Nini kilichomtokea diamond nigeria??

sir mushi

Senior Member
May 26, 2013
143
52
wakubwa salaam, nimesikia tetesi za kwamba msanii maarufu bongo ma east afrika Diamond alifukuzwa kwenye harusi ya msanii anayeunda kundi la p-square, paulo huko nigeria, eti ni ukwel? na kama ni kweli kisa ninini? kama unapic tupia tuone...
 
Unataka picha ya wakati anafukuzwa ama... subiri aje mpambe wake heaven on desert... utamsikia..
 
Last edited by a moderator:
Mo sijui ngoja arudi tutayapata yote, ila jua tu Diamond kwenye nyanja za kimataifa ni mchanga ila kw hapa bongo yuko juu hana wa kumlimganisha
 
diamond.jpg

!
!
ndio ivo yani
 
wakubwa salaam, nimesikia tetesi za kwamba msanii maarufu bongo ma east afrika Diamond alifukuzwa kwenye harusi ya msanii anayeunda kundi la p-square, paulo huko nigeria, eti ni ukwel? na kama ni kweli kisa ninini? kama unapic tupia tuone...

Mwanamuziki wa P square, Peter Okoye ameoneshwa kushangazwa na taarifa kwamba mwanamuziki wa bongo fleva Naseeb Abdul alihudhuria harusi yake hivi karibuni nchini Nigeria na kuhudhuriwa na mastaa mbali mbali akiwenmo msukumba gozi wa Totenham Hotspurs Adebayor.

Awali kupitia blogs mbali mbali kulisambaa taarifa kuwa dimond alikua mwanamuziki pekee afrika mashariki aliyealikwa katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na tajiri nambari moja afrika, Aliko Dangote.

Blogs hizo zilikwenda mbali kwa kumpamba diamond kwa vyeo vya ajabu ajabu ikiwemo Michael Jackson wa afrika mashariki jambo ambalo lilisababisha wengi kumponda.

Akihojiwa na kituo cha EATV mara baada ya kuwasili jijini Dar kwa ajili ya shoo iliyopigwa viwanja vya leaders club, Okoye alishangazwa na taarifa za dimond kuhudhuria katika harusi yake.

Nenda hapa
P SQUARE WAMUUMBUA DIAMOND PLATNAM..!! HAYA NDIYO WALIYOSEMA
 
Mimi bana sijawahi kuoa kwahiyo wale ambao wamepata kuoa/kuolewa wanisaidi yafuatayo:
  • Nani huwa anatoa kadi za mwaliko? Ni Bwana/Bibi Harusi peke yao au kunakuwa na watu wengine ambao pia wanakasimishwa kazi ya kutoa kadi za mwaliko?
  • Kama ni Bwana Harusi peke yake, sawa! Lakini ikiwa Bibi harusi nae anaweza kutoa kadi, je ina maana analazimika kutoa kadi kwa wale tu ambao Bwana Harusi anawafahamu au?
  • Au kama kunakuwa na mtu/watu wengine ambao nao wanapewa mamlaka ya kutoa kadi, je, ni lazima watoe kadi kwa watu ambao wanafahamika moja kwa moja na Bwana Harusi?
  • Kama sivyo ndivyo, je, ikiwa Diamond alipewa kadi ya mwaliko na mtu ambae si one of P-Squres, nini basi kinashangaza kwa one or all of P-Squares akisema kwamba hamfahamu Diamond.
  • Ina maana wote ambao walihudhuria P-Squares waliwafahamu personally kwa majina na sura?
  • What's the main point? Diamond kuhudhuria harusi ya P's au P-Squares kumfahamu Diamond?
  • Kama issue ni kuhudhuria, I can understand kv ni kama Diamond ametonesha kwamba alihudhuria lakini kama issue ni kufahamika na P's; does it matter anything? Hili leo hii P's kuwa hawamfahamu Diamond, Diamond mwenyewe anapungukiwa na nini?
 
Back
Top Bottom