Foul
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 798
- 1,176
Asante mkuupole sana. nafasi yako inakuja dont give up.
Asante mkuupole sana. nafasi yako inakuja dont give up.
Kipi sipo nacho..?Ni kawaida kwa usichokuwa nacho kuwa na mipango nacho kana kwamba ni rahisi kama unavyofikiria.
Acha tu mkuu, nilienda kwenye interview moja tena benk, tumefanya round one tulikuwa kama 300 hvi, tukatokea 10 kati ya wale 300, interview ilikuwa ya round w tu ndo mana walikata kutoka 300 mpaka kumi kupunguza idadi ya wanaoenda round ya 2 ambayo ni mwisho
Tulipoenda tulikuwa wanaume 2 na wanawake 8
Interview ikaendelea, ilipofika zamu yangu wakauliza maswali mpaka ya siasa, nkajibu
Mwisho wakaniambia eti nina mwili mdogo sitoiweza nafasi nanayoiomba mana nafasi hiyo chini yake kuna watu wengine wazima na wakubwa sana kimwil hivyo hawataniheshimu
Najuta kuwa na mwil mdogo, nilitaman Mungu aniumbe upya, mpaka leo npo mtaani zaid ya 5 yrs sasa
Hivi mkuu Lazima kuvaa Official ukiwa unasambaza hizi cv?Muda huo ukiwa una PRESS Cv zako sehem tofaut tofaut kuomba AJIRA
ThanksPole sana Usikate tamaa God will see you through
Hapana kwa kwel, suala la muonekano hawakuweka, sifa nyingine zote nilikuwa nazo ndo mana hata round ya kwanza nilipita kati ya watu 300, wale 10 nilikuwepo na ambao tulikuwa nao wala hawakunizid mwil kivile, naweza sema ni mmoja tu alikuwa bongeThat was so unproffesional of them you applied for the job because you had the qualifications they needed. Kwenye Tangazo la kazi hawakuweka physique appearance kama moja ya vigezo vya kupata kazi (ah waliweka?) kwangu mimi huo ni unyanyapaa....and I swear nnavyopenda kucheza na sheria ninge wa sue [emoji1][emoji1] Yani ungekua na mwanasheria mzuri mbona hiyo ni kesi na wangekulipa....
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Mkuu nadhan walitafuta tu sababu, na uzuri ni kuwa walinambia hiyo sababu hapo hapo, huenda hata nisingejua na kuchukulia ni sehemu ya kukosa kama nyingine nyingi ambazo nimefanyaHao ni wapumbavu sana, eti mwili mdogo! Mbona mm nna mwili mdogo nimeajiri wenye miili mikubwa wapo chini yangu na wananiheshimu tuu! Huo ni unyanyasaji..
Omba Mungu sana, kuajiriwa hakuna ujanja, ni Mwenyezimungu akiamua tu unapata, kuna jamaa yangu mmoja hivi alijitolea Kinyerezi 2, miezi 10 hakupata ajira, kipindi anajitolea akaitwa tena kujitolea TPA(seap program) mwaka mzima uliisha na ajira zikitoka yupo pale lkn alikuwa hapati ajira, ingawa alikuwa analipwa 1M kwa nwezi. juzikati ajira za TBA wakaitwa watu 280 huku wakiwa wanatafuta mtu mmoja akachukuliwa yeye (Mechanical Engineer 2).
Kuna mdogo wangu kamaliza mwaka huu AUTOMOBILE ENGINEERING, kapata kazi TOTAL bila connection walienda kuomba kurecruit watu wa automobile wanamchukua kisa ana gpa nzuri, kuna jamaa humu jamii forum, nilimkonect tu mahala wanatafuta maintenance engineer haikuchukua hata week 2 akaitwa kazini, na niliwapa watu wengi email watume maombi lkn ye aliitwa faster. .
Ukisikia mtu kapata kazi wala sio ujanja wake, bali nimuda tu umefika.
Nimefanya oral interviews za Utumishi 6 ila naona bado muda wangu haujafika bado..........siku wakinikumbuka nitashukuru MUNGU
MkuuMimi nilipata kazi kwa kuchukua email ya COO, nikamuemail sikuweka hata CV, asubhi ninaamka nakuta kaniomba CV niakamtumia, akaniambia niende ofisini kwao kesho yake. Interview tukaifanyia SLipway na haikuwa interview ilikuwa story. Training akanipa mwenyewe niliomba internship akaishia kunipa kazi na malipo mazuri.
Kuna ndugu yangu alipataga kazi shirika la misaada la Japan JICA, kisa kwenye interview walipewa swali la kuandaa spread sheets unajumulisha kwa formula. yeye akawa hajui, akawa anajumlisha kawaida anaweka jibu. Mjapan aliyekuwa anasimamia akamwona, akamfuata akamuuliza kwaniniunafanya hivi mbona wajumlisha kawaida, Jamaa akamjibu hapana nimeweka formula. Mjapana kaanza kuchheka jinsi jamaa alivyokuwa kaweka sura kama kweli vile. Akacheka sana akamwambia I like you. Hivyo na kazi akapata.
Tena uwe Makini ktk Mavazi usiende umevaa ndala au viatu vya waziHivi mkuu Lazima kuvaa Official ukiwa unasambaza hizi cv?
Una sifa Sana GPA yote hiyoo?GPA, 4.8 Bachelor, kozi ngumu ya science.
That's how life is young bro.Ndio maana ya mtu anayeweza kukusaidia kukuondoa topeni ni yule ambaye humatarajii siku zote.
Omba Mungu sana, kuajiriwa hakuna ujanja, ni Mwenyezimungu akiamua tu unapata, kuna jamaa yangu mmoja hivi alijitolea Kinyerezi 2, miezi 10 hakupata ajira, kipindi anajitolea akaitwa tena kujitolea TPA(seap program) mwaka mzima uliisha na ajira zikitoka yupo pale lkn alikuwa hapati ajira, ingawa alikuwa analipwa 1M kwa nwezi. juzikati ajira za TBA wakaitwa watu 280 huku wakiwa wanatafuta mtu mmoja akachukuliwa yeye (Mechanical Engineer 2).
Kuna mdogo wangu kamaliza mwaka huu AUTOMOBILE ENGINEERING, kapata kazi TOTAL bila connection walienda kuomba kurecruit watu wa automobile wanamchukua kisa ana gpa nzuri, kuna jamaa humu jamii forum, nilimkonect tu mahala wanatafuta maintenance engineer haikuchukua hata week 2 akaitwa kazini, na niliwapa watu wengi email watume maombi lkn ye aliitwa faster. .
Ukisikia mtu kapata kazi wala sio ujanja wake, bali nimuda tu umefika.
Daaah! ni dhahiri hii ndugu, kweli hiyo haikuwa fair game bora wangebakia na hayo majibu kwa rejea zao siyo kukuambia wewe hapoAcha tu mkuu, nilienda kwenye interview moja tena benk, tumefanya round one tulikuwa kama 300 hvi, tukatokea 10 kati ya wale 300, interview ilikuwa ya round w tu ndo mana walikata kutoka 300 mpaka kumi kupunguza idadi ya wanaoenda round ya 2 ambayo ni mwisho