Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

Bora angesema Tcu ifuate matakwa ya waombaji

Mfano mfumo wa Tcu unamruhusu mwanafunzi kupendekeza chuo unachotaka kusoma visizidi vitatu

Katika hivyo vitatu mwanafunzi hata akichaguliwa haina tatizo kwa sababu kachagua yeye

Hivyo mh. Rais angeshaur vyuo vifuate maombi ya mwanafunzi kwenye selection
hapana mkuu yuko sahihi tcu ni wapiga dili kama wale wa bandarini
 
Bora angesema Tcu ifuate matakwa ya waombaji

Mfano mfumo wa Tcu unamruhusu mwanafunzi kupendekeza chuo unachotaka kusoma visizidi vitatu

Katika hivyo vitatu mwanafunzi hata akichaguliwa haina tatizo kwa sababu kachagua yeye

Hivyo mh. Rais angeshaur vyuo vifuate maombi ya mwanafunzi kwenye selection

Hapana, wazo la Rais ni sahihi sana kwenye hili.Mwanafunzi aombe chuo anachokitaka fullstop. Kuna watu wengine kama mie, kwa Tanzania kama ungenichagua nje ya UDSM ungekuwa umeishaniharibia ndoto zangu.

Jina la chuo linamatter.Ndio maana kuna rank za vyuo kwa ubora wao, na kwa mtindo huu, ushindani wa vyuo utaongezeka maana usipokuwa na jina hutapata wanafunzi.
 
Bora angesema Tcu ifuate matakwa ya waombaji

Mfano mfumo wa Tcu unamruhusu mwanafunzi kupendekeza chuo unachotaka kusoma visizidi vitatu

Katika hivyo vitatu mwanafunzi hata akichaguliwa haina tatizo kwa sababu kachagua yeye

Hivyo mh. Rais angeshaur vyuo vifuate maombi ya mwanafunzi kwenye selection[/QUOTE
ni wazo zuri
 
Vyuo vilikuwa vinadahili wanafunzi serikali ndiyo ilifuta wakati huo jmp alikuwa kwenye baraza la mawaziri! Kila wakati elimu ina mhanga wake
 
Kuna jambo ambalo wengi hatulielewi. TCU hawampangii mtu course (hili si kweli), TCU wanakupangia kutokana na ulichoomba. Shida iliyopo ni competition kubwa.

Unapoomba kozi flani pamoja na watu wengine 1000 wakati capacity ya chuo ni 70 hutapata. TCU kwa kutambua ndoto ya wengi ni kusoma chuo, wanaangalia wapi demand ilikuwa ndogo na qualification zako zimetimia wanakupangia. Its a matter of stay (wakuache) au go for your dream (walau utimize ndoto ya kusoma chuo).

Mpango unaopendekezwa una athari nyingi ambazo watu hawazioni. Ntaanisha chache;

1. Direct application kwenda chuo itaongeza gharama maradufu kwa maana kila chuo utalazimika kulipa application fees, gharama za stationeries etc.

2. Mfumo huu utapelekea watu wengi kukosa fursa ya kusoma elimu ya juu. Mathalani wote wakaomba UDSM, ARU, SUA na UDOM, kitakachotokea mwenye highest qualifications aweza kupata admission vyuo vyote akaziba nafasi za wengine.

Pili kwa kuwa application hufanyika baada ya matokeo ya F6 na muda mdogo kabla ya kufungua chuo, ni wazi atakaekosa vyuo labda vitatu ulivyoomba utachelewa kujua wapi kuna nafasi ukaombe hivyo mwaka huo kukupita na kukuacha mtaani.

3. Mfumo unaopendekezwa utawaacha watoto wa masikini wengi nje ( mfumo huu unaruhusu kupachikana kirahisi kwani kila mtu awe za kuja na majina ya nduguze chuoni kwake). Sambamba na hili la kupachikana kuna tatizo jingine la fedha, ni kweli kwamba bodi ya mikopo eitha haipeleki au huchelewesha kulipa ada za wenye mikopo, kutatua hili vyuo vinaweza kuopt kuchagua wanaojiweza kiuchumi wengi na kuwatupa nje watoto wa walalahoi wengi.

4. Tutatengeneza tatizo kubwa mbeleni la typology ya wanafunzi. Pamoja na TCU kuwa na matatizo wamejitahidi sana kubalance sana diversity ya wanafunzi vyuoni. Athari za direct entry zinaweza kuleta ukabila, chuo flani kimejaza nshomile wengi au wachaga wengi n.k (hii sio tuhuma mpya). Kuna jingine la udini, mathalani SAUT na associates wake wanaweza kujaza wakatoliki chuoni au MUM wakajaza radical islamist watupu na vyuo vingine n.k

5. Quality assurance itakuwa ngumu sana. Nilitegemea TCU waongezewe nguvu ya kuamua kuhusu ubora ikiwa ni pamoja na kupewa mamlaka ya kuamua entry qualification ili kulinda ubora wa vyuo vyetu. Tunarudi kule kule kwenye kila chuo kujiamulia sifa zake, vyuo vidogo na visivyo fahamika vitalazimika kushusha entry qualifications ili kufetch wanafunzi waliobaki (wenye sifa dhaifu) ili kuendelea kuwapo.

Rais ashauliwe vema kuhusu sera au kauli zake kuhusu elimu. Mara zote anapokuwa Mlimani ameonesha waziwazi kupendelea chuo hicho na kuviacha vyuo vingine kama vile si vya serikali au havina umuhimu. Leo inataka kuanzishwa sera ya ajabu ili kuipa UDSM autonomous ya kujiamulia mambo yenyewe, si sera mbaya ila vipi kuhusu vyuo vingine?

Hostels UDSM, Mabasi UDSM vipi wengine hawahitaji mambo hayo? Kwa nini tusiwe na treatment moja kwenye taasisi za elimu ya juu zote?
 
ni wakati wa jpm huu so follow instruction sion tabu mbona mwaka jana grades zilipanda gafla na tume kufosiwa wazifate so tuwe wavumilivu tu time will tell the truth...
 
Kimsingi Rais hajaifuta TCU,alichosema TCU ibaki na majukumu ya Regulation kwa Elimu ya juu na kuacha swala la Udahili wa pamoja (CAS)
Kwa maagizo hayo system ya Central admission wenda ikafutwa badae na kila mwanafunzi aombe udahili direct chuo husika anachokipenda.

Rejea nukuu hizi;
Mmbea wa jiji:
'Wanafunzi wanalazimishwa kupelekwa kwenye kachuo ambako hakana hata jina'- JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]

'Niombe Wizara ya elimu, TCU tubadilishe utaratibu wa kuchagua wanafunzi, wanafunzi wenyewe wachague badala ya TCU'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]

'Wakati mwingine wakuu wa vyuo wanaenda TCU kuomba wapangiwe wanafunzi pamoja na kwamba sina ushahidi'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]

Rais Magufuli: Ishu si kuwa na vyuo vikuu vingi, ishu ni kuwa na vyuo vichache vinavyotoa wanafunzi wengi wenye vigezo vya juu [HASHTAG]#JFLeo[/HASHTAG]

'Wanafunzi wachague vyuo wanavyovitaka ambavyo havitachaguliwa vife, kwa nini mnalazimisha'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]

'Kuna vyuo ambavyo haviko kwenye Standard vina hakikisha vinapata wanafunzi kwa sababu wanapata mkopo'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]
TCU ibaki na majukumu ya Regulation kwa Elimu ya juu na kuacha swala la Udahili wa pamoja (CAS) Wizara na TCU wawe waangalifu sana kwenye swala hili. CAS inasaidia sana hata kama ina mapungufu. Kwa wastani mwanafunzi anajaza vyuo 5 na bado kuna wanaokosa raundi ya kwanza na si wachache. Wengi wa wanafunzi itabidi waombe vyuo zaidi ya kimoja na wale wenzangu mimi ambao ni wengi itabidi wombe zaidi ya viwili. Hapa kuna gharama.
Lakini pia kama lengo ni kuwapa wanafunzi uhuru wakuchagua (ambao upo tayari kwa kiasi fulani) basi warekebishe CAS na sikuifuta. Atakaekosa alicho omba system ya udahili iwe ya uwazi (tuone cut off points na kwa nini mwanafunzi amekataliwa) kama wanavyo fanya UDSM. Hii itawezesha waliokataliwa kwa mizengwe au bahati mbaya waweze ku-appeal. Watu wakumbuke chuo kama UDSM ina nafasi kadha hivyo zikijaa sioni wanafunzi watadahiliwa vipi kama pointi zao ziko chini ya cut off-labda kama chuo hicho kitaongezewa uwezo (nafasi, walimu na miundombinu-kitu ambacho hakita tokea leo au kesho). Kwa hiyo wale watakao kosa walikopenda ina maana wabaki mtaani au waombe nafasi nyingine. Kwa ufupi uwepo wa CAS au kutokuwepo kwakwe hakusaidii wale wenye point pungufu kwenda vyu wanavyo vitaka.

'Kuna vyuo ambavyo haviko kwenye Standard vina hakikisha vinapata wanafunzi kwa sababu wanapata mkopo'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG] Hili ndio swala la msingi kuliko la CAS/wanafunzi kuchagua vyuo kwa serikali. TCU iko kwa mujibu wa sheria. Mwaka jana kuna vyuo vya Afya vilizuiwa kudahili wanafunzi (UDOM, St. Francis, IMTU, etc), kitendo hicho kilipunguza nafasi za kusomea masomo kama udakitari lakini kama vyuo havikizi vigezo ni sawa kuzuia udahili au kuvifunga kabisa (na haijalishi kama ni private au public). Kwa hiyo tumuulize raisi na waziri kama vyuo hivi vipo vyenye upungufu na serikali ipo-inakuwaje serikali iruhusu wanafunzi wapatiwe elimu duni? Raisi asilalamike awabane TCU wafanye kazi yao vinginevyo TCU irekebishwe kama haiwezekani ifutwe waunde institution nyingine (ni imani yangu bado inarekebishika).
 
dah big up sana masiya nakuelewa sana kwenye hili jukwaa unalitendea haki michango yako naona kwa mbali mama ndalichako aki ipitia tuombe mungu tu....
 
wapo wanaosema kwamba sio fair kwamba kutakuwa na mrundikano wa wanafunzi kwa baadhi ya vyuo si kweli
Wakifuta CAS ni kwamba kuna vyuo vitakua na mrundikano wa maombi lakini sio wanafunzi kwani TCU ikifanya kazi yake havitaweza kudahili zaidi ya uwezo wao.
 
kwa mbali naona meli ya cas ikipoteza dira wana oidhamisha kwa ajili ya matumbo yao mifano ipo cuhas,kiu,imtu,TEKU mabingwa wa kuhonga tcu sasa hapo ndo shida inapokuja sasa naona labda kuwe na points za kujiunga na kila chuo kwa upand wa minimum mpaka maximum ili wew ukiona hjuafikia hizo points usijisumbue kupeleka maombi...
 
Kimsingi Rais hajaifuta TCU,alichosema TCU ibaki na majukumu ya Regulation kwa Elimu ya juu na kuacha swala la Udahili wa pamoja (CAS)
Kwa maagizo hayo system ya Central admission wenda ikafutwa badae na kila mwanafunzi aombe udahili direct chuo husika anachokipenda.

Rejea nukuu hizi;
Mmbea wa jiji:
'Wanafunzi wanalazimishwa kupelekwa kwenye kachuo ambako hakana hata jina'- JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]

'Niombe Wizara ya elimu, TCU tubadilishe utaratibu wa kuchagua wanafunzi, wanafunzi wenyewe wachague badala ya TCU'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]

'Wakati mwingine wakuu wa vyuo wanaenda TCU kuomba wapangiwe wanafunzi pamoja na kwamba sina ushahidi'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]

Rais Magufuli: Ishu si kuwa na vyuo vikuu vingi, ishu ni kuwa na vyuo vichache vinavyotoa wanafunzi wengi wenye vigezo vya juu [HASHTAG]#JFLeo[/HASHTAG]

'Wanafunzi wachague vyuo wanavyovitaka ambavyo havitachaguliwa vife, kwa nini mnalazimisha'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]

'Kuna vyuo ambavyo haviko kwenye Standard vina hakikisha vinapata wanafunzi kwa sababu wanapata mkopo'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]
daaa....japo mm ni mwl wa art niyekosa ajira lakini kwa hili namuunga mkono jpm....kunq vyuo vinatoa gpa kubwa mno lakin uwezo wa wanafunzi wao unatia mashaka.kwa hili hongera jpm...lakin usiwe mbishi banaaa kama umekoseajambo fulan.
 
Kuna jambo ambalo wengi hatulielewi. TCU hawampangii mtu course (hili si kweli), TCU wanakupangia kutokana na ulichoomba. Shida iliyopo ni competition kubwa.

Unapoomba kozi flani pamoja na watu wengine 1000 wakati capacity ya chuo ni 70 hutapata. TCU kwa kutambua ndoto ya wengi ni kusoma chuo, wanaangalia wapi demand ilikuwa ndogo na qualification zako zimetimia wanakupangia. Its a matter of stay (wakuache) au go for your dream (walau utimize ndoto ya kusoma chuo).

Mpango unaopendekezwa una athari nyingi ambazo watu hawazioni. Ntaanisha chache;

1. Direct application kwenda chuo itaongeza gharama maradufu kwa maana kila chuo utalazimika kulipa application fees, gharama za stationeries etc.

2. Mfumo huu utapelekea watu wengi kukosa fursa ya kusoma elimu ya juu. Mathalani wote wakaomba UDSM, ARU, SUA na UDOM, kitakachotokea mwenye highest qualifications aweza kupata admission vyuo vyote akaziba nafasi za wengine.

Pili kwa kuwa application hufanyika baada ya matokeo ya F6 na muda mdogo kabla ya kufungua chuo, ni wazi atakaekosa vyuo labda vitatu ulivyoomba utachelewa kujua wapi kuna nafasi ukaombe hivyo mwaka huo kukupita na kukuacha mtaani.

3. Mfumo unaopendekezwa utawaacha watoto wa masikini wengi nje ( mfumo huu unaruhusu kupachikana kirahisi kwani kila mtu awe za kuja na majina ya nduguze chuoni kwake). Sambamba na hili la kupachikana kuna tatizo jingine la fedha, ni kweli kwamba bodi ya mikopo eitha haipeleki au huchelewesha kulipa ada za wenye mikopo, kutatua hili vyuo vinaweza kuopt kuchagua wanaojiweza kiuchumi wengi na kuwatupa nje watoto wa walalahoi wengi.

4. Tutatengeneza tatizo kubwa mbeleni la typology ya wanafunzi. Pamoja na TCU kuwa na matatizo wamejitahidi sana kubalance sana diversity ya wanafunzi vyuoni. Athari za direct entry zinaweza kuleta ukabila, chuo flani kimejaza nshomile wengi au wachaga wengi n.k (hii sio tuhuma mpya). Kuna jingine la udini, mathalani SAUT na associates wake wanaweza kujaza wakatoliki chuoni au MUM wakajaza radical islamist watupu na vyuo vingine n.k

5. Quality assurance itakuwa ngumu sana. Nilitegemea TCU waongezewe nguvu ya kuamua kuhusu ubora ikiwa ni pamoja na kupewa mamlaka ya kuamua entry qualification ili kulinda ubora wa vyuo vyetu. Tunarudi kule kule kwenye kila chuo kujiamulia sifa zake, vyuo vidogo na visivyo fahamika vitalazimika kushusha entry qualifications ili kufetch wanafunzi waliobaki (wenye sifa dhaifu) ili kuendelea kuwapo.

Rais ashauliwe vema kuhusu sera au kauli zake kuhusu elimu. Mara zote anapokuwa Mlimani ameonesha waziwazi kupendelea chuo hicho na kuviacha vyuo vingine kama vile si vya serikali au havina umuhimu. Leo inataka kuanzishwa sera ya ajabu ili kuipa UDSM autonomous ya kujiamulia mambo yenyewe, si sera mbaya ila vipi kuhusu vyuo vingine?

Hostels UDSM, Mabasi UDSM vipi wengine hawahitaji mambo hayo? Kwa nini tusiwe na treatment moja kwenye taasisi za elimu ya juu zote?
Najua JPM anataka quality graduates lakini nafikiri anahitaji ushauri wa hali ya juu. Kwanza aiwezesha TCU ifanye kazi yake na kwa hawa TCU yeye na waziri wawe wakali kweli. Pili misaada asipeleke tu vyuo vya serikali tu - havina uwezo wa kuipatia Tanzania mahitaji yake ya watalaam. Vile ambavyo vinakidhi viwango vya TCU aweze kuvisaidia ikishindikana sana vipate wanafunzi wenye mikopo viweze kujiboresha zaidi. Wanaosoma kule ni watanzania na huduma zao zitatolewa Tanzania. Maneno yake naona anataka kuvitenga vyuo visivyo vya serikali, kama hawezi kuvisaidia kabisa basi ahakikishe TCU inahakiksha vina viwango bora.
Hilo la mahaba na UDSM (kwa sababu alisoma hapo) aliangalie kwa ukaribu linaweza kutoa elimu yetu kwenye reli. Sera za kibaguzi hazitasaidia.
 
Wakati wa kuapply direct kila chuo application fee haikua 50000 bali nakumbuka km ilikua 10000 km sijasahau.
Hata nyakati CAS ikianza application fee ilikua 30000 hivo gharama hizi itakua zinabadilika kulingana na mabadiliko ya kiuchumi.Hivo nadhan application fee itakua regulated ili watu waweze kuapply vyuo mbalimbali
Uko sawa mkuu,hata mm nililipa hiyo kipindi hicho. Na nilichapata chuo nilichotaka pamoja na kozi niliyotaka.
 
ni wakati wa jpm huu so follow instruction sion tabu mbona mwaka jana grades zilipanda gafla na tume kufosiwa wazifate so tuwe wavumilivu tu time will tell the truth...

Grades za kujiunga na chuo hazipangwi na wizara na wala Waziri hana mamlaka yoyote ya kuvipangia vyuo grades. Pili TCU hawapangi grades wala enrolment ya mwanafunzi yoyote, Senate ya chuo husika hufanya hivyo.

TCU walitengeneza common pool ya wanafunzi kuapply chuo kwa mujibu wa sifa ulizonazo ila jukumu la enrolment lilibakia kuwa la chuo husika.

Kama ulikosa chuo ulichokitaka ni kwamba Senate ilikukataa ( taarifa anapewa TCU ya waliochukuliwa) hivyo TCU ikakutafutia mahala pengine walipokukubali.

Hata ungeruhusiwa kuomba moja kwa moja bado Senate ya UDSM ingekukataa vile vile na chuo ungekosa kwa kuwa usingeomba tena popote pale.

Dhana ya kuwa kusoma UDSM ndio umekwenda chuo kikuu ni ya kipumbavu na inapaswa kulaaniwa. Vijana waambiwe kabisa elimu ya chuo inategemea innovation na creativity uliyonayo sio umesoma wapi.
 
Mfumo wa udahili wa pamoja ni mzuri zaidi (CAS). Ni efficient na effective kuliko kila chuo kujitegemea kwenye udahili. Mfumo huo unaondoa duplicate processes na ni rahisi kwa wanafunzi kufanya applications. Cha muhimu waufanyie maboresho tu ili kuondoa kasoro (mimi nasema chache/ndogo) zilizojitokeza.

Hawa hawa watakuja kulalamika vyuo vya serikali vikikosa wanafunzi! Tuwe nao makini sana. Kwenye elimu tuweke siasa pembeni.
 
kwa mbali naona meli ya cas ikipoteza dira wana oidhamisha kwa ajili ya matumbo yao mifano ipo cuhas,kiu,imtu,TEKU mabingwa wa kuhonga tcu sasa hapo ndo shida inapokuja sasa naona labda kuwe na points za kujiunga na kila chuo kwa upand wa minimum mpaka maximum ili wew ukiona hjuafikia hizo points usijisumbue kupeleka maombi...
Hapa wangefuata uwazi wa UDSM ingesaidia, kwani kwa kila anaedahiliwa utaona ufaulu wake wa O na A level. Wanaweka point zake kuanzia wajuu hadi wa mwisho. Hivyo kama uliachwa una uwezo wa kuuliza kunani kama unapoint juu ya cut off. Na UDSM wakipelekewa jina na TCU halafu wakaamua kuliacha wanatoa sababu. Basi vyuo vyote vinelazimishwa kufanya hivyo na ingekuwa rahisi kuona nani kaomba wapi na kapelekwa wapi kwa nguvu.
Lakini pia vijana wetu wengi hawapati ushauri mzuri kwani unaweza kuwaona wamejazana mahali ambapo ufaulu wao haukidhi hivyo bila TCU kuwasaidia wengi watakosa nafasi kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom