mwanajamii mpya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 554
- 446
Sio kweli kiaje??wapo wanaosema kwamba sio fair kwamba kutakuwa na mrundikano wa wanafunzi kwa baadhi ya vyuo si kweli
Sio kweli kiaje??wapo wanaosema kwamba sio fair kwamba kutakuwa na mrundikano wa wanafunzi kwa baadhi ya vyuo si kweli
we bado upo 2g prezdah yupo 5gsidhani kaul ya Maguful ni ya kufuta TCU au kufuta CAS, mwanafunzi hata kupitia CAS anaweza kuomba chuo/vyuo anavyotaka, cha msingi achaguliwe ktk among vyuo alivyoomba, na baadhi ya vyuo viache kwenda kufanya robbing maana wakiona kuna mtu kachagua chuo chao hata kama ni last option na ana sifa ya kupata kile cha first anapangwa huko, hicho ndicho amekata Mh President
hako kautaratibu wenzio wamekitumia kuvuna mamilioni kwa baadhi ya vyuo ili vipate wanafunzi mfano kiu,imtu na kiu...Faida za C.A.S.
1. Ilipunguza multiple selection kwa mwanafunzi mmoja, hivyo kutoa nafasi kwa mwanafunzi wengine kudahiliwa.
2. Ilirahisisha loan's allocation, na kuondoa/kupunguza multiple loan's allocation.
3. Ilimhakikishia mwanafunzi kwamba atapata nafasi ya kusoma, japo huenda ikawa isiwe program of choice.. Hii ni pale ambapo utalazimika kufanya maombi kwa Mara ya 2,3, n.k..
4. Ongeza nyingine...
Kama mfumo mpya utaahakikisha hayo maswala hapo huu, BARIDA TUU.. na kama hapana mi naona bora tubaki na haka kautaratibu, TULIKAZOEA..
Faida za C.A.S.

Hizo faida niaje?? Achana na vijisentihako kautaratibu wenzio wamekitumia kuvuna mamilioni kwa baadhi ya vyuo ili vipate wanafunzi mfano kiu,imtu na kiu...
Hoja ya tano(5) mkuu nakujibu moja kwa moja kuhusu university entry qualifications
form six . D mbili (point nne)
Equivalent qualifications (diploma) ni 3.5GPA
Hivyo Ata kama itaamuliwa kupeleka vyeti kwenye vyuo husika, vyuo vitawekewa hili kama sharti na mamma husika.
Hoja ya tano(5) mkuu nakujibu moja kwa moja kuhusu university entry qualifications
form six . D mbili (point nne)
Equivalent qualifications (diploma) ni 3.5GPA
Hivyo Ata kama itaamuliwa kupeleka vyeti kwenye vyuo husika, vyuo vitawekewa hili kama sharti na mamlaka husika.
the same pia mm nilichaguliwa coz ambayo sikuipennda ila nilifanikiwa kubadili kwa shida sana now nipo third yea nashukuru, namuunga mkono mheshimiwa Rais vyuo ni vingi sana vinapoteza sifa ya chuo kikuuMimi nitaunga mkoni hilo swala kwa sababu ni wengi sana waliopangiwa vyuo na Programu ambazo hawakuziomba
Binafsi mimi nilikua mhanga wa hilo ila thanks God nilifanikiwa kubadili