nina rafiki yangu amemaliza chuo (akakitaja) anaweza kufanya ile interview?
Maza akamwambia aje kesho mchana kuna interview.

Nikaenda mzee nikapewa PC hapo imetegeshwa timer, nikaelekezwa cha kufanya, pale lilikuwa swali linakuja unalijibu ukichelewa kujibu linapotea, ukiwahi kujibu una-opt nxt question hivyohivyo linafuata lingine.... so nikavuka pale... ikaja oral kesho yake nikatusua after 2 weeks nikaanza kazi.

Ikapita kama 2 years akaja rafik wa yule jamaa aliyeniungia job Bank, akaomba mkopo nikamuhudumia vzr akapata mkopo katika kipindi kifupi, akawa mshkaji wangu. Siku moja tukiwa tunapiga story akaniuliza wewe hutaki kazi serialini, nikamuuliza kwa nafasi ipi akanieleza....akaniuliza qualification nikamwambia..... basi ikapita kama miezi miwili hapo tayar nilikuwa nimefungua stationery akaja stationery akaniamba nimtengenezee (customization) tangazo la.nafasi ya kazi ili alipeleke gazetini...nikafanya hvyo baadae akaniambia kama unaweza omba hy nafasi moja wapo lkn tu kama upo interested na kazi serikalini.

Nikaomba baada ya miezi mingi kupita nikaitwa interview, nakumbuka tulikuwa watu kama 90 na walikuwa wanataka nafasi moja kwa position yangu. Nikapiga fresh interview baada ya muda wakaita nika report, basi nika resign Bank nikaanza kazi pale....

Wakati fulani nikawa nataka kuhama ofc hiyo nihamie nyingine, kule nilikoomba nihamie wakampigia simu yy kwa sbb ndo alikuwa HR jamaa akani-recommend vzr na hatimaye nikahamia sehemu nyingine nzr zaidi na sensitive sana!!!

2. Kupitia network ambayo ninayo nimeweza kusaidia pia ndg zangu... nakumbuka kuna mdogo wangu alipata kazi mkoa fulani kwa sbb tu niliweza kuongea na washikaji na washikaji wakawa na access ya kufanikisha ajira ile ya dogo.

Kifupi mimi naamini hata matajiri ili wafanikiwe wanahitaji kwa mtaji wa watu, then mtaji wa pesa unafuata... and this is a practical katika maisha kwa ujumla wake.
 
Hongera na safi sana mkuu kwa kuwagusa wengine pia...Kiukweli HUMAN CAPITAL ina nguvu zaidi ya FINANCIAL CAPITAL...Binafsi naamini mtaji wa kwanza ni AFYA wapili ni WATU na watatu ni PESA...

Ndemyago pia ndisuka unditange nafasi kama wina network na vanu uvasele..Nguluvi ikutangulie kukasi sako..Ndilumba.
 
Katika maisha yangu hadi sasa nilichojifunza ni kuwekeza kwa watu, kujenga urafiki na kufahamiana na watu wengi kadri unavyoweza.

Katika hili nikiri kuwa mm ndilo limenisaidia sana tena sana.

Mimi nimefanikiwa katika scenarios zifuatazo;

1. Kuna rafiki yangu anafahamiana na watu wengi sanaaa, alinishtua siku moja kuna kazi imetangazwa Bank moja lkn ni Tangazo la ndani, akampigia simu mama mmoja akamwambia nina rafiki yangu amemaliza chuo (akakitaja) anaweza kufanya ile interview?
Maza akamwambia aje kesho mchana kuna interview.

Nikaenda mzee nikapewa PC hapo imetegeshwa timer, nikaelekezwa cha kufanya, pale lilikuwa swali linakuja unalijibu ukichelewa kujibu linapotea, ukiwahi kujibu una-opt nxt question hivyohivyo linafuata lingine.... so nikavuka pale... ikaja oral kesho yake nikatusua after 2 weeks nikaanza kazi.

Ikapita kama 2 years akaja rafik wa yule jamaa aliyeniungia job Bank, akaomba mkopo nikamuhudumia vzr akapata mkopo katika kipindi kifupi, akawa mshkaji wangu. Siku moja tukiwa tunapiga story akaniuliza wewe hutaki kazi serialini, nikamuuliza kwa nafasi ipi akanieleza....akaniuliza qualification nikamwambia..... basi ikapita kama miezi miwili hapo tayar nilikuwa nimefungua stationery akaja stationery akaniamba nimtengenezee (customization) tangazo la.nafasi ya kazi ili alipeleke gazetini...nikafanya hvyo baadae akaniambia kama unaweza omba hy nafasi moja wapo lkn tu kama upo interested na kazi serikalini.

Nikaomba baada ya miezi mingi kupita nikaitwa interview, nakumbuka tulikuwa watu kama 90 na walikuwa wanataka nafasi moja kwa position yangu. Nikapiga fresh interview baada ya muda wakaita nika report, basi nika resign Bank nikaanza kazi pale....

Wakati fulani nikawa nataka kuhama ofc hiyo nihamie nyingine, kule nilikoomba nihamie wakampigia simu yy kwa sbb ndo alikuwa HR jamaa akani-recommend vzr na hatimaye nikahamia sehemu nyingine nzr zaidi na sensitive sana!!!

2. Kupitia network ambayo ninayo nimeweza kusaidia pia ndg zangu... nakumbuka kuna mdogo wangu alipata kazi mkoa fulani kwa sbb tu niliweza kuongea na washikaji na washikaji wakawa na access ya kufanikisha ajira ile ya dogo.

Kifupi mimi naamini hata matajiri ili wafanikiwe wanahitaji kwa mtaji wa watu, then mtaji wa pesa unafuata... and this is a practical katika maisha kwa ujumla wake.
You said it all brother .
Connection, connection,connection.
 
Mkuu hongera sana binafsi mimi pia naamini ni ngumu sana kupata kazi bila connection siku hizi ofisi nyingi kazi zinatangazwa ndani kwa ndani yaani bila connection ni ngumu sana mkuu
hivyo mkuu mimi pia nakuomba msaada wa connection!
 
mkuu hongera sana binafsi mimi pia naamini ni ngumu sana kupata kazi bila connection siku hizi ofisi nyingi kazi zinatangazwa ndani kwa ndani yaani bila connection ni ngumu sana mkuu
hivyo mkuu mimi pia nakuomba msaada wa connection!
Kimsingi kazi zipo ila nani wa kukupa mchongo ndio ishu. Ukijuana na watu rahisi sana kupita
 
Katika maisha yangu hadi sasa nilichojifunza ni kuwekeza kwa watu, kujenga urafiki na kufahamiana na watu wengi kadri unavyoweza.

Katika hili nikiri kuwa mm ndilo limenisaidia sana tena sana.

Mimi nimefanikiwa katika scenarios zifuatazo;

1. Kuna rafiki yangu anafahamiana na watu wengi sanaaa, alinishtua siku moja kuna kazi imetangazwa Bank moja lkn ni Tangazo la ndani, akampigia simu mama mmoja akamwambia nina rafiki yangu amemaliza chuo (akakitaja) anaweza kufanya ile interview?
Maza akamwambia aje kesho mchana kuna interview.

Nikaenda mzee nikapewa PC hapo imetegeshwa timer, nikaelekezwa cha kufanya, pale lilikuwa swali linakuja unalijibu ukichelewa kujibu linapotea, ukiwahi kujibu una-opt nxt question hivyohivyo linafuata lingine.... so nikavuka pale... ikaja oral kesho yake nikatusua after 2 weeks nikaanza kazi.

Ikapita kama 2 years akaja rafik wa yule jamaa aliyeniungia job Bank, akaomba mkopo nikamuhudumia vzr akapata mkopo katika kipindi kifupi, akawa mshkaji wangu. Siku moja tukiwa tunapiga story akaniuliza wewe hutaki kazi serialini, nikamuuliza kwa nafasi ipi akanieleza....akaniuliza qualification nikamwambia..... basi ikapita kama miezi miwili hapo tayar nilikuwa nimefungua stationery akaja stationery akaniamba nimtengenezee (customization) tangazo la.nafasi ya kazi ili alipeleke gazetini...nikafanya hvyo baadae akaniambia kama unaweza omba hy nafasi moja wapo lkn tu kama upo interested na kazi serikalini.

Nikaomba baada ya miezi mingi kupita nikaitwa interview, nakumbuka tulikuwa watu kama 90 na walikuwa wanataka nafasi moja kwa position yangu. Nikapiga fresh interview baada ya muda wakaita nika report, basi nika resign Bank nikaanza kazi pale....

Wakati fulani nikawa nataka kuhama ofc hiyo nihamie nyingine, kule nilikoomba nihamie wakampigia simu yy kwa sbb ndo alikuwa HR jamaa akani-recommend vzr na hatimaye nikahamia sehemu nyingine nzr zaidi na sensitive sana!!!

2. Kupitia network ambayo ninayo nimeweza kusaidia pia ndg zangu... nakumbuka kuna mdogo wangu alipata kazi mkoa fulani kwa sbb tu niliweza kuongea na washikaji na washikaji wakawa na access ya kufanikisha ajira ile ya dogo.

Kifupi mimi naamini hata matajiri ili wafanikiwe wanahitaji kwa mtaji wa watu, then mtaji wa pesa unafuata... and this is a practical katika maisha kwa ujumla wake.
Nice
 
Back
Top Bottom