Edward Ngoyai Lowasa aka laighwanan, kama watanzania wote tujuavyo, ameonyesha uchu mkubwa wa madaraka wa kuutaka urais ambao haujawahi kuonekana toka nchi ipate uhuru. lo-rushwa ametumia kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha kwamba lazma 2015 ccm ndio inamteua kubeba bendera ya ccm.
Nionavyo mimi mambo ambayo yatatokea lo-rushwa "akila za uso" kama malecela, na kutemwa na ccm ni haya
1. lo-rushwa ataacha kugawa hela zake chafu misikitini, makanisani. nawashauri mapadri na mashehe watafute vyanzo vingine vya mapato
2. lo-rushwa ataacha kuvilipa vikaragosi vyake mitandaoni. navishauri vitafute kazi ingine.
3. lo-rushwa hatawaalika tena wenyeviti wa ccm wa mikoa mwisho wa mwaka mondul na kuwapa kila mmoja bahasha ya ts 500 000/=
4.lo-rushwa ataacha kuwaganjia wajumbe wa vikao vya maamuzi rushwa
5. lo-rushwa atacha kuvihonga baadhi ya vyombo vya habari
6. l-rushwa ataacha kuwachafua wenzake
wa-tz wenzangu mnaona nini kingine kitatokea?