Nini hatma ya Lowassa akikosa urais 2015?

Nini hatma ya Lowassa akikosa urais 2015?

Edward Ngoyai Lowasa aka laighwanan, kama watanzania wote tujuavyo, ameonyesha uchu mkubwa wa madaraka wa kuutaka urais ambao haujawahi kuonekana toka nchi ipate uhuru. lo-rushwa ametumia kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha kwamba lazma 2015 ccm ndio inamteua kubeba bendera ya ccm.

Nionavyo mimi mambo ambayo yatatokea lo-rushwa "akila za uso" kama malecela, na kutemwa na ccm ni haya

1. lo-rushwa ataacha kugawa hela zake chafu misikitini, makanisani. nawashauri mapadri na mashehe watafute vyanzo vingine vya mapato
2. lo-rushwa ataacha kuvilipa vikaragosi vyake mitandaoni. navishauri vitafute kazi ingine.
3. lo-rushwa hatawaalika tena wenyeviti wa ccm wa mikoa mwisho wa mwaka mondul na kuwapa kila mmoja bahasha ya ts 500 000/=
4.lo-rushwa ataacha kuwaganjia wajumbe wa vikao vya maamuzi rushwa
5. lo-rushwa atacha kuvihonga baadhi ya vyombo vya habari
6. l-rushwa ataacha kuwachafua wenzake

wa-tz wenzangu mnaona nini kingine kitatokea?


CCM itakuwa mashakani.
 
Au katiba mpya ingeliweka hili "Moja kati ya masharti ya kugombea uraisi ni lazima uzunguke uwanja wa Taifa raundi1"
 
PASCO

Vipi ombi la kujiunza bodaboda LO-RUSHWA aikosa URAIS?
 
Lowasa na mifisadi yake kuwa na kikao cha kugawa mbumba j2
 
Lowasa ndio raiasi 2015..ongeeni..lieni...chekeni hakuna mgombea CCM wakumshinda
 
Nimeziona juhudi za Lowasa ktk kuutafuta Urais wa jamhuri ya Tanzania kwa hali na mali kabla hata hajapata kashfa ya Richmond iliyomwondoa ofisini.

Aliposhinda Kikwete mwaka 2005 kila mtu alijua Lowasa atakuwa PM. na hakuna aliyeshangaa Lowasa kuwa PM wa nchi hii maana walijua anaandaliwa kuwa Rais mwaka 2015.

Lakini hata alipotupwa nje ya serikali kwa kashfa ya ufisadi bado hajapoteza matumaini ya kuongoza nchi hii. anafanya harakati za kujisafisha na kufanya publicity kila kukicha. anatoa misaada ya fedha, anakubali kila mwaliko, anafanya shughuli za kijamii ili tu kujipatia credit ya urais 2015.

Amefika mbali zaidi kwa kutumia media kujisafisha na kujipigia debe kwa gharama kubwa. (pitia gazeti la Rai leo).

SWALI:JE LOWASA ATAFANYAJE AKIUKOSA URAIS ANAOUOTA KILA SIKU? EITHER KWA KUKATALIWA NDANI YA CHAMA CHAKE ASIPITISHWE AU KWA KUKATALIWA NA WATANZANIA. JE ATAJIUA? ATATUBU NA KUMRUDIA MUNGU? ATAKIMBIA NCHI? ATASTAAFU SIASA? AU ATAFANYAJE?!!!!!!!!!!!!

Swali hilo muulize na Membe alieaga kutogombea tena jimbo la Mtama na kuandaa nyumba yake katika eneo la Mtanda Lindi kama ikulu ndogo.
 
Akikataliwa na CCM atahamia ACT, maana ameanzisha chama hiki kwa ajili hiyo tu.
 
Wadau,
Nilikuwa napitia kurasa mbalimbali za watu mashuhuri na nikakutana na ukurasa wa Mhe.Lowasa katika mtandao wa kijamii wa faceboook ukiwa na maandishi,"THE NEXT PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA",kumbe tayari wmeshajiandaa kuiba kura mwakani ili awe Rais?
 
Atafia kwenye compaign, hatutaweza kumwacha aje kutuibia
 
Wewe unadhani anao hata muda wa kufanya hayo, vijana wake ili kujihakikishia ulaji usiku kucha wanafanya hayo
 
atakufa kabla ya siku zake,mwenyewe kwa sasa ni mgonjwa japo anajikakamua kana kwamba watu hawamuoni,acha atawanye pesa maana anazo za kifisadi lakini mwisho wa siku atakiona kilichomtokea six kwenye usipika.

Tujiulize wema huu anaouonyesha kwa jamii kautoa wapi?,pesa hizi kazitoa wapi?,akipata urais atazirudishaje?,waliomchangia na wanaoendelea kumchangia atawalipa nini?,
 
we mmarangu Original nadhani unatumika vibaya,utafiti gani umeufanya wa kutuaminisha unachokisema?
 
Back
Top Bottom