Mkuu wabongo tunachojua ni kuponda tuuuuuMimi bana sijawahi kuoa kwahiyo wale ambao wamepata kuoa/kuolewa wanisaidi yafuatayo:
- Nani huwa anatoa kadi za mwaliko? Ni Bwana/Bibi Harusi peke yao au kunakuwa na watu wengine ambao pia wanakasimishwa kazi ya kutoa kadi za mwaliko?
- Kama ni Bwana Harusi peke yake, sawa! Lakini ikiwa Bibi harusi nae anaweza kutoa kadi, je ina maana analazimika kutoa kadi kwa wale tu ambao Bwana Harusi anawafahamu au?
- Au kama kunakuwa na mtu/watu wengine ambao nao wanapewa mamlaka ya kutoa kadi, je, ni lazima watoe kadi kwa watu ambao wanafahamika moja kwa moja na Bwana Harusi?
- Kama sivyo ndivyo, je, ikiwa Diamond alipewa kadi ya mwaliko na mtu ambae si one of P-Squres, nini basi kinashangaza kwa one or all of P-Squares akisema kwamba hamfahamu Diamond.
- Ina maana wote ambao walihudhuria P-Squares waliwafahamu personally kwa majina na sura?
- What's the main point? Diamond kuhudhuria harusi ya P's au P-Squares kumfahamu Diamond?
- Kama issue ni kuhudhuria, I can understand kv ni kama Diamond ametonesha kwamba alihudhuria lakini kama issue ni kufahamika na P's; does it matter anything? Hili leo hii P's kuwa hawamfahamu Diamond, Diamond mwenyewe anapungukiwa na nini?
Nabii hakubalikagi kwao