ndugu masiya kumbuka point 4 katika masomo mawili ni kwama mwenye DDE na CEE wana point 4 lakini ona maajabu ya cas mwenye sifa apo ni DDE huyo mwenye CEE anatakiwa aludie mtihni ama diploma ili ku qualify kwenda degree....Sijakuelewa? Una maana kuna aliekuwa hana pointi 4 kwa masomo mawili na kaenda chuo kikuu kusoma degree?
Mkuu hii ilirekebishwa mwaka jana na kigezo kikawa point 4 na sio D2 ambazo walianza nazo.ndugu masiya kumbuka point 4 katika masomo mawili ni kwama mwenye DDE na CEE wana point 4 lakini ona maajabu ya cas mwenye sifa apo ni DDE huyo mwenye CEE anatakiwa aludie mtihni ama diploma ili ku qualify kwenda degree....
kwa kile walichokifanya ni unyama mkubwa sana kwa wanafunzi wamewa badilishia gia angani sasa kama mkuu aliwah kusema kama udsm ina uwezo wa kuchukua wanafunzi 23,000+ na chuo cha udom nacho 40,000+ sasa kuna haja gani hivo vyuo vingine kupata wanafunzi yani tcu ni jipu sana wanafunzi waliowadahili mwak jana ni 65,000+ waliolipoti vyuoni 50,000+ kutokana na wengi kukosa mikopo ...Mkuu hii ilirekebishwa mwaka jana na kigezo kikawa point 4 na sio D2 ambazo walianza nazo.
kalibu kila kanda kuna vyuo visivopungua 5 sioni tabu ifungiwe tu hiyo cas ama mnataka wote wajazane dsm .....Kuna faida na hasara Za kuifungia CAS kwa wanafunzi waliombali na vyuo husika pamoja na gharama nyingine ni mzigo kwa baadhi ya waombaji, faida ni kidogo kujua chuo utakachoenda ingawa hata kupitia CAS unaweza kuomba specific college na ukapata
Hili nalo nenoSijawahi kuona mwanafunzi amechaguliwa chuo ambacho hakipo kwenye machaguo yake
Tatizo watu tuna ufaulu wa kawaida ila tunataka vyuo ambavyo vina ushindani
Hata tukianza kuomba directly,hawawezi wakakuacha wewe umefaulu sana wakanichukua mimi mwisho wa siku inabidi niende KIU
Naweza nikasema ni ujinga tu na kuto kujua mambo kwa mapana CAS na TCU ni muhimu kuliko mnavyo dhani vinginevyo tutarud kule kule kwa dv 4 kidato cha nne anasoma degreeKimsingi Rais hajaifuta TCU,alichosema TCU ibaki na majukumu ya Regulation kwa Elimu ya juu na kuacha swala la Udahili wa pamoja (CAS)
Kwa maagizo hayo system ya Central admission wenda ikafutwa badae na kila mwanafunzi aombe udahili direct chuo husika anachokipenda.
Rejea nukuu hizi;
Mmbea wa jiji:
'Wanafunzi wanalazimishwa kupelekwa kwenye kachuo ambako hakana hata jina'- JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]
'Niombe Wizara ya elimu, TCU tubadilishe utaratibu wa kuchagua wanafunzi, wanafunzi wenyewe wachague badala ya TCU'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]
'Wakati mwingine wakuu wa vyuo wanaenda TCU kuomba wapangiwe wanafunzi pamoja na kwamba sina ushahidi'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]
Rais Magufuli: Ishu si kuwa na vyuo vikuu vingi, ishu ni kuwa na vyuo vichache vinavyotoa wanafunzi wengi wenye vigezo vya juu [HASHTAG]#JFLeo[/HASHTAG]
'Wanafunzi wachague vyuo wanavyovitaka ambavyo havitachaguliwa vife, kwa nini mnalazimisha'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]
'Kuna vyuo ambavyo haviko kwenye Standard vina hakikisha vinapata wanafunzi kwa sababu wanapata mkopo'-JPM [HASHTAG]#UzinduziHOSTELUDSM[/HASHTAG]
TCU is there to stay na itaendelea kufanya udahili kama kawaida achaneni na maneno ya majukwaani ya kutafuta kupigiwa makofi .ohooooo lakini tcu bado ipo ila system yao inafutwa.... cas dah ahueni kwa wanafunzi
Na sera ya sup 3...Minzi hakuachii hivi hiviMwanafunzi lazima alazimishwe kwenda chuo kulingana na UFAULU wake ,tukitaka kila mtu aende anapotaka division three zitajaa Petroleum engineering waliwe vichwa wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.Yaani unataka uende MUHAS pale School of Pharmacy umepiga three la CBG,kesho Minzi akumeze kama Chatu akimeza swala utalia na nani
Nzi watajaa[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
CAS is a very fair system..Unapata chuo na kozi kulingana na ufaulu wako ,
kuna wazee humu ni waajiriwa wa pale so wanapinga vikali kufutwa kwa tcu na mdogo wake cas ili waendelee kupiga dili.....TCU sitaisahau kwanza mlolongo mrefu sana.
Wakati unaweza ukaenda direct chuoni ukachukua form ukaijaza. Ukaenda bank ukalipa ada ya udahili na ukajua kabisa umepata chuo.
we una utalamu upi utakuwa mpiga deal.....Watu wanao unga mkono kauli ya Rais juu TCU siyo wataalamu wa elimu juu ya mfumo unaotumiwa vigezo ndo vinaelekeza watu kuchaguliwa vyuo husika ,na TCU hailazimishi mtu leo hii suala la mtu kuchaguliwa vyuo zaidi ya viwili limeisha sasa anataka kuturudisha tulikotoka , kauli nyingine hazifai
Lakini kwa muhimbili ni mwisho wa chuo,sup huku zinaogopeka sana hasa kwa 1st na 2nd yrsup si mwisho wa chuo....