Nakuunga mkono si kweli,,wapo wanaosema kwamba sio fair kwamba kutakuwa na mrundikano wa wanafunzi kwa baadhi ya vyuo si kweli
yah ndugu lakini wangejua wanachofanya tcu na hii cas wameshandaa wana funzi wao vile mwaka 2016 nilishudia mwanafunzi wa pcb akiambiwa ufaulu wako ni wa kwenda CBE,TIA,IFM kozi zote pale zitakufaa naomba yule mwanafunzi aje aseme kama yupo hapa jf .....Nakuunga mkono si kweli,,
Maana kika chuo kina idadi yake kwa mwaka so kama idadi yao kwa mwaka ni 10 elfu na walioomba ni 15 elfu hao tano elfu watakosa tu na wataomba kwingine so mie sidhan kama kutakua na mlundikano
Mkuu kama utakumbuka mwaka jana 2016 ni TCU waliotoa vigezo vipya vya kujiunga na Vyuo Vikuu na wao ndio sheria imewapa jukumu hilo (hata kama kulikuwa na shinikizo la Wizara).At least umeeleza bayana jinsi mambo yanavyokwenda japo hiyo cut-off ya kwanza nayo si zao la TCU ni zao la sheria. TCU hawapangi Cut-off points, system ya CAS inakutoa nje iwapo hujatimiza hizo cut-offs mbili za kwanza na mwisho kabisa chuo kinamalizia kwa panga la mwisho on competitive basis.
Sasa kama huna vigezo kwanini uapply????Nani kakuambia kuwa chuo unapata kirahisi hivyo. Waulize wenzio wanaopply nje ya nchi au masters Tanzania. Kuna vigezo na masharti lazima vizingatiwe.
na kila kozi itakuwa na ufaulu wake haiwezekani medicine uchukuliwe na point 4 na wakati huo law nayo iwe point hiyohyo tcu ife hashtag....Sasa kama huna vigezo kwanini uapply????
Kuomba chuo direct ni nzuri sana tena unaambiwa kabisa kozi fulani imejaa na kozi fulani haijajaa.
Nafikiri TCU wanatakiwa wawe wawazi zaidi na kuvifanya vyuo viweke wazi selection zao hii itaondoa uwezekanao wa watu kufikiria kuna upendeleo au mengineyo. Ni kweli pia mifumo huweza kuchezewa au watu wakapiga short cut ndio maana ni vizuri kutumia procedure kama ile ya UDSM inayo onyesha aliomba UDSM na akakosa je hakufanyiwa rafu? Je kuna mwenye ufaulu aliyepelekwa chuo ambacho hakupenda wakati kwa cut off ya chuo alichotaka angeweza kupenya. Hii pia itahakikisha yote aliyosema raisi kuwa watu wanapiga dili iwe wazi.Asante. Sasa kosa la CAS ya TCU ni nini???
umeona eeh TCU wapangiwe kazi nyinginena kila kozi itakuwa na ufaulu wake haiwezekani medicine uchukuliwe na point 4 na wakati huo law nayo iwe point hiyohyo tcu ife hashtag....
Mkuu huwezi kujua kama umepata hadi Senate ya chuo ifunge uombaji, chuo kifanyie kazi maombi yote na Senate itoe maamuzi na baada ya hapo ndio watangaze.TCU sitaisahau kwanza mlolongo mrefu sana.
Wakati unaweza ukaenda direct chuoni ukachukua form ukaijaza. Ukaenda bank ukalipa ada ya udahili na ukajua kabisa umepata chuo.
CAS ya TCU ikishafanya kazi yake majina hupelekwa vyuoni kabla ya wao hawajatangaza. Vyuo kwa utaratibu wao hufanyia kazi majina hayo na kuyapeleka Senate. Na Senate ikipitisha majina hurudishwa TCU lakini utakubaliana na mimi siku zote tunajua uchaguzi kwa mara ya kwanza sio kupitia TCU bali kupitia vyuo vyenyewe. Hivyo itabidi kujua nini kilifanyika-je vyuo vyote hulipa kipa-umbele zoezi hili na kulifanya kwa weledi na maadili yanayotakiwa? Nimesha ona majina kadha yaliopelekwa UDSM yakikataliwa na chuo na UDSM hutoa sababu-kwa mfano mtu ameomba akasome Economics na Statistics lakini hana A level mathematics, utaona wanaonyesha tatizo liko wapi na jina lake likirudi TCU linafanyiwa kazi.Hao TCU ni wapuuz tu mfano mi dogo alichaguliwa kusoma architecture must kufika kule chuo wanasema hana sifa za kusoma hiyo koz japo alikuwa na vigezo maana kasomea science A level pcm
TCU hawana kosa lolote na CAS hawana kosa, kilichopo ni changamoto za kushindwa kuelewa mfumo na kuukubali.Asante. Sasa kosa la CAS ya TCU ni nini???
Utaratibu wa kuomba kupitia CAS ulikuwa ni kukusanya elfu hamsini tu na kupotezeana malengo.CAS ya TCU ikishafanya kazi yake majina hupelekwa vyuoni kabla ya wao hawajatangaza. Vyuo kwa utaratibu wao hufanyia kazi majina hayo na kuyapeleka Senate. Na Senate ikipitisha majina hurudishwa TCU lakini utakubaliana na mimi siku zote tunajua uchaguzi kwa mara ya kwanza sio kupitia TCU bali kupitia vyuo vyenyewe. Hivyo itabidi kujua nini kilifanyika-je vyuo vyote hulipa kipa umbele zoezi hili na kulifanya kwa weledi na maadili yanayotakiwa? Nimesha ona majina kadha yaliopelekwa UDSM yakikataliwa na chuo na UDSM hutoa sababu-kwa mfano mtu ameomba akasome Economics na Statistics lakini hana A level mathematics, utaona wanaonyesha tatizo liko wapi na jina lake likirudi TCU linafanyiwa kazi.
Mkuu kama utakumbuka mwaka jana 2016 ni TCU waliotoa vigezo vipya vya kujiunga na Vyuo Vikuu na wao ndio sheria imewapa jukumu hilo (hata kama kulikuwa na shinikizo la Wizara).
Okay Enzi zetu kulikuwa Hakuna TCU ila tulikuw tuna-apply vyuo hata vitatu.Sasa hivi wanakua na choice 5 restriction ni kuwa usijaze degree zaidi ya 2 chuo kimoja. CAS ikisha chuja majina hupelekwa vyuoni kutokana na vigezo vilivyowekwa pamoja na nafasi zilizopo na uchaguzi wa muombaji. Wengi huwa wanatemwa level hii na sidhani kama majina yao hata vyuo yanafika kutokana na ushindani uliopo. TCU hufungua round ya ziada kwa hawa waliokosa na kuonyesha vyuo vyenye nafasi na waombaji huchagua tena.