wakubwa salaam, nimesikia tetesi za kwamba msanii maarufu bongo ma east afrika Diamond alifukuzwa kwenye harusi ya msanii anayeunda kundi la p-square, paulo huko nigeria, eti ni ukwel? na kama ni kweli kisa ninini? kama unapic tupia tuone...
p square walishazungumza ktk television,they don't know that guy,wala hawakuwahi kusikia jina la mwanamuziki duniani anayeitwa DIAMONDS
kwahiyo mkuu yeye diamond alijipendekeza au?
kuna tetesi anataka fanyia upasuaji mdomo!
wakubwa salaam, nimesikia tetesi za kwamba msanii maarufu bongo ma east afrika Diamond alifukuzwa kwenye harusi ya msanii anayeunda kundi la p-square, paulo huko nigeria, eti ni ukwel? na kama ni kweli kisa ninini? kama unapic tupia tuone...
Mimi bana sijawahi kuoa kwahiyo wale ambao wamepata kuoa/kuolewa wanisaidi yafuatayo:Mwanamuziki wa P square, Peter Okoye ameoneshwa kushangazwa na taarifa kwamba mwanamuziki wa bongo fleva Naseeb Abdul alihudhuria harusi yake hivi karibuni nchini Nigeria na kuhudhuriwa na mastaa mbali mbali akiwenmo msukumba gozi wa Totenham Hotspurs Adebayor.
Awali kupitia blogs mbali mbali kulisambaa taarifa kuwa dimond alikua mwanamuziki pekee afrika mashariki aliyealikwa katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na tajiri nambari moja afrika, Aliko Dangote.
Blogs hizo zilikwenda mbali kwa kumpamba diamond kwa vyeo vya ajabu ajabu ikiwemo Michael Jackson wa afrika mashariki jambo ambalo lilisababisha wengi kumponda.
Akihojiwa na kituo cha EATV mara baada ya kuwasili jijini Dar kwa ajili ya shoo iliyopigwa viwanja vya leaders club, Okoye alishangazwa na taarifa za dimond kuhudhuria katika harusi yake.
Nenda hapa
P SQUARE WAMUUMBUA DIAMOND PLATNAM..!! HAYA NDIYO WALIYOSEMA